CHAMA CHA MADEREVA TANZANIA CHATOA TAMKO KUHUSU MIKATABA YAO NA SERIKALI
Kaimu Katibu Mkuu wa Chama Cha Madereva, Rashid Saleh (kushoto) akitoa tamko hilo. Kulia ni mtunza hazina wa Chama hicho, Ramadhan Seleman. ....akihojiwa na waandishi wa habari. CHAMA cha Madereva Tanzania, kimetoa tamko rasmi juu ya marekebisho ya mikataba yao, huku kikilalamikia kile kilichoitwa... “ukiukwaji wa…
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-BjXKH2kdwcw/Vdb4f-w6ZuI/AAAAAAAHyxk/xBVGfAlViN4/s72-c/images.jpg)
TAMKO LA SERIKALI KUHUSU MPANGO WA MAFUNZO KWA MADEREVA KUPITIA CHAMA CHA TADWU.
![](http://2.bp.blogspot.com/-BjXKH2kdwcw/Vdb4f-w6ZuI/AAAAAAAHyxk/xBVGfAlViN4/s1600/images.jpg)
1. Serikali imepata taarifa za kuwepo kwa mpango wa mafunzo kwa madereva nchini kote, ulioandaliwa na Chama cha Wafanyakazi Madereva Tanzania-Tanzania Drivers Workers Union (TADWU) kuanzia wiki ijayo. Mpango huo umeelezwa kuwa njia mbadala ya tishio la mgomo lililotolewa na viongozi wa Chama hicho hapo awali, ili kuweza kupata suluhisho la malalamiko yao.
Malalamiko hayo yalihusu Mkataba ya Ajira inayokidhi matakwa ya kisheria, nyongeza ya posho na viwango vya...
10 years ago
GPLCHAMA CHA WAFUGAJI TANZANIA CHATOA TAMKO
10 years ago
MichuziCHUO KIKUU CHA BAGAMOYO (UB) CHATOA MAFUNZO KWA MAOFISA WA SERIKALI KUTOKA NCHI 15 KUHUSU UANDIKAJI WA MIKATABA YA UWEKEZAJI NA BIASHARA
10 years ago
Vijimambo31 Jul
CHAMA CHA MAPINDUZI CCM ZANZIBAR CHATOA TAMKO JUU YA KUJITOA KWENYE CHAMA WAZIRI MKUU MSTAAFU EDWARD LOWASA.
![unnamed (4)](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/unnamed-44.jpg)
![unnamed (5)](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/unnamed-53.jpg)
![unnamed (6)](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/unnamed-62.jpg)
9 years ago
MichuziCHAMA CHA MADEREVA WA SERIKALI TANZANIA CHAPATA USAJILI RASMI
9 years ago
Dewji Blog18 Sep
Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania (CMST) chapata usajili rasmi
Mwenyekiti wa Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania (CMST) wa kwanza kushoto mstari wa mbele Bw. Bahatisha Selemani Mkala akipokea Cheti cha Usajili wa Chama hicho kutoka kwa Afisa usajili Bw. Hashim Mwanga wakati wa. makabidhiano yaliyofanyika katika ofisi za msajili zilizopo Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi.Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Benjamin Sawe)
Mwenyekiti wa Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania (CMST) aliyeshika cheti cha usajili Bw. Bahatisha...
10 years ago
VijimamboCHAMA CHA WAFANYAKAZI MADEREVA TANZANIA (TADWU), CHAMKABIDHI MLEZI WAO MKUU WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA RASIMU YA MKATABA WA MABORESHO YA MASLAHI YAO.
10 years ago
Michuzi08 Aug
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-19ohpt6t96A/U1MVqUTXIOI/AAAAAAAFb20/0U1G5_CxHJw/s72-c/unnamed+(7).jpg)
CHAMA CHA MADAKTARI WANAFUNZI TANZANIA CHATOA HUDUMA ZA AFYA ZANZIBAR
![](http://4.bp.blogspot.com/-19ohpt6t96A/U1MVqUTXIOI/AAAAAAAFb20/0U1G5_CxHJw/s1600/unnamed+(7).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-VjWVjshaQ-w/U1MVp4V_rzI/AAAAAAAFb2k/odzr7rZ6nn0/s1600/unnamed+(8).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-UiNN3w4-qrI/U1MVquwK0TI/AAAAAAAFb2o/-uiHENXTpMQ/s1600/unnamed+(9).jpg)