Wasomaji wachangamkia droo ya kwanza Shinda Nyumba kesho!
Muuza magazeti wa Kampuni ya Global Publishers (mwenye fulana nyeupe), akimuelekeza msomaji jinsi ya kujaza kuponi na kushiriki bahati nasibu hiyo ambayo kesho itafanyika droo ya kwanza.
Zoezi la kujaza kuponi ili kushiriki droo ya kwanza ya bahati nasibu kesho likipamba moto.
Ofisa Masoko wa Global, Yohana Mkanda (kushoto) akishudia msomaji wa Gazeti la Championi akijaza kuponi ili kushiriki droo ya kwanza inayotarajia kuchezeshwa kesho.
Mkazi wa Vingunguti akiweka kuponi yake tayari...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers02 Jan
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Yyq9zrGrKEhxTi6y1erALV-OJt1zzsTbfBenjiTGztxbo5KTaujfR0NJaBC8otHy8N*yQJcYvHJF-b5hb44dfyvJpIfW3bKe/1.jpg?width=650)
STARTIMES YAMKABIDHI MSHINDI WA DROO YA KWANZA YA PIKIPIKI KTK DROO YA PILI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bquVoc42xDPR655nML1PoOSd0T4zHlRfPsfTj0*uSV*ksDPQbYb6fINZrPdctc0QTmyKtQMWc2UyJjkWf7tc1oDb9eZIxtTD/championi.gif?width=650)
Droo ya pili Shinda Mahela na Championi ni Desemba 23
11 years ago
GPLDROO NDOGO YA PILI PROMOSHENI YA SHINDA MAHELA YAFANYIKA MABIBO JIJINI DAR
10 years ago
Dewji Blog22 Sep
Mradi wa nyumba wa DEGE ECO- Village waanza, wananchi wachangamkia fursa
Mradi wa nyumba unaosimamiwa na kampuni ya Hifadhi inayoitwa Dege Eco-Village umeshiriki maonyesho ya nyumba yaliyofanyika jijini Dar es Salaam inategemea umeanza hivi karibuni.
Akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo Bw. Azhar Malik wa Dege eco-Village alisema “Kwa sasa ujenzi unaendelea na karibu aina ya nyumba apartment 3000 zitakuwa tayari ifikapo Januari 2015.
Aliongezea kusema kwamba kupitia mradi huu waTanzania watanufaika kwa kupata...
9 years ago
Global Publishers19 Dec
Shinda Nyumba Ilivyozinduliwa Kwa Kishindo Mwanza
Mwandishi wetu, Mwanza
Ile Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba iliyozinduliwa wiki iliyopita katika ofizi za Global Publishers zilizopo Bamaga Mwenge jijini Dar na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda, imezinduliwa pia mkoani Mwanza.
Katika uzinduzi huo, uliofanywa na Mwakilishi wa Kampuni ya Global jijini humo Jumatano iliyopita, Ally Masumbuko, wananchi walijaza kuponi zao kushiriki bahati nasibu hiyo.
Sehemu ambazo wananchi wake walibahatika kujaza kuponi na kuingia katika shindano ni...
9 years ago
Global Publishers25 Dec
9 years ago
Global Publishers05 Jan
Dar waendelea kuchangamkia bahati nasibu ya Shinda Nyumba
Muuzaji wa magazeti ya Global Publishers (katikati) akiwa na msomaji wa Gazeti la Uwazi eneo la Tandale Sokoni huku akimwelekeza jinsi ya kujaza kuponi ili kushiriki bahati nasibu hiyo.
Msomaji wa Gazeti la Uwazi akiweka kuponi yake baada ya kumaliza kuijaza.
Baadhi ya wakazi wa Tandale Sokoni wakishuhudia msomaji wa Gazeti la Uwazi alivyokuwa akijaza kuponi ili kushiriki bahati nasibu.
Ofisa Usambazaji wa Global Publishers, Yohana Mkanda (wa pili kushoto) akimwelekeza msomaji wa Gazeti...
9 years ago
Dewji Blog06 Dec
Shinda Nyumba ya Global kuzinduliwa wiki iyayo jijini Dar
Bango la Shinda Nyumba ya Global Publishers (katikati) likiwa eneo la Karume Jijini Dar.
Bango likiwa eneo la Ubungo.
Bango likiwa eneo la Tegeta.
BAADA ya kujihusisha na misaada mbalimbali ya kijamii na kiutu, Kampuni ya Global Publishers Ltd, wachapishaji wa magazeti pendwa na lile bora la michezo nchini Tanzania, imekuwa ya kwanza ya habari kutoa zawadi ya nyumba kwa wasomaji wake katika promosheni inayotarajiwa kuanza Desemba 11, 2015.
Kumbukumbu zinaonesha kwamba, michezo ya...