Kikao cha Madiwani Uvinza chavunjika
BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza jana lilivunjika muda mfupi baada ya kuanza, kutokana na wajumbe kususia. Kikao kilivunjwa, kutokana na kile kilichodaiwa kutowasilishwa taarifa muhimu za kujadiliwa kwenye baraza hilo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi29 Nov
Kikao cha Bunge chavunjika, Vurugu zatawala ukumbini
10 years ago
MichuziKIKAO CHA MWISHO CHA BARAZA LA MADIWANI MANISPAA YA IRINGA
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
5 years ago
CCM BlogBARAZA LA MADIWANI LA MANISPAA YA UBUNGO LAFANYA KIKAO CHAKE CHA KAWAIDA CHA ROBO YA PILI YA MWAKA 2019/20
10 years ago
MichuziMADIWANI MANISPAA YA MOSHI WASUSIA KIKAO CHA BAJETI
Msathiki Meya akizungumzia msimamo wake juu ya hatua ya wajumbe wa baraza hilo kutoka nje ya ukumbi wa mikutano wakimtuhumu mkurugenzi wa manispaa hiyo ,Shabani Ntarambe kujihusisha katika uporaji wa Viwanja.
10 years ago
Habarileo25 Apr
Kikao cha madiwani chavunjwa kwa maazimio kutotekelezwa
KIKAO cha Baraza la Madiwani la Halmashauri ya wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara juzi kilivunjika baada ya madiwani hao kudai kuwa maazimio ya vikao vilivyopita kushindwa kutekelezwa bila ya sababu za msingi.
11 years ago
Michuzikikao cha baraza la madiwani chafanyika mkoani iringa leo
10 years ago
Tanzania Daima26 Oct
Madiwani CHADEMA wasusia kikao
MADIWANI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilayani Nkasi, wamelazimika kutoka nje ya kikao cha Baraza la madiwani baada ya kupishana kauli kati yao na wenzao wa Chama cha...
10 years ago
GPLMADIWANI MANISPAA YA KINONDONI WAFANYA KIKAO