Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAZINGIRA HAYA NI MABAYA,NI MAGUMU NA YANAUMIZA SANA KISAIKOLOJIA,MTU ASIOMBE KABISA KUKOSA UHURU WA KUTOKA NDANI-TOGOLANI

Utangulizi
Nianze ujumbe wangu kwa kutangaza maslahi binafsi. 
Hapa nilipo, hii ni wiki ya pili tunamaliza tukiwa chini ya “total lockdown”. Nchi nzima tunalazimika kukaa ndani muda na hatujui tutatoka lini. Sina hakika na watu wengine waliowahi kuishi mazingira ya aina hii, ila niseme kwa ujasiri kabisa kwamba mazingira haya ni mabaya, ni magumu, na yanaumiza sana kisaikolojia. 
Muda mwingi huwezi kufanya lolote la maana kwa kuwa unakua kama umepoteza "network". Mtu asiombe kabisa kukosa uhuru...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MHADHIRI CHUO KIKUU ASEMA NI VIGUMU SANA KWA MAZINGIRA YA SASA KUZUNGUMZIA MTU ANAYEWEZA AKASIMAMA AKAWA BORA KULIKO RAIS MAGUFULI...

MHADHARI wa Chuo Kikuu Saint John jijini Dodoma Dk.Alfred Sebahene amesema kwamba ni vigumu sana katika mazingira tuliyonayo kwa sasa kuzungumzia mtu anaweza kusimama akawa bora kuliko Rais Dk.John Magufuli.
Akizungumzia kuhusu utendaji kazi wa Rais Dk.Magufuli ,Dk.Sebahene amefafanua kuwa ni vigumu kwa sababu wananchi wameona matokeo chanya ya jitihada za Serikali hii ya Awamu ya Tano na kusisitiza kuna jitihada kubwa sana na mambo yanayoonekana ndio ambayo Mtanzania anataka kuyazingatia...

 

10 years ago

Mwananchi

Athari za mazingira mabaya kwa mjasiriamali

Katika moja ya makala zangu za kipindi cha nyuma, niliwahi kuandika juu ya umuhimu wa kuwa na mazingira mazuri ya kufanyia biashara. Leo nazungumzia kinyume chake. Katika makala haya ninaangazia athari za kuwa na mazingira mabaya ya kufanyia biashara kwa wajasiriamali.

 

11 years ago

Habarileo

Mil. 50/- zasomesha wa mazingira magumu

IDARA ya Ustawi wa Jamii katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida mkoani Singida imetumia jumla ya Sh milioni 50 kuhudumia watoto mbalimbali waishio kwenye mazingira hatarishi kwenye Manispaa hiyo katika kipindi cha mwaka wa fedha 2013/2014.

 

11 years ago

Habarileo

Wageni wadaiwa kuongeza watoto wa mazingira magumu

RAIA wa kigeni wameshutumiwa kuwa sehemu ya ongezeko la watoto wanaoishi katika mazingira magumu kwa kupachika mimba wanawake wa kitanzania na kuwatelekeza. Hayo yameelezwa na mratibu msaidizi wa kituo cha kulelea watoto waishio katika mazingira magumu cha Samaritan Village Tanzania, Agnes Mtui kilichopo eneo la Moshono jijini Arusha.

 

11 years ago

Habarileo

Serikali yakiri kutolipa posho ya mazingira magumu

BUNGE limeelezwa kuwa fedha za motisha zilizotengwa kwa ajili ya ajira mpya ya walimu wanaopelekwa katika halmashauri zenye mazingira magumu, hawakupewa. Hatua hiyo imeelezwa kutokana na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, kubaini kuwa walimu walioripoti katika halmashahuri hizo miaka iliyopita hawakupatiwa licha ya kuwa fedha hizo zilipitishwa katika Bunge la Bajeti la 2013/14.

 

11 years ago

Habarileo

‘Mzee Karume alikuwa mtu wa maamuzi magumu’

 hayati Abeid Amaan KarumeRAIS wa Kwanza wa Zanzibar, hayati Abeid Amaan Karume anatajwa kuwa mfano wa kuigwa wa kufikia maamuzi magumu.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Kenya yathibitisha mtu wakwanza amepona kabisa covid-19

''Hii inamaanisha kuwa ugonjwa huu unaweza kukabiliwa''alisema rais Kenyatta katika hotiba yake kwa taifa.

 

10 years ago

StarTV

Serikali yaombwa kuwajengea makazi waishio mazingira magumu.

Na Frederick Siwale,

Njombe.

Watoto wanaoishi katika mazingira magumu na hatarishi mkoani Njombe wameiomba Serikali kuwajengea makazi ili kutambuliwe na kuhifadhiwa waweze kuondokana na adha ya maisha wanayokabiliana nayo hivi sasa.

 

Walitoa kauli hiyo kwa nyakati tofauti wakati kamera ya Star Tv ilipowafikia ambapo imebainika kuwa wanakutana na changamoto mbalimbali katika makazi yasiyo ya kudumu ikiwemo majumba mabovu na  maeneo ya masoko.

 

Watoto hao ambao wengi wao ni yatima wamekuwa...

 

11 years ago

Michuzi

WAANDISHI WANAWAKE WANAFANYA KAZI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU-UTAFITI

Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Irina Bokova, ( kati kati) akizungumza wakati wa majadiliano kuhusu Teknolojia ya habari na mawasiliano na mchango wa vyombo huru vya habari katika kuwawezesha wanawake na watoto wa kike, katika majadiliano hayo, wazungumzaji waliokaa meza kuu ambao ni kutoka kushoto, Bi. Elisa Munoz, Mkurugenzi Mtendaji wa IWMF, Muwakilishi wa Kudumu wa Austria Balozi Martin Sjdik, Bw. Peter Launsky-Tieffenthal Katibu Mkuu Msaidizi na mkuu wa Idara ya ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani