Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Droo ya Kwanza ya Shinda Nyumba… Kuanza Januari 7

nyumbanii

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Wasomaji wachangamkia droo ya kwanza Shinda Nyumba kesho!

????????????????????????????????????

Muuza magazeti wa Kampuni ya Global Publishers (mwenye fulana nyeupe), akimuelekeza msomaji jinsi ya kujaza kuponi na kushiriki bahati nasibu hiyo ambayo kesho itafanyika droo ya kwanza.

????????????????????????????????????

Zoezi la kujaza kuponi ili kushiriki droo ya kwanza ya bahati nasibu kesho likipamba moto.

????????????????????????????????????

Ofisa Masoko wa Global, Yohana Mkanda (kushoto) akishudia msomaji wa Gazeti la Championi akijaza kuponi ili kushiriki droo ya kwanza inayotarajia kuchezeshwa kesho.

????????????????????????????????????

Mkazi wa Vingunguti akiweka kuponi yake tayari...

 

10 years ago

GPL

STARTIMES YAMKABIDHI MSHINDI WA DROO YA KWANZA YA PIKIPIKI KTK DROO YA PILI‏

Makamu wa Rais wa kampuni ya StarTimes Tanzania, Bi Zuhura Hanif (kulia) akimkabidhi mshindi wa droo ya kwanza ya kujishindia pikipiki ya mwezi wa Aprili, Bw Kafuku Mdaki, mkazi wa Tanga, katika hafla fupi iliyofanyika katika duka la kampuni hiyo zilizopo Bamaga-Mikocheni jijini Dar es Salaam. Kujiunga na bahati nasibu hiyo wateja wa StarTimes wanatakiwa kulipia kifurushi kuanzia shilingi 10,000/- na kuendelea.… ...

 

11 years ago

GPL

Droo ya pili Shinda Mahela na Championi ni Desemba 23

Na Mwandishi Wetu
DROO ya pili ya Shinda Mahela na Championi inatarajiwa kufanyika Desemba 23, mwaka huu kwa ajili ya kuwapa zawadi za Krisimasi washindi wake. Dereva bajaj akijaza kuponi ya Promosheni ya Shinda Mahela na Championi. Zawadi ambazo…

 

11 years ago

GPL

DROO NDOGO YA PILI PROMOSHENI YA SHINDA MAHELA YAFANYIKA MABIBO JIJINI DAR

Kijana aliyejitokeza kuchanganya kuponi kwa ajili ya mshindi wa TV na Decoder akichanganya kuponi kabla ya kumpata mshindi. ...Kijana huyo akifunikwa macho ili achague kuponi ya mshindi.…

 

9 years ago

Michuzi

Cosota, CMEA kuanza kulipa mirahaba kwa wanamuziki kuanza Januari mwakani

 Afisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Hakimiliki Tanzania (Cosota) Doreen Sinare akielezea umuhimu wa wanamuziki kujisajili kwao kupitia Kampuni iliyopewa jukumu la kuendesha zoezi usajili, Copyrights Management East Africa Limited (CMEA) ilikuweza kupata haki zao kutokana  na kazi zao.  Mkuu wa Uendeshaji wa kampuni ya CMEA, Abdi Zagar akielezea jinsi ya mfumo wa kisasa wa ukusanyaji taarifa za wanamuziki kwenye vituo vya televisheni na redio kwa ajili ya kutumiwa na Cosota ili kufanya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kombe la Mapinduzi kuanza Januari Mosi

Michuano ya kombe la mapinduzi kuanza kutimua vumbi Zanzibari januari mosi mpaka Januari 13 mwakani.

 

10 years ago

GPL

DROO YA KWANZA YA KUJISHINDIA PIKIPIKI NA STARTIMES‏

Makamu wa Rais wa StarTimes Tanzania, Zuhura Hanif (wa kwanza kulia) akifuatilia kwenye luninga droo ya bahati nasibu  ya kwanza ya kujishindia pikipiki iliyochezeshwa na kampuni hiyo katika duka lao lililopo Bamaga-Mikocheni jijini Dar es Salaam. Wakifuatilia kwa makini zoezi hilo kushoto ni Msimamizi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha ya Taifa, Mrisho Milao na katikati ni Msimamizi wa Mfumo wa Kompyuta wa kampuni hiyo,...

 

11 years ago

GPL

KAGERA SUGAR KUANZA MAZOEZI RASMI JANUARI 2

KLABU ya Kagera Sugar inaingia kambini desemba 31 mwaka huu, lakini mazoezi yataanza rasmi januari pili mwakani kujiwinda na mzunguko wa pili  ligi kuu soka Tanzania bara unaotarajia kuanza kushika kasi januari 25, 2014. Kocha msaidizi wa klabu hiyo, Murage Kabange ameuambia mtandao huu kuwa nia yao ni kurejesha makali yao kama msimu uliopita. “Mipango ya kambi imekamilika, mimi na kocha mkuu Jackson Mayanja tunajiandaa...

 

9 years ago

Global Publishers

Mabasi ya mwendo kasi kuanza kazi Januari 10

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa akisalimiana na watendaqji mbalimbali wa mradi wa mabasi yaendayo haraka waliofika katika kituo cha Feri cha Mradi wa Mabasi yaendayo haraka (BRT) leo jijini Dar es Salaam.  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa akitembelea maeneo mbalimbali ya kituo cha Feri jijini Dar es Salaam leo.    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa akipanda basi la mwendo wa haraka mara baada ya kutembelea maeneo mbalimbali katika kituo cha feri leo jijini Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani