Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MHADHIRI CHUO KIKUU ASEMA NI VIGUMU SANA KWA MAZINGIRA YA SASA KUZUNGUMZIA MTU ANAYEWEZA AKASIMAMA AKAWA BORA KULIKO RAIS MAGUFULI...

MHADHARI wa Chuo Kikuu Saint John jijini Dodoma Dk.Alfred Sebahene amesema kwamba ni vigumu sana katika mazingira tuliyonayo kwa sasa kuzungumzia mtu anaweza kusimama akawa bora kuliko Rais Dk.John Magufuli.
Akizungumzia kuhusu utendaji kazi wa Rais Dk.Magufuli ,Dk.Sebahene amefafanua kuwa ni vigumu kwa sababu wananchi wameona matokeo chanya ya jitihada za Serikali hii ya Awamu ya Tano na kusisitiza kuna jitihada kubwa sana na mambo yanayoonekana ndio ambayo Mtanzania anataka kuyazingatia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mhadhiri wa chuo kikuu Mzumbe awataka maafisa ugavi na manunuzi nchini kuzingatia ubora na viwango

TA1Afisa Mwandamizi Uraghibishi wa Ushindani,Alex Mbaga akizungumza kwenye semina hiyo leo kwa wataalamu wa manunuzi na ugavi kutoka taasisi mbalimbali juu ya manunuzi yanayozingatia thamani (Value for Money) iliyofanyika kwenye hotel ya Tanga Beach Resort mjini hapa. TA2 Mkuu wa Idara ya Cartels (Makubaliano yanayodhirisha ushindani) kutoka Tume ya Ushindani Dar es Salaam,Shedrack Nkelebe akisisitiza jambo kwenye semina hiyo iliyohusisha wataalamu wa manunuzi na ugavi kutoka taasisi mbalimbali...

 

10 years ago

Michuzi

Chuo Kikuu cha Uhio chaendesha mafunzo kwa vijana kuwa viongozi bora

Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii
Chuo Kikuu cha Uhio nchini Marekani kinaendesha mafunzo kwa vijana ya kuwa viongozi bora katika nchi zilizopo katika jangwa la Sahara.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo,Katibu wa Kwanza wa Mawasiliano ya Umma wa Ubalozi wa Marekani nchini,Marissa Maurer amesema kuwa program ya kutoa mafunzo kwa viongozi vijana imaeazishwa na Chuo Kikuu Cha Uhio nchini Marekani  ambapo fedha inayoendesha mafunzo ni ya serikali ya watu Marekani...

 

11 years ago

Michuzi

BONANZA LA CHUO KIKUU DODOMA LAFAFANA SANA,PPF YATOA UDHAMINI

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma UDOM,Prof.Idrissa Kitila mwishoni mwa wiki alifunga BONANZA la michezo mbalimbali iliyofanyika chuoni hapo kwa muda wa wiki moja.Michezo hiyo ilifadhiliwa na mfuko wa mafao ya Jamii PPF ambapo ilikutanisha timu mbali mbali katika mpira wa pete na mguu.
Timu zilizoshiriki zilikuwa nane,timu kutoka School saba na timu kutoka Utawala moja.Pamoja na mpira wa Pete na Miguu kulikuwepo mashindano ya kuvuta kamba na kukimbiza kuku,Katika siku ya kufunga...

 

5 years ago

BBCSwahili

VBertolt Meyer : Mtu anayeweza kutengeneza muziki kwa ubongo wake

Mwanamuziki wa muziki wa elektroniki Bertolt Meyer ameiambia BBC Radio 5 Live jinsi anavyoweza kuunganisha mkono wake bandia na mishipa na kucheza muziki kwa kuufikiria muziki huo

 

10 years ago

Michuzi

Mahafali ya tano ya chuo kikuu cha St. John's mjini Dodoma yafana sana leo

 Kushoto mkurugenzi wa Wateja wakubwa, Taasisi na mashirika wa benki ya CRDB Philip Alfred akiwakabidhi viongozi wa chuo kikuu cha Mtakatifu Yohana (St, John's) cha mjini Dodoma Mfano wa hundi ya shilingi milioni 10 kwa ajili ya kuchangia maendeleo ya chuo hicho kilichopo chini ya kanisa la Anglican TanzaniaSehemu ya wahitimu kwenye mahafali hayo   Wahitimu wa kozi mbalimbali za chuo kikuu cha St, John's wakiwa katika mahafali ya tano ya chuo hicho yaliyofanyika mjini Dodoma.Baadhi ya...

 

10 years ago

Bongo5

Young Killer asema video ya ‘Umebadilika’ itakuwa bora kuliko zote alizowahi kufanya

Rapper Young Killer Msodoki, amedai kuwa video ya wimbo wake ‘Umebadilika’ aliomshirikisha Banana Zorro itakuwa bora zaidi kuliko video zote alizowahi kufanya. Video hiyo iliyoongozwa na Hefemi Studios imefanyika katika visiwa vya Mbudya jijini Dar es Salaam. Msodoki ameiambia Kikwetu Blog kuwa uzuri wa video hiyo utachangiwa na mandhari aliyoyatumia ambayo yatapendezeshwa na muonekano wa […]

 

9 years ago

StarTV

Lowassa asema hana shaka na elimu ya bure mpaka chuo kikuu.

Mgombea wa Urais kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA,anayewakilisha pia vyama vya siasa vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi UKAWA Edward Lowasa, amesema hana shaka juu ya mpango wake wa kutoa elimu ya bure kuanzia gazi ya awali hadi chuo kikuu, kwakuwa rasilimali zilizopo nchini ninajitosheleza kuwahudumia wananchi.

Lowasa amewekea mkazo mpango wake huo katika mkutano wake wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya Sinoni Mkoani Arusha, ambapo amesema ikiwa atachaguliwa kuwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wasichana 22 waliokuwa katika mazingira magumu wahitimu Chuo Kikuu Huria cha Tanzania

kkNaibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na watoto Mhe. Dkt. Pindi H. Chana (Mb)akimpongeza Bi. Jane Malyi kiongozi wa wahitimu wa mafunzo ya ujasiriamali na urembo mara baada ya kutoa neno fupi kwa niaba ya wahitimu wa mafunzo hayo katika chuo Kikuu Huria cha Tanzania, jijini Dar es salaam 

Na erasto Ching’oro

 Wasichana 22 kutoka mazingira hatarishi wamehitimu mafunzo ya ujasiriamali, mawasiliano, ususi wa nywele na urembo katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania jijini Dar es...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani