Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikao cha Bunge chavunjika, Vurugu zatawala ukumbini

Kikao cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jana usiku kilivunjika baada ya vurugu kutawala ukumbini humo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Kikao cha Madiwani Uvinza chavunjika

BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza jana lilivunjika muda mfupi baada ya kuanza, kutokana na wajumbe kususia. Kikao kilivunjwa, kutokana na kile kilichodaiwa kutowasilishwa taarifa muhimu za kujadiliwa kwenye baraza hilo.

 

10 years ago

Vijimambo

MAKINDA AONGOZA KAMATI YA UONGOZI YA BUNGE, KIKAO CHA BUNGE KUANZA JANUARI 27

Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa Zitto Kabwe akifafanua jambo mbele ya wajumbe wa Kamati ya Uongozi wakati kamati hiyo ilipokaa kuapanga ratiba ya Mkutano wa Bunge kwenye ofisindogo za bunge jijini Dar es Salaam, leo Alhamisi Januari 22, 2015. Kikao cha bunge kinatarajiwa kuanza Januari 27, 2015Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kamati Uongozi leoMwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa, Rajabu Mbarouk akieleza jambo mbele ya wajumbe wa Kamati ya Uongozi...

 

10 years ago

Michuzi

BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI KUFANYA KIKAO CHAKE CHA BUNGE KARIMJEE JIJINI DAR

Spika wa Bunge la Jumuia ya Afrika Mashariki (EALA) Dk. Margaret Nantongo Zziwa  akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari katika ofisi za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dar es Salaam leo juu ya mkutano wa kwanza wa Bunge la tatu unaotaraji kuanza leo katika ukumbi wa Karimjee na kufunguliwa na Rais Jakaya Kikwete kesho kutwa.  Spika wa Bunge la Jumuia ya Afrika Mashariki (EALA) Dk. Margaret Nantongo Zziwa akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari katika ofisi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Bunge la Afrika Mashariki kufanya kikao chake cha Bunge Karimjee Dar, JK kuufungua rasmi kesho

Spika wa Bunge la Jumuia ya Afrika Mashariki (EALA) Dk. Margaret Nantongo Zziwa  akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari katika ofisi za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dar es Salaam  juu ya mkutano wa kwanza wa Bunge la tatu ulioanza jana katika ukumbi wa Karimjee na kufunguliwa rasmi na Rais Jakaya Kikwete kesho.

1

Spika wa Bunge la Jumuia ya Afrika Mashariki (EALA) Dk. Margaret Nantongo Zziwa akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari katika ofisi za Bunge la...

 

5 years ago

CCM Blog

MWENYEKITI WA CCM RAIS DK. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CHAMA, IKULU YA CHAMWINO JIJINI DODOMA, LEO, HAMASA ZATANDA UKUMBINI

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. John Magufuli akiendesha Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika leo Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma tarehe 10 Juni 2020. Upande wake wa kulia ni makamu Mwenyekiti wa CCM Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Makamu wa Rais Samia Sulu Hassan, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Waziri Mkuu Maliwa Kasim Majaliwa na upande wake wa Kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally na Makamu Mwenyekiti wa...

 

11 years ago

Michuzi

SITTA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI CHA BUNGE MAALUM LEO

 Mwenyekiti wa Bunge Maalum Mhe. Samuel Sita akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi cha Bunge hilo kilichokaa leo kupanga ratiba ya Bunge hilo linaloanza  jumanne 5 Agosti 2014 baada ya kuarishwa tarehe 25 Aprili 2014. Picha na Owen Mwandumbya

 

9 years ago

Michuzi

5 years ago

BBCSwahili

10 years ago

BBCSwahili

Kikao cha bunge chavurugika TZ

Kikao cha Bunge la Tanzania kilivurugika kutokana na wabunge kubishana kuhusu swala la kiongozi wa upinzani Profesa Ibrahim Lipumba kushambuliwa na polisi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani