Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Turufu ya Rasimu ya Sitta hii hapa

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta.RASIMU ya tatu ya Katiba maarufu kama Rasimu ya Sitta ambayo leo inaanza kupigiwa kura imejikita katika kutetea mahitaji na maslahi mahususi ya makundi makubwa ya jamii ili ikubalike kirahisi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Rasimu ya Katiba mpya hii hapa

RASIMU ya Katiba Inayopendekezwa, imewekwa hadharani huku Muungano uliogeuka hoja kuu wakati wa mjadala wa Rasimu ya Pili ya Katiba, ukibadilishwa na kuwa na baadhi ya sura mpya za kimuundo na kiutendaji, ambazo hazijawahi kupendekezwa katika historia ya Muungano.

 

10 years ago

Vijimambo

RASIMU YA KATIBA MPYA INAYOPENDEKEZWA HII HAPA; CHENGE AIWEKA HADHARANI KUPIGIWA KURA LEO JUMATATU SEPT 29

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba kutoka Zanzibar, akitafakari wakati rasimu hiyo ikisomwaWasanii wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, waliochangia pakubwa haki za wasanii kutambuliwa kwenye katiba inayopendekezwa mmoja wao ni Martha Mlata amaye naye ni msanii wa nyimbo za injiliWaziri MkuuMstaafu na Mbunge wa jimbo la Monduli mkoani Arusha, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanavikundi waliofika bungeni kusikiliza rasimu ya katiba...

 

10 years ago

Mtanzania

Masheikh waikataa Rasimu ya Sitta

Sheikh Rajabu Katimba

Msemaji wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Rajabu Katimba

NA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM

SHURA ya Maimamu Tanzania imetangaza hatua za kuikwamisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, kwa kwenda kuwaeleza waumini wa dini ya Kiislamu kupiga kura ya hapana.

Hatua hiyo imekuja baada ya Rasimu ya Katiba inayopendekezwa iliyowasilishwa mwishoni mwa wiki na Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi, Andrew Chenge, kuiweka kando Mahakama ya Kadhi.

Akizungumza na MTANZANIA jana mara baada ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Washindwa kuandamana kupinga rasimu ya Sitta

WAFUASI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Geita wameshindwa kuandamana kwa amani kupinga rasimu ya Kaitba mpya iliyopitishwa na Bunge Maalum la Katiba jana baada jeshi la polisi...

 

10 years ago

Mtanzania

Sitta azidi kuinanga rasimu ya Jaji Warioba

Samuel Sitta

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta

MAREGESI PAUL NA RACHEL MRISHO, DODOMA

MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, ameendelea kusisitiza kuwa rasimu ya Katiba mpya iliyosimamiwa na Jaji Joseph Warioba imejaa kasoro.

Kutokana na hali hiyo, amesema Bunge Maalumu la Katiba limelazimika kuiboresha kwa kuwa kila kitu kinachoandikwa na binadamu hakiwezi kuwa sahihi.

Sitta alitoa kauli hiyo mjini hapa jana, alipokuwa akipokea...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Kura yangu kwenye rasimu ni hapa’

 Mbunge wa Mwibara-CCM, Kangi Lugola amesema endapo angepata nafasi ya kuipigia kura rasimu iliyopendekezwa asingefanya kitu tofauti na msimamo alionao wa kupiga kura ya hapana.

 

9 years ago

MillardAyo

TRA ya Rais Magufuli imevunja rekodi hii makusanyo ya Kodi, yale makontena je? Hii hapa yote..

Mipango ya Rais Magufuli kuendelea kupambana na wabadhirifu wa mapato ya Serikali pamoja na zile jitihada za kuhakikisha Tanzania inakuwa na makusanyo mazuri ya mapato ya Serikali imekuja na good news leo January 06 2016. Waziri mpya wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango aliwahi kunukuliwa akisema ni aibu kwa kiongozi wa nchi kwenda nje ya […]

The post TRA ya Rais Magufuli imevunja rekodi hii makusanyo ya Kodi, yale makontena je? Hii hapa yote.. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Rasimu hii itafunga wengi’

“Kwa rasimu hii ilivyo, kama ikipita na kuwa Katiba, nina hakika viongozi wengi waliotumia vibaya madaraka yao wakati wa uongozi wao na walioko madarakani, wataishia gerezani na itakuwa mwanzo wa mabadiliko ya taifa hili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani