Benki ya Exim yatangaza washindi wa droo ya kwanza ya kampeni ya 'Chanja Kijanja na Exim Bank Mastercard'
Benki ya Exim Tanzania hii leo imetangaza washindi watano wa mwezi katika kampeni yake ya 'Chanja Kijanja na Exim Mastercard'. Kampeni hiyo inalenga kuhamasisha wateja wa benki ya Exim kutumia kadi zao za Mastercard katika manunuzi ya mtandaoni au kufanya malipo kupitia mashine za malipo (POS) katika maduka mbalimbali na maeneo mengine nchini.
Akizungumza kwenye hafla fupi ya kuwatangaza washindi wa droo ya kwanza wa kampeni hiyo iliyofanyika Makao Makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam,...
Michuzi