Cosota, CMEA kuanza kulipa mirahaba kwa wanamuziki kuanza Januari mwakani
Afisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Hakimiliki Tanzania (Cosota) Doreen Sinare akielezea umuhimu wa wanamuziki kujisajili kwao kupitia Kampuni iliyopewa jukumu la kuendesha zoezi usajili, Copyrights Management East Africa Limited (CMEA) ilikuweza kupata haki zao kutokana na kazi zao.
Mkuu wa Uendeshaji wa kampuni ya CMEA, Abdi Zagar akielezea jinsi ya mfumo wa kisasa wa ukusanyaji taarifa za wanamuziki kwenye vituo vya televisheni na redio kwa ajili ya kutumiwa na Cosota ili kufanya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziCMEA ni suluhilisho kwa wanamuziki - Makamba
10 years ago
Dewji Blog09 Mar
CMEA ni suluhilisho kwa wanamuziki- Makamba
Naibu Waziri Sayansi na Teknolojia January Makamba akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampuni ya na kampuni ya Copyrights Management East Africa Limited (CMEA).
Na Mwandishi Wetu
Naibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia, January Makamba amewataka wanamuziki nchini kuachana na kutegemea kupata shoo za majukwaani na kupata umaarufu usiokuwa na tija kwa kujiunga na kampuni ya Copyrights Management East Africa Limited (CMEA) ambayo inasimamia haki miliki za kazi za wasanii wa ukanda wa nchi ya...
10 years ago
Bongo516 Oct
Makampuni ya simu Tanzania kuanza kuuza hisa kwa wananchi mwakani
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-QI37sdZWn1I/VK6fy7eNRXI/AAAAAAAG8EI/rCxtoXB3YJg/s72-c/New%2BPicture.png)
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU VIKAO VYA KAMATI ZA BUNGE KUANZA TAREHE 13 — 23 JANUARI 2015
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-QI37sdZWn1I/VK6fy7eNRXI/AAAAAAAG8EI/rCxtoXB3YJg/s1600/New%2BPicture.png)
BUNGE LA TANZANIA
TAARIFA KWA UMMA KUPITIA VYOMBO HABARI KUHUSU VIKAO VYA KAMATI ZA BUNGE KUANZA TAREHE 13 – 23 JANUARI 2015
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anawatangazia Waheshimiwa Wabunge wote, wadau na umma kwa ujumla kuwa Kamati za Kudumu za Bunge zitaanza vikao vyake tarehe 13 hadi 23 Januari 2015. Vikao hivyo vitakavyoutangulia mkutano wa Kumi na Nane wa Bunge la Kumi vitajadili na kuchambua pamoja na mambo mengine Miswada mbalimbali ya...
10 years ago
Dewji Blog09 Jan
Taarifa kwa umma kupitia vyombo habari kuhusu vikao vya kamati za Bunge kuanza tarehe 13 — 23 Januari 2015
Mwito kwa kamati 2015.docx by moblog
9 years ago
Bongo526 Nov
Nahreel anaamini CMEA na COSOTA zitabadilisha maisha ya wasanii
![Nahreel](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/06/Nahreel-300x194.jpg)
Nahreel anaamini kuwa kampuni ya kusimania haki miliki za wasanii nchini (CMEA) ikishirikiana na COSOTA zitaweza kubadilisha maisha ya wasanii.
Mtayarishaji huyo wa muziki amesema CMEA itawasaidia wasanii kujua nafasi walizo nazo na nini wafanye ili kufanikiwa zaidi.
“Ukiwa upo kwenye system, utakuwa unakula ile hela yako unayoifanyia kazi, haki yako ambayo tayari umeshaifanyia kazi. So ni kitu kizuri kitatusaidia sisi, tutaweza hata kupanga vitu in future. Kazi zetu sitakuwa safe,”...
11 years ago
Dewji Blog06 May
DART kuanza kutoa huduma mapema mwakani
Meneja Uhusiano Mradi wa mabasi yaendayo haraka (DART) Bw. William Gatambi (kushoto) akiwaeleza waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo kuhusu maendeleo ya mradi huo ambao awamu ya kwanza itakamilika mwishoni wa mwaka huu. Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari Maelezo Frank Mvungi.
Na Frank Mvungi- Maelezo
Serikali inatarajia kuanza kutoa huduma za awali (interim services) katika mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) Kutoka Kimara mwisho...
10 years ago
BBCSwahili30 Dec
Kombe la Mapinduzi kuanza Januari Mosi
10 years ago
Habarileo22 Aug
Kituo cha umeme Kinyerezi 1 kuanza majaribio mwakani
KITUO cha kuzalisha umeme kwa kutumia gesi asilia cha Kinyerezi 1, kinatarajia kuanza kuzalisha umeme wa majaribio mwanzoni mwa mwakani, baada ya kukamilika kwa ujenzi wa bomba la gesi linalotoa gesi hiyo Mtwara hadi Dar es Salaam.
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10