Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Athari za mazingira mabaya kwa mjasiriamali

Katika moja ya makala zangu za kipindi cha nyuma, niliwahi kuandika juu ya umuhimu wa kuwa na mazingira mazuri ya kufanyia biashara. Leo nazungumzia kinyume chake. Katika makala haya ninaangazia athari za kuwa na mazingira mabaya ya kufanyia biashara kwa wajasiriamali.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

JUNI 15, 2020 MWISHO USAJILI MIRADI YA UCHENJUAJI DHAHABU KWA AJILI YA TATHMINI YA ATHARI KWA MAZINGIRA NA UKAGUZI WA MAZINGIRA


JUNI 15, 2020 MWISHO USAJILI WA MIRADI YA UCHENJUAJI DHAHABU (LEACHING AND ELUTION PLANTS) KWA AJILI YA TATHMINI YA ATHARI KWA MAZINGIRA (ENVIRONMENTAL IMPACT ASSESSMENT) NA UKAGUZI WA MAZINGIRA (ENVIRONMENTAL AUDIT)
Dar es Salaam, May 5, 2020.

Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) linawatangazia wawekezaji wote wanaojihusisha na shughuli za uchenjuaji wa madini ya dhahabu (“vat leaching na elusion plants”) kuwa, kwa mujibu wa Sheria ya Usimamizi wa Mazingira ya Mwaka...

 

9 years ago

Mwananchi

MJASIRIAMALI : Mazingira yanawezaje kumuathiri mjasiriamali?

Katika moja ya makala zangu za nyuma niliwahi kuandika juu ya umuhimu wa kuwa na mazingira mazuri ya kufanyia biashara. Katika makala haya ninaangazia athari za kuwa na mazingira mabovu ya kufanyia biashara kwa wajasiriamali.

 

9 years ago

Michuzi

KEMIKALI ZIKITUMIKA IPASAVYO ZITAPUNGUZA ATHARI KWA WATU NA MAZINGIRA.

(Na Jovina Bujulu- MAELEZO)Kukosekana kwa uelewa juu ya hatari na madhara yanayoweza kusababishwa na kemikali kumetajwa kuwa ni chanzo kikubwa cha ajali mbali mbali hapa nchini.
Hayo  yamesemwa jijini Dar es salaam  na Meneja wa Kanda ya Mashariki wa Wakala wa Maabara  ya Mkemia Mkuu  wa Serikali Ndugu Daniel Ndiyo alipokuwa akizungumzia utekelezaji wa Sheria ya Usimamizi  na uthibiti wa kemikali.
“Chanzo kikubwa cha ajali na matukio mengi ya kemikali yanayotokea yanatokana na kukosekana kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Kilahama: Athari za mazingira sasa zinavuruga uchumi nchini

Utafiti uliofanywa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa kutumia mradi wake wa Tathmini ya Rasilimali za Misitu, 2013 unaonyesha kuwa tani milioni moja za mkaa kila mwaka hutokana na ukataji wa misitu.

 

5 years ago

Michuzi

MAZINGIRA HAYA NI MABAYA,NI MAGUMU NA YANAUMIZA SANA KISAIKOLOJIA,MTU ASIOMBE KABISA KUKOSA UHURU WA KUTOKA NDANI-TOGOLANI

Utangulizi
Nianze ujumbe wangu kwa kutangaza maslahi binafsi. 
Hapa nilipo, hii ni wiki ya pili tunamaliza tukiwa chini ya “total lockdown”. Nchi nzima tunalazimika kukaa ndani muda na hatujui tutatoka lini. Sina hakika na watu wengine waliowahi kuishi mazingira ya aina hii, ila niseme kwa ujasiri kabisa kwamba mazingira haya ni mabaya, ni magumu, na yanaumiza sana kisaikolojia. 
Muda mwingi huwezi kufanya lolote la maana kwa kuwa unakua kama umepoteza "network". Mtu asiombe kabisa kukosa uhuru...

 

11 years ago

Michuzi

UFUNGUZI WA WARSHA YA WADAU KUJADILI TAARIFA YA TATHIMINI YA ATHARI ZA KIJAMII NA MAZINGIRA YA MRADI WA UJENZI WA BARABARA YA NGERENGERE HADI KIDUNDA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe Said Mecky Sadiki akitoa maelezo machache kuhusu suala la upatikanaji wa maji Mkoani mwake, katika warsha iliyofanyika katika hoteli ya Nashera mjini Morogoro.  Mkuu wa Mkoa wa Pwani,  Mhe. Mwantumu Mahiza , akitoa salamu pamoja na umuhimu wa ushirikishwaji wadau mbalimbali katika kulinda mazingira na vyanzo vya maji. Kwa habari kamili BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA ILALA,RAYMOND MUSHI AWAAGIZA WATAALAMU WA MAZINGIRA KUTOA ELIMU UTUNZAJI WA MAZINGIRA KWA WANANCHI

Na Avila kakingo,Globu ya Jamii.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Raymond Mushi amewaagiza watendaji na wataalamu na wenye elimu ya utunzaji wa Mazingira kutoa elimu kuhusu utunzanzaji wa mazingira na athari za mabadiliko ya tabia ya nchi kwa wananchi wote.
Akizungumza leo na Waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo,Mkuu wa Wilaya ya Ilala Raymond Mushi amesema kuwa katika maadhimisho hayo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiki ndiye Mgeni rasmi katika maadhimisho ya Wiki ya...

 

10 years ago

Mwananchi

MJASIRIAMALI : Umuhimu wa huduma kwa mteja

Biashara inahitaji watu waliokusudia kutoa huduma nzuri kwa wateja. Hii ni kutokana na ukweli kuwa wateja ndiyo nguzo kuu ya biashara ambazo mtu anafanya. Ndiyo maana tuna msemo maarufu wa Kiswahili usemao, “Mteja ni mfalme”.

 

10 years ago

Michuzi

MATUMIZI MABAYA YA ARDHI TISHIO KWA UHIFADHI

Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu 
 Na Woinde Shizza,Arusha.
Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu amesema kuwa matumizi mabaya ya ardhi yasiyozingatia mpango bora wa matumizi ya ardhi yamekua tishio kwa maeneo uhifadhi hivyo kupelekea uvamizi wa maeneo hayo na kutumiwa kwa shughuli za ufugaji na kilimo kinyume cha utaratibu.
Nyalandu amesema hayo jana wakati akihutubia mkutano wa kati ya Wizara na Jumuiya za Hifadhi za Wanyamapori (WMAs) uliofanyika jijini hapa,amesema kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani