CHUO KIKUU CHA BAGAMOYO (UB) CHATOA MAFUNZO KWA MAOFISA WA SERIKALI KUTOKA NCHI 15 KUHUSU UANDIKAJI WA MIKATABA YA UWEKEZAJI NA BIASHARA
Naibu Mkamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo (UB), anayeshughulikia Masuala ya Fedha, Dk. Elifuraha Mtalo (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoaj na washiriki wa mkutano kuwajengea uwezo maofisa wa serikali wa kujadili mikataba inayohusu uwekezaji pamoja na biashara, walipotembelea Ofisi za Chuo Kikuu cha Bagamoyo zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Kimataifa wa kuwajengea uwezo maofisa wa serikali kuhusu uandikaji wa mikataba inayohusu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziCHUO KIKUU CHA BAGAMOYO CHAWAFUNDA MAOFISA BIASHARA WA NCHI 15
Na Happiness Katabazi
CHUO Kikuu cha Bagamoyo (UB), kimesema kitaendelea kuandaa...
10 years ago
GPLCHAMA CHA MADEREVA TANZANIA CHATOA TAMKO KUHUSU MIKATABA YAO NA SERIKALI
10 years ago
MichuziSERIKALI YAKIPONGEZA CHUO KIKUU CHA BAGAMOYO (UB)
Kwa habari kamili na picha zaidi BOFYA HAPA
10 years ago
GPLCHUO KIKUU KISHIRIKI CHA USHIRIKA NA BIASHARA MOSHI (MUCCOBS) CHAWA CHUO KIKUU KAMILI
10 years ago
VijimamboChuo cha Biashara Dae-es-Salaam (CBE) Chatoa Msaada kwa Wadi za Wazazi na Watoto Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja
10 years ago
GPLMAHAFALI YA 49 CHUO CHA CBE YAFANA, SERIKALI YATOA ANGALIZO KWA MAKAMPUNI YANAYOAJILI WAFANYAKAZI WENGI KUTOKA NJE YA NCHI
10 years ago
Dewji Blog16 Nov
Mahafali ya 49 chuo cha CBE yafana, Serikali yatoa angalizo kwa makampuni yanayoajiri wafanyakazi wengi kutoka nje ya nchi
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Abdallah Kigoda (kulia) ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mahafali ya 49 ya Chuo cha Elimu ya Biashara kampasi ya Dar es salaam akiimba wimbo wa Taifa wakati wa ufunguzi rasmi wa mahafali hayo jijini Dar es salaam. Wengine ni Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Prof. Mathew Luhanga (katikati) na Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Prof. Emanuel Mjema.
Na. Aron Msigwa – Dar es salaam.
SERIKALI imewataka watendaji na wamiliki wa...
9 years ago
MichuziWANAFUNZI WA KITIVO CHA BIASHARA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM WANUFAIKA NA SEMINA MAALUM YA MASUALA YA BIASHARA ILIYOANDALIWA NA VODACOM TANZANIA
10 years ago
MichuziChuo Kikuu cha Uhio chaendesha mafunzo kwa vijana kuwa viongozi bora
Chuo Kikuu cha Uhio nchini Marekani kinaendesha mafunzo kwa vijana ya kuwa viongozi bora katika nchi zilizopo katika jangwa la Sahara.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo,Katibu wa Kwanza wa Mawasiliano ya Umma wa Ubalozi wa Marekani nchini,Marissa Maurer amesema kuwa program ya kutoa mafunzo kwa viongozi vijana imaeazishwa na Chuo Kikuu Cha Uhio nchini Marekani ambapo fedha inayoendesha mafunzo ni ya serikali ya watu Marekani...