MAHAFALI YA 49 CHUO CHA CBE YAFANA, SERIKALI YATOA ANGALIZO KWA MAKAMPUNI YANAYOAJILI WAFANYAKAZI WENGI KUTOKA NJE YA NCHI
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Abdallah Kigoda akizungumza na wahitimu wa Chuo cha Elimu ya Biashara kampasi ya Dar es salaam waliohitimu masomo yao kwa mwaka 2014. Takribani wahitimu 3459 wametunukiwa Astashahada, Shahada na Stashahada za fani mbalimbali.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog16 Nov
Mahafali ya 49 chuo cha CBE yafana, Serikali yatoa angalizo kwa makampuni yanayoajiri wafanyakazi wengi kutoka nje ya nchi
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Abdallah Kigoda (kulia) ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mahafali ya 49 ya Chuo cha Elimu ya Biashara kampasi ya Dar es salaam akiimba wimbo wa Taifa wakati wa ufunguzi rasmi wa mahafali hayo jijini Dar es salaam. Wengine ni Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Prof. Mathew Luhanga (katikati) na Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Prof. Emanuel Mjema.
Na. Aron Msigwa – Dar es salaam.
SERIKALI imewataka watendaji na wamiliki wa...
10 years ago
MichuziMAHAFALI YA 49 CHUO CHA CBE YAFANA, SERIKALI YAYATAKA MAKAMPUNI KUACHA KUTOA NAFASI NYINGI ZA AJIRA KWA WAGENI
10 years ago
Vijimambo06 Dec
MAHAFALI YA 49 YA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA(CBE) KAMPASI YA MBEYA YAFANA.
10 years ago
GPLMAHAFALI YA CHUO CHA IMTU YAFANA
10 years ago
MichuziCHUO KIKUU CHA BAGAMOYO (UB) CHATOA MAFUNZO KWA MAOFISA WA SERIKALI KUTOKA NCHI 15 KUHUSU UANDIKAJI WA MIKATABA YA UWEKEZAJI NA BIASHARA
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Kimataifa wa kuwajengea uwezo maofisa wa serikali kuhusu uandikaji wa mikataba inayohusu...
9 years ago
MichuziALHAJ ALI HASSA MWINYI MGENI RASMI MAHAFALI YA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA (CBE)
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Minyi akiwa meza kuu wakati wimbo wa Taifa Ukipigwa katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam katika mahafali ya Chuo cha Elimu ya Bishara (CBE) yaliyofanyika JumapiliSehemu ya wahitimu katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam katika mahafali ya Chuo cha Elimu ya Bishara (CBE) yaliyofanyika Jumapili
10 years ago
Dewji Blog13 Dec
Mahafali ya 12 ya Chuo cha Uhasibu Tanzania (TIA) yafana, jijini Dar es Salaam
Kikosi cha band cha Jeshi la Magereza kikiongoza maandamano kuelekea uwanjani kwenye mahafali hayo.
10 years ago
MichuziMahafali ya tano ya chuo kikuu cha St. John's mjini Dodoma yafana sana leo
10 years ago
GPLMAHAFALI YA 12 YA CHUO CHA UHASIBU TANZANIA (TIA) YAFANA, JIJINI DAR ES SALAAM