Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DROO YA KWANZA YA KUJISHINDIA PIKIPIKI NA STARTIMES‏

Makamu wa Rais wa StarTimes Tanzania, Zuhura Hanif (wa kwanza kulia) akifuatilia kwenye luninga droo ya bahati nasibu  ya kwanza ya kujishindia pikipiki iliyochezeshwa na kampuni hiyo katika duka lao lililopo Bamaga-Mikocheni jijini Dar es Salaam. Wakifuatilia kwa makini zoezi hilo kushoto ni Msimamizi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha ya Taifa, Mrisho Milao na katikati ni Msimamizi wa Mfumo wa Kompyuta wa kampuni hiyo,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

STARTIMES YAMKABIDHI MSHINDI WA DROO YA KWANZA YA PIKIPIKI KTK DROO YA PILI‏

Makamu wa Rais wa kampuni ya StarTimes Tanzania, Bi Zuhura Hanif (kulia) akimkabidhi mshindi wa droo ya kwanza ya kujishindia pikipiki ya mwezi wa Aprili, Bw Kafuku Mdaki, mkazi wa Tanga, katika hafla fupi iliyofanyika katika duka la kampuni hiyo zilizopo Bamaga-Mikocheni jijini Dar es Salaam. Kujiunga na bahati nasibu hiyo wateja wa StarTimes wanatakiwa kulipia kifurushi kuanzia shilingi 10,000/- na kuendelea.… ...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YATANGAZA WASHINDI WA KWANZA WA DROO YA PROMOSHENI YA "JIONGEZE NA MSHIKO"‏

Meneja uhusiano wa Airtel, bwana Jackson Mmbando akiongea na mshindi aliyepatikana wakati wa kuchezesha droo ya kwanza ya wiki ya promosheni ya "Jiongeze na Mshiko" ambapo wateja wawili wa Airtel kutoka mikoa ya Geita na Mtwara walipatikana akichukua taarifa za mshindi (kushoto) ni mkaguzi kutoka bodi ya michezo ya kubahatisha bwana Humudi Abdul Hussein na Afisa huduma za ziada Airtel bwana Fabian Felician.(kati) droo hii...

 

9 years ago

Michuzi

WASOMAJI WA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS KUJISHINDIA NYUMBA, PIKIPIKI, TV NA ZAWADI NYINGINE NYINGI.

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (katikati) akizindua Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba inayoendeshwa na Kampuni ya Global Publishers Ltd. Kulia ni Meneja Mkuu wa Global Publishers Ltd, Abdallah Mrisho na kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers Ltd, Eric James Shigongo.Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akiongea na wanahabari (hawapo pichani) kabla ya uzinduzi wa Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba kutoka Global.Wafanyakazi wa Global Publishers wakiwa katika picha ya...

 

10 years ago

GPL

MJASIRIAMALI WA VYAKULA VYA MIFUGO AJISHINDIA PIKIPIKI YA STARTIMES

Makamu wa Rais wa kampuni ya StarTimes Tanzania, Bi Zuhura Hanif (kulia) akimuelekeza mshindi wa droo ya tatu ya mwezi wa Aprili, Bi Mary Luis Tumsifu, mfanyabiashara wa vyakula vya mifugo na mfugaji pia, mkazi wa Kijitonyama jijini Dar es Salaam namna ya kuchomeka ufunguo wa pikipiki katika hafla fupi iliyofanyika katika duka la kampuni hiyo zilizopo Bamaga-Mikocheni jijini Dar es Salaam. Kujiunga na bahati nasibu hiyo wateja wa...

 

10 years ago

GPL

STAR TIMES YAKABIDHI PIKIPIKI KWA MSHINDI DROO YA PILI

Makamu wa Rais wa kampuni ya StarTimes Tanzania, Bi Zuhura Hanif (kulia) akimkabidhi funguo ya pikipiki mshindi wa droo ya pili ya mwezi wa Aprili, Bi Janemerry Suraphel, mkazi wa Dar es Salaam, katika hafla fupi iliyofanyika katika duka la kampuni hiyo zilizopo Bamaga-Mikocheni jijini Dar es Salaam. Kujiunga na bahati nasibu hiyo wateja wa StarTimes wanatakiwa kulipia kifurushi kuanzia shilingi 10,000/- na kuendelea. Makamu wa...

 

9 years ago

GPL

WATEJA WA AIRTEL WAENDELEA KUJISHINDIA PESA TASLIM KILA WIKI‏

Afisa mauzo wa Airtel Fabian Felician (kulia) akimzawadia shilingi million tatu, Bwana Isack Willson Mrema kutoka Dar Es Salaam baada ya kuwa mshindi katika droo ya kumi na tatu ya promosheni ya “Jiongeze na Mshiko”. Meneja mauzo wa Airtel bwana Emmanuel Raphael (kulia) akimpongeza bwana Josephat Sagati (kushoto) kutoka Musoma, baada ya kuibuka mshindi katika droo ya kumi na tatu ya promosheni ya “Jiongeze na Mshiko” na...

 

9 years ago

Michuzi

STARTIMES YAKABIDHI JEZI KWA TIMU ZA LIGI DARAJA LA KWANZA SFDL

 Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa StarTimes Tanzania, Bw. Lanfang Liao (katikati) akimkabidhi jezi mmoja wa wawakilishi wa timu zinazoshiriki ligi daraja la kwanza ya StarTimes (SFDL) wakati wa hafla ya kukabidhi jezi hizo iliyofanyika jijini Dar es Salaam Jumatano. Kushoto akipiga makofi ni Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Bw. Jamal Malinzi. (Picha na mpiga picha wetu). Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa StarTimes Tanzania, Bw. Lanfang Liao (Kushoto) akimkabidhi jezi mmoja...

 

10 years ago

GPL

STARTIMES YAZINDUA X MASS PROMOTION‏

Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Star Media Tanzania ambao ni wauzaji na wasambazaji wa ving’amuzi vya StarTimes, StarTimes Tanzania, Jack Yu (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa promosheni ya krisimasi na mwaka mpya ambapo wameshusha bei ya ving’amuzi vya antenna kutoka sh. 79,000/- mpaka 59,000/- na ofa ya simu ya kisasa ya bure aina ya S100 endapo mteja atalipia...

 

10 years ago

GPL

STARTIMES YAZINDUZI KIFURUSHI KIPYA CHA NYOTA‏

 Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa StarTimes Tanzania, Jacky Yu (kulia), akizungumza katika uzinduzi huo. Baadhi ya wateja wakiangalia chaneli mbalimbali zinazorushwa na StarTimes kupitia vifurushi vyao mbalimbali.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani