Wasanii Tanzania waikataa Cosota
NA KHABIBU NASSORO, (MUC)
WASANII wa muziki nchini wameukataa uongozi wa Cosota kutokana na usimamizi mbaya wa kazi zao.
Wakizungumza na waandishi wahabari katika kikao kilichofanyika kwenye ukumbi wa Little Theatre, jijini Dar es Salaam jana, walisema hawana imani na uongozi wa Cosota na kampuni ya kusimamia kazi za wasanii Afrika Mashariki (CMEA).
“Hatuna imani na Cosota, CMEA na Basata kutokana na kushindwa kusimamia kazi zetu.
“Hata mchakato uliotumika kupata viongozi wa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo08 Aug
JK aipa wiki mbili Cosota kumaliza kero za wasanii
RAIS Jakaya Kikwete amekipa wiki mbili Chama cha Hatimiliki cha Tanzania (COSOTA) kuhakikisha kinamaliza kero za wasanii hapa nchini ili wanufaike na kazi zao kama ilivyo kwa wasanii wa nje.
9 years ago
Global Publishers15 Dec
Cosota: Wasanii Wachoraji Wapanue Soko lao Kimataifa
Uongozi wa Bricoleur Company kutoka Japan na baadhi ya watu wa Kikundi cha Tingatinga Arts wakiwa meza kuu.Kutoka kushoto ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa, Godfrey Mngereza, Bricoleur Company, Shoji Tsuchiya, Yu Shiran na Mwenyekiti wa Kikundi cha Tingatinga, Zachi Chimwanda.Waandishi wa habari wakiwa kwenye hafla hiyo.Viongozi hao wakishikilia baadhi ya vibao vilivyochorwa picha tofauti.
Kiongozi kutoka Bricoleur Campany, Shoji Tsuchiya (kushoto) na Zachi Chimwanda wakiweka...
9 years ago
Bongo526 Nov
Nahreel anaamini CMEA na COSOTA zitabadilisha maisha ya wasanii
Nahreel anaamini kuwa kampuni ya kusimania haki miliki za wasanii nchini (CMEA) ikishirikiana na COSOTA zitaweza kubadilisha maisha ya wasanii.
Mtayarishaji huyo wa muziki amesema CMEA itawasaidia wasanii kujua nafasi walizo nazo na nini wafanye ili kufanikiwa zaidi.
“Ukiwa upo kwenye system, utakuwa unakula ile hela yako unayoifanyia kazi, haki yako ambayo tayari umeshaifanyia kazi. So ni kitu kizuri kitatusaidia sisi, tutaweza hata kupanga vitu in future. Kazi zetu sitakuwa safe,”...
5 years ago
MichuziSerikali yawataka Wasanii wa Sanaa ya Uchoraji nchini kujisajili COSOTA
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (katikati) akisisitiza jambo kwa wasanii wa Sanaa ya uchoraji maarufu Tingatinga (hawapo pichani) wakati alipowatembelea kuona shughuli zao na kusikiliza changamoto mbalimbali wanazokabiliana nazo mapema hii leo 24 Juni 2020 jijini Dar es Salaam, kushoto ni Katibu Mtendaji wa...
9 years ago
StarTV17 Dec
Nape aonya vyombo vya habari kutumia muziki ya wasanii bila idhini ya COSOTA
Serikali imetoa tamko kwa vyombo vyote vya habari nchini kuanzia january mosi mwakani kutokutumia muziki wa aina yeyote ule wa ndani au nje bila kibali kutoka Cosota.
Wakitoa tamko hilo kwa pamoja waziri wa habari michezo na utamaduni Nape Nnauye na waziri wa viwanda na biashara Charles Mwijage wamewataka wamiliki wa vyombo vya habari kutoa ushirikiano.
Nape amesema atalisimamia zoezi hilo na kutoa tahadhari kwa chombo chochote cha habari kitachokiuka tamko hilo hatakionea haya kukifungia...
9 years ago
StarTV17 Dec
Nape aonya vyombo vya habari kutumia miziki ya wasanii bila idhini ya COSOTA
Serikali imetoa tamko kwa vyombo vyote vya habari nchini kuanzia january mosi mwakani kutokutumia miziki ya aina yeyote ule wa ndani au nje bila kibali kutoka Cosota.
Wakitoa tamko hilo kwa pamoja waziri wa habari michezo na utamaduni Nape Nnauye na waziri wa viwanda na biashara Charles Mwijage wamewataka wamiliki wa vyombo vya habari kutoa ushirikiano.
Nape amesema atalisimamia zoezi hilo na kutoa tahadhari kwa chombo chochote cha habari kitachokiuka tamko hilo hatakionea haya kukifungia...
9 years ago
Bongo523 Nov
COSOTA yaalika wasanii na watayarishaji wa muziki kwenye semina ya kujadili malipo ya matumizi ya kazi zao
Chama cha Hakimiliki Tanzania (COSOTA) kimewaalika wasanii wa muziki pamoja na watayarishaji katika semina ya kujadidi malipo ya matumizi ya kazi zao.
Semina hiyo itafanyika tarehe 25 siku ya jumatano, saa 4 asubuhi katika ukumbi wa Tanzania Commission For Science and Technology (COSTECH) Kijitonyama (Sayansi) jijini Dar es salaam.
Pia kwa msanii wa muziki pamoja na watayarishaji ambayo watapenda kushiriki wanatakiwa kuthibitisha uwepo wako kwa kutuma ujumbe mfupi (SMS) kwenda kwenye namba...
11 years ago
Michuziwasanii kutoka Marekani wawasili nchini kuendesha mafunzo kwa wasanii wa tanzania
11 years ago
Mwananchi20 Jan
Yanga waikataa Azam Tv