Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


STARTIMES YAMKABIDHI MSHINDI WA DROO YA KWANZA YA PIKIPIKI KTK DROO YA PILI‏

Makamu wa Rais wa kampuni ya StarTimes Tanzania, Bi Zuhura Hanif (kulia) akimkabidhi mshindi wa droo ya kwanza ya kujishindia pikipiki ya mwezi wa Aprili, Bw Kafuku Mdaki, mkazi wa Tanga, katika hafla fupi iliyofanyika katika duka la kampuni hiyo zilizopo Bamaga-Mikocheni jijini Dar es Salaam. Kujiunga na bahati nasibu hiyo wateja wa StarTimes wanatakiwa kulipia kifurushi kuanzia shilingi 10,000/- na kuendelea.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

DROO YA KWANZA YA KUJISHINDIA PIKIPIKI NA STARTIMES‏

Makamu wa Rais wa StarTimes Tanzania, Zuhura Hanif (wa kwanza kulia) akifuatilia kwenye luninga droo ya bahati nasibu  ya kwanza ya kujishindia pikipiki iliyochezeshwa na kampuni hiyo katika duka lao lililopo Bamaga-Mikocheni jijini Dar es Salaam. Wakifuatilia kwa makini zoezi hilo kushoto ni Msimamizi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha ya Taifa, Mrisho Milao na katikati ni Msimamizi wa Mfumo wa Kompyuta wa kampuni hiyo,...

 

10 years ago

GPL

STAR TIMES YAKABIDHI PIKIPIKI KWA MSHINDI DROO YA PILI

Makamu wa Rais wa kampuni ya StarTimes Tanzania, Bi Zuhura Hanif (kulia) akimkabidhi funguo ya pikipiki mshindi wa droo ya pili ya mwezi wa Aprili, Bi Janemerry Suraphel, mkazi wa Dar es Salaam, katika hafla fupi iliyofanyika katika duka la kampuni hiyo zilizopo Bamaga-Mikocheni jijini Dar es Salaam. Kujiunga na bahati nasibu hiyo wateja wa StarTimes wanatakiwa kulipia kifurushi kuanzia shilingi 10,000/- na kuendelea. Makamu wa...

 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA EXIM YAPATA MSHINDI WA DROO YA PILI AKAUNTI YA MALENGO

Ofisa Masoko wa Benki ya Exim Tanzania tawi la Moshi, Bi. Elihaika Munuo (wa pili kulia), akikabidhi zawadi ya IPhone 6 kwa mshindi wa droo  ya pili ya kampeni ya Akaunti ya Malengo ya Dola za Kimarekani inayoendeshwa na benki hiyo, Bw, Rajnikant Shah, katika hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika tawi la benki ya hiyo Manispaa ya Moshi mwishoni mwa wiki.Wanaoshuhudia ni Meneja wa benki hiyo tawi la Moshi Bw. John Ngowi(kushoto) na Ofisa Uhusiano wa benki hiyo tawi la Moshi Philip Mtei...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA EXIM YAKABIDHI ZAWADI KWA MSHINDI WA DROO YA KWANZA YA KAMPENI YA AKAUNTI YA MALENGO

Meneja wa benki ya Exim tawi la Exim Tower, Bi. Rose Kanijo (kushoto), akikabidhi zawadi ya iPhone 6 kwa mshindi wa droo  ya kwanza ya kampeni ya Akaunti ya Malengo inayoendeshwa na benki hiyo, Bw, Prabhjot Singh, mkazi wa Dar es Salaam katika hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika makao makuu ya benki ya Exim jijini Dar es Salaam jana. Kampeni hiyo inayoendelea kwa miezi mitano zaidi, inalenga kuhamasisha utamaduni wa kujiwekea akiba miongoni mwa Watanzania.

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YATANGAZA WASHINDI WA KWANZA WA DROO YA PROMOSHENI YA "JIONGEZE NA MSHIKO"‏

Meneja uhusiano wa Airtel, bwana Jackson Mmbando akiongea na mshindi aliyepatikana wakati wa kuchezesha droo ya kwanza ya wiki ya promosheni ya "Jiongeze na Mshiko" ambapo wateja wawili wa Airtel kutoka mikoa ya Geita na Mtwara walipatikana akichukua taarifa za mshindi (kushoto) ni mkaguzi kutoka bodi ya michezo ya kubahatisha bwana Humudi Abdul Hussein na Afisa huduma za ziada Airtel bwana Fabian Felician.(kati) droo hii...

 

9 years ago

Michuzi

MSHINDI DROO YA TATU EXIM APATIKANA

Meneja Utendaji na Huduma kwa wateja Benki ya Exim Tanzania tawi la makao makuu jijini Dar es Salaam, Bw. Lugano Kapologwe(kulia), akikabidhi zawadi ya simu aina ya iPhone 6 kwa mshindi wa droo  ya tatu ya kampeni ya Akaunti ya Malengo ya Dola za Kimarekani inayoendeshwa na benki hiyo, Bw DileshKumar Solanki (kushoto) katika hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika kwenye tawi hilo jana.

 

9 years ago

Michuzi

DROO YA PILI YA AIRTEL MKWANJIKA PROMOSHENI

Meneja Uhusiano wa Airtel Bwana Jackson Mmbando (wa pili kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kuendesha droo ya pili ya promosheni ya Airtel Mkawnjika ambapo washindi 28 kutoka katika mikoa mbalimbali walipatikana. Akishuhudia ni balozi wa Airtel Mkwanjika na mtangazaji wa kipindi cha planet Bongo cha EATV Abdallah Hamisi Ambua (kushoto) akifuatiwa na msimamizi wa bodi ya michezo ya kubahatisha nchini , Mrisho Milao (wa pili kulia) na Afisa Masoko wa Airtel...

 

11 years ago

GPL

Droo ya pili Shinda Mahela na Championi ni Desemba 23

Na Mwandishi Wetu
DROO ya pili ya Shinda Mahela na Championi inatarajiwa kufanyika Desemba 23, mwaka huu kwa ajili ya kuwapa zawadi za Krisimasi washindi wake. Dereva bajaj akijaza kuponi ya Promosheni ya Shinda Mahela na Championi. Zawadi ambazo…

 

9 years ago

Michuzi

DROO YA PILI YA AIRTEL MKWANJIKA PROMOSHENI YAFANYIKA

 Meneja Uhusiano wa Airtel Bwana Jackson Mmbando (wa pili kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kuendesha droo ya pili ya promosheni ya Airtel Mkawnjika ambapo washindi 28 kutoka katika mikoa mbalimbali walipatikana. Akishuhudia ni balozi wa Airtel Mkwanjika na mtangazaji wa kipindi cha planet Bongo cha EATV Abdallah  Hamisi Ambua  (kushoto) akifuatiwa na  msimamizi wa bodi ya michezo ya kubahatisha nchini , Mrisho Milao (wa pili kulia) na Afisa Masoko wa Airtel...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani