Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikao cha bunge chavurugika TZ

Kikao cha Bunge la Tanzania kilivurugika kutokana na wabunge kubishana kuhusu swala la kiongozi wa upinzani Profesa Ibrahim Lipumba kushambuliwa na polisi

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAKINDA AONGOZA KAMATI YA UONGOZI YA BUNGE, KIKAO CHA BUNGE KUANZA JANUARI 27

Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa Zitto Kabwe akifafanua jambo mbele ya wajumbe wa Kamati ya Uongozi wakati kamati hiyo ilipokaa kuapanga ratiba ya Mkutano wa Bunge kwenye ofisindogo za bunge jijini Dar es Salaam, leo Alhamisi Januari 22, 2015. Kikao cha bunge kinatarajiwa kuanza Januari 27, 2015Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kamati Uongozi leoMwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa, Rajabu Mbarouk akieleza jambo mbele ya wajumbe wa Kamati ya Uongozi...

 

10 years ago

Michuzi

BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI KUFANYA KIKAO CHAKE CHA BUNGE KARIMJEE JIJINI DAR

Spika wa Bunge la Jumuia ya Afrika Mashariki (EALA) Dk. Margaret Nantongo Zziwa  akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari katika ofisi za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dar es Salaam leo juu ya mkutano wa kwanza wa Bunge la tatu unaotaraji kuanza leo katika ukumbi wa Karimjee na kufunguliwa na Rais Jakaya Kikwete kesho kutwa.  Spika wa Bunge la Jumuia ya Afrika Mashariki (EALA) Dk. Margaret Nantongo Zziwa akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari katika ofisi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Bunge la Afrika Mashariki kufanya kikao chake cha Bunge Karimjee Dar, JK kuufungua rasmi kesho

Spika wa Bunge la Jumuia ya Afrika Mashariki (EALA) Dk. Margaret Nantongo Zziwa  akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari katika ofisi za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dar es Salaam  juu ya mkutano wa kwanza wa Bunge la tatu ulioanza jana katika ukumbi wa Karimjee na kufunguliwa rasmi na Rais Jakaya Kikwete kesho.

1

Spika wa Bunge la Jumuia ya Afrika Mashariki (EALA) Dk. Margaret Nantongo Zziwa akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari katika ofisi za Bunge la...

 

11 years ago

Michuzi

SITTA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI CHA BUNGE MAALUM LEO

 Mwenyekiti wa Bunge Maalum Mhe. Samuel Sita akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi cha Bunge hilo kilichokaa leo kupanga ratiba ya Bunge hilo linaloanza  jumanne 5 Agosti 2014 baada ya kuarishwa tarehe 25 Aprili 2014. Picha na Owen Mwandumbya

 

9 years ago

Michuzi

5 years ago

BBCSwahili

10 years ago

BBCSwahili

Kikao cha bunge chasambaratishwa Nigeria

Gesi ya kutoa machozi imefyatuliwa ndani ya jengo la bunge, na kulazimisha kuahirishwa kwa mjadala muhimu kuhusu kurefushwa kwa kipindi cha hali ya tahadhari kaskazini mwa nchi hiyo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kikao cha bunge chatibuka Somali

kikao cha wabunge wa Somali kilichoitishwa ili kuijadili hatma ya waziri mkuu kimekumbwa na ghasia

 

9 years ago

BBCSwahili

Bunge la Mynmar laanza kikao cha mwisho

Bunge la Myanmar limefunguliwa kwa kikao chake cha mwisho kabla ya maamuzi ya matokeo ya uchaguzi wa wiki jana kuanza kutekelezwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani