Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSHINDI DROO YA TATU EXIM APATIKANA

Meneja Utendaji na Huduma kwa wateja Benki ya Exim Tanzania tawi la makao makuu jijini Dar es Salaam, Bw. Lugano Kapologwe(kulia), akikabidhi zawadi ya simu aina ya iPhone 6 kwa mshindi wa droo  ya tatu ya kampeni ya Akaunti ya Malengo ya Dola za Kimarekani inayoendeshwa na benki hiyo, Bw DileshKumar Solanki (kushoto) katika hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika kwenye tawi hilo jana.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

BENKI YA EXIM YAPATA MSHINDI WA DROO YA PILI AKAUNTI YA MALENGO

Ofisa Masoko wa Benki ya Exim Tanzania tawi la Moshi, Bi. Elihaika Munuo (wa pili kulia), akikabidhi zawadi ya IPhone 6 kwa mshindi wa droo  ya pili ya kampeni ya Akaunti ya Malengo ya Dola za Kimarekani inayoendeshwa na benki hiyo, Bw, Rajnikant Shah, katika hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika tawi la benki ya hiyo Manispaa ya Moshi mwishoni mwa wiki.Wanaoshuhudia ni Meneja wa benki hiyo tawi la Moshi Bw. John Ngowi(kushoto) na Ofisa Uhusiano wa benki hiyo tawi la Moshi Philip Mtei...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA EXIM YAKABIDHI ZAWADI KWA MSHINDI WA DROO YA KWANZA YA KAMPENI YA AKAUNTI YA MALENGO

Meneja wa benki ya Exim tawi la Exim Tower, Bi. Rose Kanijo (kushoto), akikabidhi zawadi ya iPhone 6 kwa mshindi wa droo  ya kwanza ya kampeni ya Akaunti ya Malengo inayoendeshwa na benki hiyo, Bw, Prabhjot Singh, mkazi wa Dar es Salaam katika hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika makao makuu ya benki ya Exim jijini Dar es Salaam jana. Kampeni hiyo inayoendelea kwa miezi mitano zaidi, inalenga kuhamasisha utamaduni wa kujiwekea akiba miongoni mwa Watanzania.

 

5 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yatangaza washindi wa droo ya kwanza ya kampeni ya 'Chanja Kijanja na Exim Bank Mastercard'

 Benki ya Exim Tanzania hii leo imetangaza washindi watano wa mwezi katika kampeni yake ya 'Chanja Kijanja na Exim Mastercard'. Kampeni hiyo inalenga kuhamasisha wateja wa benki ya Exim kutumia kadi zao za Mastercard katika manunuzi ya mtandaoni au kufanya malipo kupitia mashine za malipo (POS) katika maduka mbalimbali na maeneo mengine nchini.
Akizungumza kwenye hafla fupi ya kuwatangaza washindi wa droo ya kwanza  wa kampeni hiyo iliyofanyika Makao Makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam,...

 

10 years ago

GPL

STARTIMES YAMKABIDHI MSHINDI WA DROO YA KWANZA YA PIKIPIKI KTK DROO YA PILI‏

Makamu wa Rais wa kampuni ya StarTimes Tanzania, Bi Zuhura Hanif (kulia) akimkabidhi mshindi wa droo ya kwanza ya kujishindia pikipiki ya mwezi wa Aprili, Bw Kafuku Mdaki, mkazi wa Tanga, katika hafla fupi iliyofanyika katika duka la kampuni hiyo zilizopo Bamaga-Mikocheni jijini Dar es Salaam. Kujiunga na bahati nasibu hiyo wateja wa StarTimes wanatakiwa kulipia kifurushi kuanzia shilingi 10,000/- na kuendelea.… ...

 

10 years ago

GPL

MSHINDI WA TUZO YA USHAIRI APATIKANA

Washindi wa tuzo za ushairi wa kwanza kulia ni mshindi wa pili Rashidi Abdu Rai, katikati mshindi wa kwanza Esther Mgondo na Sylvin Makila aliyeshika nafasi ya tatu. Mgeni rasmi Profesa Helman Mwansoko akizungumza jambo.…

 

11 years ago

GPL

MSHINDI WA MIL 10 WA CHAMPIONI MAHELA APATIKANA

MC Chaku (kushoto) akiwa na mmoja ya mkazi wa mbagala tiyari kwa kuchagua mshindi wa Championi Shinda Mahela. ...Kuponi za Championi Shinda Mahela.…

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA EXIM YAENDESHA DROO YA KWANZA KAMPENI YA AKAUNTI YA MALENGO


Meneja Bidhaa wa benki ya Exim, Bw Aloyse Maro akiokota moja ya kura za wateja wakati wa kuchezesha bahati nasibu ya kwanza ya kampeni ya akaunti ya malengo inayoendeshwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Wanaoshuhudia ni pamoja na mwakilishi wa Bodi ya michezo ya kubahatisha nchini Bw. Humudi Abdulhussein  (kushoto) na mmoja wa maafisa wa beki hiyo Bw George Musetti.
Benki ya Exim Tanzania imeendesha  droo yake ya kwanza ya kampeni ya akaunti ya malengo inayolenga...

 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA EXIM YAENDESHA DROO YA MWISHO YA KAMPENI YAKE YA AKAUNTI YA MALENGO.

Mmoja wa wateja wa Benki ya Exim Tanzania, Bw Kakili Juma (wa pili kushoto) akiokota karatasi yenye jina la mshindi wa droo ya mwisho na kubwa ya kampeni ya akaunti ya malengo ya Benki ya Exim Tanzania iliyofanyika makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni kwa wiki.Wanaoshuhudia kushoto ni pamoja na Meneja Bidhaa ya benki hiyo, Bw Aloyse Maro, Mwakilishi kutoka Bodi ya Taifa michezo ya kubahatisha nchini (GBT), Bw Bakari Maggid, Meneja Masoko wa benki hiyo Bw. Abdulrahman...

 

10 years ago

GPL

MSHINDI WA SH. LAKI MBILI ZA GAZETI LA UWAZI MIZENGWE APATIKANA

Mshindi akikabidhiwa zawadi na miongoni mwa wahariri wa gazeti hilo, Elvan Stambuli. Asia akionesha fedha alizojishindia.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani