BENKI YA EXIM YAPATA MSHINDI WA DROO YA PILI AKAUNTI YA MALENGO
![](http://2.bp.blogspot.com/-6xAytUAla6U/Vf_nfscBaJI/AAAAAAAH6gA/K0RYn3prS-E/s72-c/EXIM.jpg)
Ofisa Masoko wa Benki ya Exim Tanzania tawi la Moshi, Bi. Elihaika Munuo (wa pili kulia), akikabidhi zawadi ya IPhone 6 kwa mshindi wa droo ya pili ya kampeni ya Akaunti ya Malengo ya Dola za Kimarekani inayoendeshwa na benki hiyo, Bw, Rajnikant Shah, katika hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika tawi la benki ya hiyo Manispaa ya Moshi mwishoni mwa wiki.Wanaoshuhudia ni Meneja wa benki hiyo tawi la Moshi Bw. John Ngowi(kushoto) na Ofisa Uhusiano wa benki hiyo tawi la Moshi Philip Mtei...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-UhKyWtnziGA/VbjAq8hNXEI/AAAAAAAC9DA/C-WqAmop7Y4/s72-c/unnamed.jpg)
BENKI YA EXIM YAKABIDHI ZAWADI KWA MSHINDI WA DROO YA KWANZA YA KAMPENI YA AKAUNTI YA MALENGO
![](http://3.bp.blogspot.com/-UhKyWtnziGA/VbjAq8hNXEI/AAAAAAAC9DA/C-WqAmop7Y4/s640/unnamed.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-VPsGcQZ8zg8/VbXne8lf4AI/AAAAAAAC8_4/eVQ0mbvfZxY/s72-c/unnamed.jpg)
BENKI YA EXIM YAENDESHA DROO YA KWANZA KAMPENI YA AKAUNTI YA MALENGO
![](http://4.bp.blogspot.com/-VPsGcQZ8zg8/VbXne8lf4AI/AAAAAAAC8_4/eVQ0mbvfZxY/s640/unnamed.jpg)
Benki ya Exim Tanzania imeendesha droo yake ya kwanza ya kampeni ya akaunti ya malengo inayolenga...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-lyqaAhZ76QA/VmVI0BnfhEI/AAAAAAAIKnU/RjN-F_zjorQ/s72-c/DRAW%2B2%2B.jpg)
BENKI YA EXIM YAENDESHA DROO YA MWISHO YA KAMPENI YAKE YA AKAUNTI YA MALENGO.
![](http://2.bp.blogspot.com/-lyqaAhZ76QA/VmVI0BnfhEI/AAAAAAAIKnU/RjN-F_zjorQ/s640/DRAW%2B2%2B.jpg)
9 years ago
MichuziBenki ya Exim yakabidhi gari kwa mshindi wa kampeni yake ya akaunti ya malengo
Benki ya Exim Tanzania imekabidhi zawadi kuu kwa...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-pYFb1sBB0GI/VWw9dbeiBLI/AAAAAAAC5Xk/ASq9Nzr7lY0/s72-c/unnamed.jpg)
Benki ya Exim yazindua kampeni kuhamasisha akaunti ya Amana ya malengo.
![](http://4.bp.blogspot.com/-pYFb1sBB0GI/VWw9dbeiBLI/AAAAAAAC5Xk/ASq9Nzr7lY0/s320/unnamed.jpg)
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo uliofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa juma lililopita, Meneja Bidhaa wa Benki hiyo, Bw Aloyse Maro alisema lengo kuu la kampeni hiyo ni kukuza utamaduni wa kuweka akiba hapa nchini ili kuongeza tija kwenye...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Yyq9zrGrKEhxTi6y1erALV-OJt1zzsTbfBenjiTGztxbo5KTaujfR0NJaBC8otHy8N*yQJcYvHJF-b5hb44dfyvJpIfW3bKe/1.jpg?width=650)
STARTIMES YAMKABIDHI MSHINDI WA DROO YA KWANZA YA PIKIPIKI KTK DROO YA PILI
5 years ago
MichuziBenki ya Exim yatangaza washindi wa droo ya kwanza ya kampeni ya 'Chanja Kijanja na Exim Bank Mastercard'
Akizungumza kwenye hafla fupi ya kuwatangaza washindi wa droo ya kwanza wa kampeni hiyo iliyofanyika Makao Makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam,...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-v0zDzRn_wVE/VhZ81DfYM1I/AAAAAAAH94w/Jk8vnLy8HfA/s72-c/Winner%2B2.jpg)
MSHINDI DROO YA TATU EXIM APATIKANA
![](http://3.bp.blogspot.com/-v0zDzRn_wVE/VhZ81DfYM1I/AAAAAAAH94w/Jk8vnLy8HfA/s640/Winner%2B2.jpg)
11 years ago
Mwananchi19 Apr
Benki ya Exim yajipanga kufikia malengo 2016