Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nahreel anaamini CMEA na COSOTA zitabadilisha maisha ya wasanii

Nahreel

Nahreel anaamini kuwa kampuni ya kusimania haki miliki za wasanii nchini (CMEA) ikishirikiana na COSOTA zitaweza kubadilisha maisha ya wasanii.

Mtayarishaji huyo wa muziki amesema CMEA itawasaidia wasanii kujua nafasi walizo nazo na nini wafanye ili kufanikiwa zaidi.

“Ukiwa upo kwenye system, utakuwa unakula ile hela yako unayoifanyia kazi, haki yako ambayo tayari umeshaifanyia kazi. So ni kitu kizuri kitatusaidia sisi, tutaweza hata kupanga vitu in future. Kazi zetu sitakuwa safe,”...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Cosota, CMEA kuanza kulipa mirahaba kwa wanamuziki kuanza Januari mwakani

 Afisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Hakimiliki Tanzania (Cosota) Doreen Sinare akielezea umuhimu wa wanamuziki kujisajili kwao kupitia Kampuni iliyopewa jukumu la kuendesha zoezi usajili, Copyrights Management East Africa Limited (CMEA) ilikuweza kupata haki zao kutokana  na kazi zao.  Mkuu wa Uendeshaji wa kampuni ya CMEA, Abdi Zagar akielezea jinsi ya mfumo wa kisasa wa ukusanyaji taarifa za wanamuziki kwenye vituo vya televisheni na redio kwa ajili ya kutumiwa na Cosota ili kufanya...

 

9 years ago

Bongo5

Mr Blue anaamini ndoa kwa wasanii huvuta ‘neema’

blue (1)

Mr Blue amewaeleza wasanii wenzake ambao hawajaoa au kuolewa kuwa ndoa ni neema kubwa kimuziki hivyo watimize jambo hilo mapema.

Mr Blue Cover

Blue ameliambia gazeti la Mtanzania kuwa wasanii wengi walio kwenye ndoa wanafanya vizuri.

“Inasikitisha vijana wengi wake kwa waume waliofikisha umri wa kuoa na wale wa kuolewa wanakwepa kutimiza ndoa wakihofu kupotea kimuziki lakini nawaeleza kwamba ndoa ina uhusiano mzuri na mafanikio ndio maana wengi waliooa wanafanya vizuri katika mambo yao,” alieleza Mr...

 

9 years ago

Bongo5

TID anaamini teknolojia inawabeba wasanii wasio na vipaji

11910076_889874394433938_1177708504_n

Hitmaker wa Zeze, Nyota Yako na ngoma zingine, TID amesema mabadiliko ya teknolojia yamewafanya wasanii wasio na vipaji kupata nafasi ya kufanya vizuri.

11910076_889874394433938_1177708504_n

Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo cha EATV jana, TID alisema kwa kipaji alichonacho alitakiwa kuwa tajiri kuliko wasanii wote.

“Sasa hivi tumeamua kuwa pamoja zaidi kuboresha yale ambayo tulianzisha. Nafikiri sisi wakati tumeanza tulitumia nguvu nyingi sana,” alisema.

“Sasa hivi teknolojia inawabeba hawa watoto, wasanii wajinga,...

 

9 years ago

Mtanzania

Wasanii Tanzania waikataa Cosota

MWANAFA-NEWNA KHABIBU NASSORO, (MUC)

WASANII wa muziki nchini wameukataa uongozi wa Cosota kutokana na usimamizi mbaya wa kazi zao.
Wakizungumza na waandishi wahabari katika kikao kilichofanyika kwenye ukumbi wa Little Theatre, jijini Dar es Salaam jana, walisema hawana imani na uongozi wa Cosota na kampuni ya kusimamia kazi za wasanii Afrika Mashariki (CMEA).
“Hatuna imani na Cosota, CMEA na Basata kutokana na kushindwa kusimamia kazi zetu.
“Hata mchakato uliotumika kupata viongozi wa...

 

9 years ago

Global Publishers

Cosota: Wasanii Wachoraji Wapanue Soko lao Kimataifa

1.Uongozi wa Japan na baadhi ya kikundi cha Tingatinga arts group wakiwa meza kuu.Uongozi wa Bricoleur Company kutoka Japan na baadhi ya watu wa Kikundi cha Tingatinga Arts wakiwa meza kuu.2. kutoka kushoto ni Katibu Mtendaji wa baraza la sanaa la Taifa, Godfrey Mngereza, Bricoleur Company, Shoji Tsuchiya, Yu Shiran na...Kutoka kushoto ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa, Godfrey Mngereza, Bricoleur Company, Shoji Tsuchiya, Yu Shiran na Mwenyekiti wa Kikundi cha Tingatinga, Zachi Chimwanda.3.Waandishi wa habari wakiwa kwenye hafla hiyo.Waandishi wa habari wakiwa kwenye hafla hiyo.4.Viongozi hao wakishikilia baadhi ya vibao vilivyochorwa picha tofauti.Viongozi hao wakishikilia baadhi ya vibao vilivyochorwa picha tofauti.

5. Kiongozi kutoka Bricoleur Campany, Shoji Tsuchiya (kushoto) na Zachi Chimwanda wakitiliana saini ya mikataba.Kiongozi kutoka Bricoleur Campany, Shoji Tsuchiya (kushoto) na Zachi Chimwanda wakiweka...

 

10 years ago

Habarileo

JK aipa wiki mbili Cosota kumaliza kero za wasanii

RAIS Jakaya Kikwete amekipa wiki mbili Chama cha Hatimiliki cha Tanzania (COSOTA) kuhakikisha kinamaliza kero za wasanii hapa nchini ili wanufaike na kazi zao kama ilivyo kwa wasanii wa nje.

 

5 years ago

Michuzi

Serikali yawataka Wasanii wa Sanaa ya Uchoraji nchini kujisajili COSOTA



Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (katikati) akisisitiza jambo kwa wasanii wa Sanaa ya uchoraji maarufu Tingatinga (hawapo pichani) wakati alipowatembelea kuona shughuli zao na kusikiliza changamoto mbalimbali wanazokabiliana nazo mapema hii leo 24 Juni 2020 jijini Dar es Salaam, kushoto ni Katibu Mtendaji wa...

 

9 years ago

StarTV

Nape aonya vyombo vya habari kutumia miziki ya wasanii bila idhini ya COSOTA

Serikali imetoa tamko kwa vyombo vyote vya habari nchini kuanzia january mosi mwakani kutokutumia miziki ya aina yeyote ule wa ndani au nje bila kibali kutoka Cosota.

Wakitoa tamko hilo kwa pamoja waziri wa habari michezo na utamaduni Nape Nnauye na waziri wa viwanda na biashara Charles Mwijage wamewataka wamiliki wa vyombo vya habari kutoa ushirikiano.

Nape amesema atalisimamia zoezi hilo na kutoa tahadhari kwa chombo chochote cha habari kitachokiuka tamko hilo hatakionea haya kukifungia...

 

9 years ago

StarTV

Nape aonya vyombo vya habari kutumia muziki ya wasanii bila idhini ya COSOTA

Serikali imetoa tamko kwa vyombo vyote vya habari nchini kuanzia january mosi mwakani kutokutumia muziki wa aina yeyote ule wa ndani au nje bila kibali kutoka Cosota.

Wakitoa tamko hilo kwa pamoja waziri wa habari michezo na utamaduni Nape Nnauye na waziri wa viwanda na biashara Charles Mwijage wamewataka wamiliki wa vyombo vya habari kutoa ushirikiano.

Nape amesema atalisimamia zoezi hilo na kutoa tahadhari kwa chombo chochote cha habari kitachokiuka tamko hilo hatakionea haya kukifungia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani