Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madiwani Momba nusura watwangane kwenye kikao chao

Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Momba jana nusura warushiane makonde ndani ya kikao cha baraza la madiwani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Wasanii Watoa Mapendekezo Haya Kwenye Kikao Chao cha Leo

wasanii wa bongo

Katika Kikao cha Wanamuziki kinachoendelea leo jijini Dar, wasanii wametoa mapendekezo makuu matatu : (1) kutokuwa na imani na CMEA (2) kuvunjwa kwa bodi ya COSOTA kutokana na kutokuwa utaratibu mzuri wa kudhibiti na kusimamia mirabaha ya kazi zao na (3) Radio stations ziendelee kupiga nyimbo zao hadi watapotoa tamko.

wasanii wa Bongo78

Hivyo wameomba rais wa shirikisho (Ado Novemba) kupeleka maombi kwa Waziri mwenye dhamana ‘Mh. Nape Nnauye’ Waziri wa habari, michezo, sanaa na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Momba, Ngange nusura wazichape nje ya ulingo

MABONDIA Sadiki Momba na Adamu Ngange, nusura wazichape wakati wa utambulisho mbele ya waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam, jana. Wakali hao wanatarajiwa kupanda ulingoni Septemba 27, katika moja...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Madiwani CHADEMA wasusia kikao

MADIWANI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilayani Nkasi, wamelazimika kutoka nje ya kikao cha Baraza la madiwani baada ya kupishana kauli kati yao na wenzao wa Chama cha...

 

10 years ago

Mwananchi

Madiwani Chadema wasusia kikao Moshi

Baraza la Madiwani la Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro limesusia kushiriki kikao cha bajeti na kuamua kutoka nje ya ukumbi, wakimtuhumu mkurugenzi wa manispaa hiyo, Shaban Ntarambe kushiriki katika mgogoro wa kiwanja.

 

11 years ago

Habarileo

Kikao cha Madiwani Uvinza chavunjika

BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza jana lilivunjika muda mfupi baada ya kuanza, kutokana na wajumbe kususia. Kikao kilivunjwa, kutokana na kile kilichodaiwa kutowasilishwa taarifa muhimu za kujadiliwa kwenye baraza hilo.

 

10 years ago

GPL

MADIWANI MANISPAA YA KINONDONI WAFANYA KIKAO

Naibu Meya, Songoro Mnyonge (kushoto), Mstahiki Meya wa manspaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda (katikati) na Injinia Musa Natty. Diwani kata ya Kunduchi, Janeth Rite, akisisitiza jambo.…

 

10 years ago

Michuzi

MADIWANI MANISPAA YA MOSHI WASUSIA KIKAO CHA BAJETI


Msathiki Meya akizungumzia msimamo wake juu ya hatua ya wajumbe wa baraza hilo kutoka nje ya ukumbi wa mikutano wakimtuhumu mkurugenzi wa manispaa hiyo ,Shabani Ntarambe kujihusisha katika uporaji wa Viwanja.Diwani wa kata ya Kaloleni ,Michael Mwita (CCM) akizungumza juu ya kitendo cha madiwani wenzake kutoka nje huku wakituhumu Mkurugenzi wa Manispaa hiyo kuhusika katika uporaji wa viwanja vya halmashauri hiyo.

Diwani wa kata ya Kiusa ,Stephen Ngasa akiongozana na mbunge wa jimbo la Moshi...

 

10 years ago

Habarileo

Kikao cha madiwani chavunjwa kwa maazimio kutotekelezwa

KIKAO cha Baraza la Madiwani la Halmashauri ya wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara juzi kilivunjika baada ya madiwani hao kudai kuwa maazimio ya vikao vilivyopita kushindwa kutekelezwa bila ya sababu za msingi.

 

11 years ago

Michuzi

kikao cha baraza la madiwani chafanyika mkoani iringa leo

 Mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Iringa, Pudenciana Kisaka akizungumza wakati wa kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika katika ukumbi Siasa ni Kilimo, kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Steven Mhapa. Baadhi ya madiwani wakifuatilia majadiliano katika kikao hicho yakiendelea katika kikao cha baraza la madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Iringa katika ukumbi wa Siasa ni Kilimo. Baadhi ya wakuu wa idara wa halmshauri ya wilaya ya Iringa wakifuatilia majadiliano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani