Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Muungano Tanganyika na Z’bar ni halali’

MWANASHERIA Mkuu wa Zanzibar Othman Masoud Othman amesema licha ya kwamba hati ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar haikuridhiwa kwa upande wa Zanzibar katika mwaka 1964, Muungano huo ni halali usiokuwa na shaka.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Tanganyika kuwamo ndani ya Katiba ya Muungano bila Zanzibar ni kuua Muungano

Leo nijikite katika kuongeza uelewa juu ya tofauti iliyopo kati ya mambo ya muungano na yasiyo ya muungano. Nchi yetu inatokana na muungano wa zilizokuwa nchi mbili huru kwa maana ya Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, ambazo ziliwezesha kuundwa kwa nchi mpya, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

9 years ago

Habarileo

Shein: Mimi bado rais halali Z’bar

RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, amesema yeye bado ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar huku akiwataka wasioamini katiba hiyo, wapeleke shauri hilo Mahakama Kuu ya Zanzibar yenye uwezo pekee wa kutafsiri katiba.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waraka halali wa Muungano utumike Bunge la Katiba

WASWAHILI wana msemo maarufu unaoeleza kuwa mambo kangaja huenda yakaja. Sasa wakati waheshimiwa wetu wa Bunge Maalumu la Katiba, baada ya baadhi yao kutaka waongezwe posho ili watuwakilishe vizuri katika...

 

11 years ago

Mwananchi

Zanzibar ndani ya Tanganyika au muungano?

Nianze kwa kunukuu tangazo nililokuta Bagamoyo, nilipokwenda katika shughuli zangu za kutoa ushauri kuhusu maendelezo bora ya ardhi eneo la makurunge ili kunogesha mjadala katika makala yangu leo ubaoni.

 

11 years ago

GPL

MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR WATIMIZA MIAKA 50

Waasisi wa Muungano wa nchi mbili za Tanganyika na Zanzibar, Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (kushoto) na Hayati,  Abeid Aman Karume (kulia waliokaa) wakisaini nyaraka za Muungano mwaka 1964.…

 

10 years ago

Mtanzania

Katiba ya Tanganyika yaingizwa kwenye Muungano

Samuel Sitta

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta

NA FREDY AZZAH, DODOMA

WAKATI Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wakiendelea na msimamo wa uwapo wa mfumo wa Serikali tatu, Bunge Maalumu la Katiba limeanza kujadili baadhi ya sura ambazo ziliachwa na iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba kwa ajili ya Katiba ya Tanganyika.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta, alisema sura hizo ni pamoja na ile...

 

11 years ago

Mwananchi

Hati ya Muungano haijawahi kuiondoa Tanganyika

Wajumbe waliowachache wa Bunge la Katiba jana waliendelea kuitetea iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Jaji Joseph Warioba kuwa haijavunja hati ya Muungano na kueleza, hati hiyo haijaifuta Serikali ya Tanganyika na hakuna kifungu ambacho kinapendekeza Muundo wa Serikali mbili.

 

10 years ago

Habarileo

Leo ni miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Waasisi wa Muungano, Mwalimu Julius Nyerere (kulia) na Abeid Aman Karume wakisaini hati za Muungano mwaka 1964.RAIS Jakaya Kikwete ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, leo atawaongoza watanzania katika kuadhimisha miaka 51 ya kuzaliwa kwa Tanzania baada ya kuunganisha nchi mbili huru za Tanganyika na Zanzibar.

 

11 years ago

Mwananchi

Kwa serikali tatu, Tanganyika na Z’bar zitagawana madeni, aonya Makamba

>Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Yusuf Makamba amesema mfumo wa serikali tatu ukikubalika na kupitishwa kuongoza Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,  wajumbe wafahamu kuwa ndani ya miaka miwili Muungano utakuwa umevunjika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani