BENKI YA EXIM YAENDESHA DROO YA KWANZA KAMPENI YA AKAUNTI YA MALENGO
Meneja Bidhaa wa benki ya Exim, Bw Aloyse Maro akiokota moja ya kura za wateja wakati wa kuchezesha bahati nasibu ya kwanza ya kampeni ya akaunti ya malengo inayoendeshwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Wanaoshuhudia ni pamoja na mwakilishi wa Bodi ya michezo ya kubahatisha nchini Bw. Humudi Abdulhussein (kushoto) na mmoja wa maafisa wa beki hiyo Bw George Musetti.
Benki ya Exim Tanzania imeendesha droo yake ya kwanza ya kampeni ya akaunti ya malengo inayolenga...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziBENKI YA EXIM YAENDESHA DROO YA MWISHO YA KAMPENI YAKE YA AKAUNTI YA MALENGO.
10 years ago
MichuziBENKI YA EXIM YAKABIDHI ZAWADI KWA MSHINDI WA DROO YA KWANZA YA KAMPENI YA AKAUNTI YA MALENGO
9 years ago
MichuziBENKI YA EXIM YAPATA MSHINDI WA DROO YA PILI AKAUNTI YA MALENGO
5 years ago
MichuziBenki ya Exim yatangaza washindi wa droo ya kwanza ya kampeni ya 'Chanja Kijanja na Exim Bank Mastercard'
Akizungumza kwenye hafla fupi ya kuwatangaza washindi wa droo ya kwanza wa kampeni hiyo iliyofanyika Makao Makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam,...
10 years ago
MichuziBenki ya Exim yazindua kampeni kuhamasisha akaunti ya Amana ya malengo.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo uliofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa juma lililopita, Meneja Bidhaa wa Benki hiyo, Bw Aloyse Maro alisema lengo kuu la kampeni hiyo ni kukuza utamaduni wa kuweka akiba hapa nchini ili kuongeza tija kwenye...
9 years ago
MichuziBenki ya Exim yakabidhi gari kwa mshindi wa kampeni yake ya akaunti ya malengo
Benki ya Exim Tanzania imekabidhi zawadi kuu kwa...
11 years ago
Mwananchi19 Apr
Benki ya Exim yajipanga kufikia malengo 2016
11 years ago
MichuziKAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YAENDESHA DROO YA KWANZA YA WINDA SAFARI YA BRAZILI NA SERENGETI.