Chuo Kikuu cha Uhio chaendesha mafunzo kwa vijana kuwa viongozi bora
Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii
Chuo Kikuu cha Uhio nchini Marekani kinaendesha mafunzo kwa vijana ya kuwa viongozi bora katika nchi zilizopo katika jangwa la Sahara.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo,Katibu wa Kwanza wa Mawasiliano ya Umma wa Ubalozi wa Marekani nchini,Marissa Maurer amesema kuwa program ya kutoa mafunzo kwa viongozi vijana imaeazishwa na Chuo Kikuu Cha Uhio nchini Marekani ambapo fedha inayoendesha mafunzo ni ya serikali ya watu Marekani...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi28 Mar
10 years ago
MichuziCHUO KIKUU CHA BAGAMOYO (UB) CHATOA MAFUNZO KWA MAOFISA WA SERIKALI KUTOKA NCHI 15 KUHUSU UANDIKAJI WA MIKATABA YA UWEKEZAJI NA BIASHARA
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Kimataifa wa kuwajengea uwezo maofisa wa serikali kuhusu uandikaji wa mikataba inayohusu...
11 years ago
GPLZANZIBAR KUANZISHA CHUO CHA MAFUNZO YA AMALI KWA WANAWAKE KWA KUSHIRIKIANA NA CHUO CHA BAREFOOT CHA INDIA
10 years ago
GPLCHUO KIKUU KISHIRIKI CHA USHIRIKA NA BIASHARA MOSHI (MUCCOBS) CHAWA CHUO KIKUU KAMILI
5 years ago
MichuziCHUO KIKUU CHA SAUT NA KAMPUNI YA REAL PR SOLUTIONS WASAINI MAKUBALIANO YA UTEKELEZAJI WA PAMOJA MPANGO WA MAFUNZO KWA WADAU WA UTALII UJULIKANAO “UTALII MPYA WAKATI NA BAADA YA CORONA" .
Zaidi, mafunzo hayo yanalenga pia kuandaa wadau wa utalii hapa nchini ili waweze kutoa huduma zao kwa weledi huku wakizingatia kanuni za kiafya pindi sekta hiyo itakapoimarika baada ya kuathirika kwa kiasi kikubwa kutokana na janga la ugonjwa wa homa ya mapafu (COVID0-19) unaosababishwa na virus vya corona ambalo...
10 years ago
MichuziViongozi mbalimbali wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DARUSO) wafanya ziara Bungeni Mjini Dodoma
10 years ago
GPLCHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE CHAIOMBA SERIKALI KUPELEKA VIONGOZI WAKE KUSOMEA MAFUNZO YA MAADILI NA UONGOZI
10 years ago
VijimamboMAHAFALI YA 5 YA CHUO KIKUU KIKUU CHA ST, JOHN DODOMA YAFANA.
10 years ago
Dewji Blog17 Mar
Chuo cha takwimu cha India kutiliana saini mkataba wa makubaliano ya mafunzo ya watalamu wa Chuo ch EASTC
Mkuu wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika (EASTC) Prof. Innocent Ngalinda akimwelezea Naibu Balozi wa India nchini Balvinder Humpal kuhusu chumba cha kompyuta kilichopo chuoni hapo wakati wa kuangalia maadalizi ya kutiliana saini ya Mkataba wa Makubaliano ya Mafunzo ya Watalaam wa Takwimu wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika na Chuo cha Takwimu cha nchini India utakaosainiwa tarehe 28 Machi, 2015.(PICHA NA VERONICA KAZIMOTO).
Na Veronica Kazimoto, MAELEZO
Chuo cha Takwimu Mashariki...