MJASIRIAMALI WA VYAKULA VYA MIFUGO AJISHINDIA PIKIPIKI YA STARTIMES
Makamu wa Rais wa kampuni ya StarTimes Tanzania, Bi Zuhura Hanif (kulia) akimuelekeza mshindi wa droo ya tatu ya mwezi wa Aprili, Bi Mary Luis Tumsifu, mfanyabiashara wa vyakula vya mifugo na mfugaji pia, mkazi wa Kijitonyama jijini Dar es Salaam namna ya kuchomeka ufunguo wa pikipiki katika hafla fupi iliyofanyika katika duka la kampuni hiyo zilizopo Bamaga-Mikocheni jijini Dar es Salaam. Kujiunga na bahati nasibu hiyo wateja wa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMJASIRIAMALI AJISHINDIA MILION 10 ZA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM
10 years ago
GPLMJASIRIAMALI AJISHINDIA MILION 10 ZA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM
10 years ago
GPLDROO YA KWANZA YA KUJISHINDIA PIKIPIKI NA STARTIMES
10 years ago
GPLSTARTIMES YAMKABIDHI MSHINDI WA DROO YA KWANZA YA PIKIPIKI KTK DROO YA PILI
5 years ago
MichuziSERIKALI IMEKABIDHIWA VIFAA VYA MAABARA VYA UCHUNGUZI NA UTAMBUZI WA MAGONJWA YA MIFUGO
Vifaa hivyo vimetolewa na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) kwa kufadhiliwa na Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID) chini ya programu ya Ajenda ya Usalama wa Afya Ulimwenguni (GHSA-ZDAH).
Lengo ni kukuza uwezo wa dunia wa kujilinda dhidi ya hatari za...
9 years ago
Mwananchi27 Aug
MJASIRIAMALI : Mazingira yanawezaje kumuathiri mjasiriamali?
10 years ago
Tanzania Daima18 Nov
TEDDY DAVIS: Mjasiriamali anayehimiza Watanzania kuthamini vya kwao
TEDDY Alban Davis, ni mwekezaji mdogo na wa kati wa mkoa wa Pwani hususan Wilaya ya Bagamoyo kwa kuwekeza kwenye bidhaa mbalimbali na kinywaji. Davis, Mkurugenzi wa Smoke House Store,...
9 years ago
BBCSwahili16 Dec
Vyakula vya kiasili: Matoke
11 years ago
Tanzania Daima21 Feb
Tamasha la vyakula vya Kihindi Jumapili
TAMASHA la vyakula vya Kihindi lenye lengo la kuongeza urafiki miongoni mwa Watanzania wanaovutiwa na vyakula hivyo linatarajiwa kufanyika viwanja vya Coco Beach jijini Dar es Salaam keshokutwa. Akizungumza na...