Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kombe la Mapinduzi kuanza Januari Mosi

Michuano ya kombe la mapinduzi kuanza kutimua vumbi Zanzibari januari mosi mpaka Januari 13 mwakani.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Cosota, CMEA kuanza kulipa mirahaba kwa wanamuziki kuanza Januari mwakani

 Afisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Hakimiliki Tanzania (Cosota) Doreen Sinare akielezea umuhimu wa wanamuziki kujisajili kwao kupitia Kampuni iliyopewa jukumu la kuendesha zoezi usajili, Copyrights Management East Africa Limited (CMEA) ilikuweza kupata haki zao kutokana  na kazi zao.  Mkuu wa Uendeshaji wa kampuni ya CMEA, Abdi Zagar akielezea jinsi ya mfumo wa kisasa wa ukusanyaji taarifa za wanamuziki kwenye vituo vya televisheni na redio kwa ajili ya kutumiwa na Cosota ili kufanya...

 

11 years ago

GPL

UMEME BEI JUU JANUARI MOSI

Taarifa ya EWURA YA bei mpya za umeme zitakazoanza kutumika Januari, Mosi 2013 Tarehe 11 Oktoba 2013, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) liliwasilisha maombi ya kurekebisha bei ya umeme kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA). TANESCO ilipendekeza kuongeza bei kwa asilimia 67.87 kuanzia tarehe 1 Oktoba 2013, asilimia 12.74 kuanzia tarehe 1 Januari 2014 na asilimia 9.17 kuanzia tarehe 1 Januari 2015. Vilevile...

 

9 years ago

Global Publishers

Mb Dog kuitambulisha video mpya Januari Mosi

3MB Dog akitoa vionjo vya wimbo wake mpya wa Siyo Siri kwa waandishi wa habari (hawapo pichani).1Mkurugenzi wa QS Mhonda J Entertainment, Joseph Mhonda akizungumza jambo katika mkutano na waandishi wa habari katika Hoteli ya King D iliyopo Sinza-Afrika Sana jiji ni Dar. Kushoto kwake ni Direkta Abby Kazi, kulia ni msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Q-Chillah.
2Mhonda (kushoto) akimkabidhi Direkta Abby Kazi kitita cha shilingi milioni ishirini kama ada ya kumsajili katika Kampuni ya QS Mhonda J...

 

9 years ago

Dewji Blog

Makatibu Wakuu na Manaibu kuapishwa kesho Januari Mosi, Ikulu jijini Dar!!

Dar_Ikulu-tz

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.

Kesho Ijumaa 01 Januari, 2016 Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu walioteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wataapishwa rasmi katika Ukumbi wa Ikulu, uliopo lango kuu litazamalo baharini kuanzia saa nne asubuhi.

Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wote ambao wataapishwa na wale ambao walishaapishwa wanapaswa kuhudhuria katika tukio hili, ili...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mzee aishi wodini kwa miaka 45 tangu Januari mosi mwaka 1971

DSC07576

Mzee Abdi Nkhambi Lanjui (75) akiwa wodi namba nne katika hospitali ya mkoa mjini Singida. Mzee Lanjui mzaliwa wa kijiji cha Mhintiri tarafa ya Ihanja, aliyekuwa dereva wa kampuni ya mamlaka ya Pamba Mwanza, alipata ajali katikati ya mwaka 1968 na kulazwa katika hospitali ya Sekoture Mwanza na baadaye mwishoni mwa mwaka 1970,alihamishiwa hospitali ya mkoa wa Singida, ambako anaishi hadi sasa. Ajali hiyo ilisababisha kukatika mawasiliano kati ya kuanzia kiunoni na kushuka chini ambako...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mapinduzi cup kutimu vumbi Januari 2.

Timu zitakazoshiriki Mashindano ya Mapinduzi Cup, ambayo yanatarajiwa kuanza Januari 2 visiwani Humo.

 

9 years ago

Global Publishers

9 years ago

Global Publishers

Mabasi ya mwendo kasi kuanza kazi Januari 10

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa akisalimiana na watendaqji mbalimbali wa mradi wa mabasi yaendayo haraka waliofika katika kituo cha Feri cha Mradi wa Mabasi yaendayo haraka (BRT) leo jijini Dar es Salaam.  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa akitembelea maeneo mbalimbali ya kituo cha Feri jijini Dar es Salaam leo.    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa akipanda basi la mwendo wa haraka mara baada ya kutembelea maeneo mbalimbali katika kituo cha feri leo jijini Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani