MJASIRIAMALI : Mazingira yanawezaje kumuathiri mjasiriamali?
Katika moja ya makala zangu za nyuma niliwahi kuandika juu ya umuhimu wa kuwa na mazingira mazuri ya kufanyia biashara. Katika makala haya ninaangazia athari za kuwa na mazingira mabovu ya kufanyia biashara kwa wajasiriamali.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi02 Apr
Athari za mazingira mabaya kwa mjasiriamali
Katika moja ya makala zangu za kipindi cha nyuma, niliwahi kuandika juu ya umuhimu wa kuwa na mazingira mazuri ya kufanyia biashara. Leo nazungumzia kinyume chake. Katika makala haya ninaangazia athari za kuwa na mazingira mabaya ya kufanyia biashara kwa wajasiriamali.
10 years ago
BBCSwahili22 Dec
Ndoto ya mjasiriamali
Hii ni Makala ya mwisho katika mfululizo wa ndoto ya Africa,Makala ambayo ilikuwa ikiwaangazia wajasiriamali wa bara hili kwa muda wa wiki nane sasa.
10 years ago
Mwananchi15 Jan
Kona ya mjasiriamali
Mimi ni msanii wa muziki na malengo yangu ni siku moja kuwa msanii bora ili niache kazi hii ya uchoraji ingawa nayo ni fani yangu.
10 years ago
Mwananchi02 Nov
Mjasiriamali anayepingana na kushindwa maishani
Ni mwanamama mwenye vipaji lukuki na ambaye kwa kauli yake anabainisha kuwa wanawake popote walipo wakikubali kushindwa ni lazima watashindwa tena vibaya sana, lakini wakiamua kupambana hakuna kushindwa.
10 years ago
BBCSwahili24 Sep
Mjasiriamali awavutia vijana Kenya
Martha Chumo ana umri wa miaka 20 na ni mwanzilishi wa chuo cha Dev School ambacho huwapa wanafunzi mafunzo vijana wenzake.
11 years ago
Habarileo15 Jun
Shindano kumpata mjasiriamali bora
SHINDANO la kumtafuta mjasiriamali atakayeweza kufanya kazi kwa kuboresha maisha ya watoto waishio katika mazingira magumu linazinduliwa leo rasmi jijini Dar es Salaam.
5 years ago
BBCSwahili13 Mar
Biashara ya mapambo yamtayarisha mjasiriamali wa kike
Kwa mtaji wa dola 200 sasa, mjasiri amali wa kike huko Manchester apata umaarufu.
10 years ago
Mwananchi19 Mar
MJASIRIAMALI : Umuhimu wa huduma kwa mteja
Biashara inahitaji watu waliokusudia kutoa huduma nzuri kwa wateja. Hii ni kutokana na ukweli kuwa wateja ndiyo nguzo kuu ya biashara ambazo mtu anafanya. Ndiyo maana tuna msemo maarufu wa Kiswahili usemao, “Mteja ni mfalmeâ€.
10 years ago
Mwananchi29 Jan
Vitu muhimu vinavyomtambulisha mjasiriamali makini
mjasiriamali lina maana nyingi kulingana na mazingira, muktadha na uelewa wa mtu juu ya taaluma hii ya ujasiriamali.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania