Droo ya pili Shinda Mahela na Championi ni Desemba 23
![](http://api.ning.com:80/files/bquVoc42xDPR655nML1PoOSd0T4zHlRfPsfTj0*uSV*ksDPQbYb6fINZrPdctc0QTmyKtQMWc2UyJjkWf7tc1oDb9eZIxtTD/championi.gif?width=650)
Na Mwandishi Wetu DROO ya pili ya Shinda Mahela na Championi inatarajiwa kufanyika Desemba 23, mwaka huu kwa ajili ya kuwapa zawadi za Krisimasi washindi wake. Dereva bajaj akijaza kuponi ya Promosheni ya Shinda Mahela na Championi. Zawadi ambazo…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLDROO NDOGO YA PILI PROMOSHENI YA SHINDA MAHELA YAFANYIKA MABIBO JIJINI DAR
11 years ago
GPLMSHINDI WA MILIONI 10 ZA CHAMPIONI SHINDA MAHELA AKABIDHIWA MPUNGA WAKE
11 years ago
GPLMSHINDI WA SHINDA MAHELA AKABIDHIWA ZAWADI ZAKE MBEYA
11 years ago
GPLMSHINDI WA MIL 10 WA CHAMPIONI MAHELA APATIKANA
11 years ago
Michuzi11 Feb
MDAU KIZITO ASHINDA MILIONI 10 ZA 'CHAMPIONI MAHELA' AKIWA KWENYE DALADALA
Droo hiyo iliyochezeshwa mbele ya Msimamizi wa Bodi ya Bahati Nasibu, Mrisho Milao kwenye Viwanja vya Mbagala- Zakhem jana Jumanne.
Akizungumza Kizito ambaye ni makazi wa Kawe jijini Dar alipopigiwa simu na muendeshaji wa shughuli hiyo MC Chaku, mshindi huyo alikuwa ndani ya daladala hivyo hakuwa na mengi ya kuongeza zaidi ya kushukuru kwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Yyq9zrGrKEhxTi6y1erALV-OJt1zzsTbfBenjiTGztxbo5KTaujfR0NJaBC8otHy8N*yQJcYvHJF-b5hb44dfyvJpIfW3bKe/1.jpg?width=650)
STARTIMES YAMKABIDHI MSHINDI WA DROO YA KWANZA YA PIKIPIKI KTK DROO YA PILI
9 years ago
Global Publishers02 Jan
9 years ago
Global Publishers06 Jan
Wasomaji wachangamkia droo ya kwanza Shinda Nyumba kesho!
Muuza magazeti wa Kampuni ya Global Publishers (mwenye fulana nyeupe), akimuelekeza msomaji jinsi ya kujaza kuponi na kushiriki bahati nasibu hiyo ambayo kesho itafanyika droo ya kwanza.
Zoezi la kujaza kuponi ili kushiriki droo ya kwanza ya bahati nasibu kesho likipamba moto.
Ofisa Masoko wa Global, Yohana Mkanda (kushoto) akishudia msomaji wa Gazeti la Championi akijaza kuponi ili kushiriki droo ya kwanza inayotarajia kuchezeshwa kesho.
Mkazi wa Vingunguti akiweka kuponi yake tayari...