Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAMKO LA SERIKALI KUHUSU MPANGO WA MAFUNZO KWA MADEREVA KUPITIA CHAMA CHA TADWU.

WIZARA YA KAZI NA AJIRA
1.   Serikali imepata taarifa za kuwepo kwa mpango wa mafunzo kwa madereva nchini kote, ulioandaliwa na Chama cha Wafanyakazi Madereva Tanzania-Tanzania Drivers Workers Union (TADWU) kuanzia wiki ijayo. Mpango huo umeelezwa kuwa njia mbadala ya tishio la mgomo lililotolewa na viongozi wa Chama hicho hapo awali, ili kuweza kupata suluhisho la malalamiko yao.
 Malalamiko hayo yalihusu Mkataba ya Ajira inayokidhi matakwa ya kisheria, nyongeza ya posho na viwango vya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

CHAMA CHA MADEREVA TANZANIA CHATOA TAMKO KUHUSU MIKATABA YAO NA SERIKALI

Kaimu Katibu Mkuu wa Chama Cha Madereva, Rashid Saleh (kushoto) akitoa tamko hilo. Kulia ni mtunza hazina wa Chama hicho, Ramadhan Seleman. ....akihojiwa na waandishi wa habari. CHAMA cha Madereva Tanzania,  kimetoa tamko rasmi juu ya marekebisho ya mikataba yao, huku kikilalamikia kile kilichoitwa... “ukiukwaji wa…

 

10 years ago

GPL

CHAMA CHA WAFANYAKAZI MADEREVA TANZANIA (TADWU), CHAMKABIDHI MAKONDA RASIMU YA MKATABA

 Mlezi wa chama cha wafanyakazi madereva Tanzania (TADWU), Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (katikati), akizungumza na madereva kabla ya kukabidhiwa rasimu ya maboresho ya maslahi ya madereva hao na cheti cha utambulisho wa chama hicho Dar es Salaam jana. Kulia ni  Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi Madereva Tanzania (TADWU), Abdallah Lubara na Mwenyekiti wa zamani wa Umoja wa Madereva Tanzania, Clement...

 

9 years ago

Michuzi

KATIBU WA CHAMA CHA WAFANYAKAZI MADEREVA TANZANIA (TADWU) RASHID SALEH AFARIKI DUNIA


Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ambaye ni mlezi wa Chama cha Wafanyakazi Madereva Tanzania (TADWU), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi nje ya chumba cha kuhifadhia maiti Hospitali ya Taifa ya kuhusu kifo cha utata cha aliyekuwa Katibu wa chama hicho Tanzania, Rashid Saleh kilichotokea hivi karibuni pamoja na ratiba ya mazishi yake yatakayofanyika jijini Mwanza. Marehemu, Rashid Saleh Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ambaye ni mlezi wa Chama cha...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KUFUATIA KIFO CHA Mwenyekiti wa Chama Cha Madereva Tanzania (TADWU)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli anamtumia salamu za rambirambi Mwenyekiti wa Chama Cha Madereva Tanzania (TADWU) kufuatia kifo cha aliyekua Katibu Mkuu wa Chama hicho Bw. Rashid Salehe kilichotokea Tarehe 20 Novemba, 2015 katika Hospitali ya Taifa Mhimbili.
Katika salamu hizo Rais Magufuli amesema taifa limempoteza mtu shupavu, mkweli, makini na aliyependa kupigania haki pale alipoamini kuwa panastahili haki hiyo na alithibitisha kwa kupigania uanzishwaji wa...

 

10 years ago

Vijimambo

CHAMA CHA WAFANYAKAZI MADEREVA TANZANIA (TADWU), CHAMKABIDHI MLEZI WAO MKUU WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA RASIMU YA MKATABA WA MABORESHO YA MASLAHI YAO.

 Mlezi wa chama cha wafanyakazi madereva Tanzania (TADWU), Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (katikati), akizungumza na madereva kabla ya kukabidhiwa rasimu ya maboresho ya maslahi ya madereva hao na cheti cha utambulisho wa chama hicho Dar es Salaam jana. Kulia ni  Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi Madereva Tanzania (TADWU), Abdallah Lubara na Mwenyekiti wa zamani wa Umoja wa Madereva Tanzania, Clement Masanja. Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi Madereva Tanzania (TADWU),...

 

9 years ago

GPL

MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATOA TAMKO KUHUSU CHAMA CHA TPP

Msajili msaidizi upande wa usajili wa vyama vya siasa, Sisty Nyahoza, akitoa taarifa yake kwa wanahabari (hawapo pichani). Wanahabari wakichukua tukio hilo. Wanahabari wakimsikiliza kwa makini, msaidizi upande wa usajili wa vyama vya siasa, Sisty Nyahoza. ... Nyahoza akitoa ufafanuzi wa jambo, kulia kwake ni, Mkurugenzi Utawala na Raslimali Watu, Emmanuel Kayuni kutoka ofisi ya msajili wa vyama vya siasa. (PICHA NA DENIS...

 

5 years ago

Michuzi

HIVI NDIVYO DKT. MPANGO ALIVYOWASILISHA MAPENDEKEZO KUHUSU MPANGO WA KIWANGO CHA UKOMO WA BAJETI YA SERIKALI 2020/2021


Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango akiwasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa na Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2020/2021. tukio hilo limefanyika katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo, Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai na Naibu...

 

11 years ago

Michuzi

TAMKO LA KIKUNDI KAZI CHA SERIKALI ZA MITAA CHA POLICY FORUM KUHUSU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2014

 Mwenyekiti wa Kikundi Kazi cha Serikali za Mitaa kilicho chini ya Taasisi ya Policy Forum,Bw. Hebron Mwakageda (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutoa tamkoa lao la Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotaraji kufanyika mwaka huu.Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Policy Forum,Bw. Israel Ilunde akifafanua jambo wakati mkutano huo na Waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutoa tamkoa lao la Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotaraji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani