Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATOA TAMKO KUHUSU CHAMA CHA TPP

Msajili msaidizi upande wa usajili wa vyama vya siasa, Sisty Nyahoza, akitoa taarifa yake kwa wanahabari (hawapo pichani). Wanahabari wakichukua tukio hilo. Wanahabari wakimsikiliza kwa makini, msaidizi upande wa usajili wa vyama vya siasa, Sisty Nyahoza. ... Nyahoza akitoa ufafanuzi wa jambo, kulia kwake ni, Mkurugenzi Utawala na Raslimali Watu, Emmanuel Kayuni kutoka ofisi ya msajili wa vyama vya siasa. (PICHA NA DENIS...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATAJA VYAMA VYA SIASA VYENYE USAJILI WA KUDUMU AMBAVYO VINASTAHILI KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, Monica Laurent (kushoto), akizungumza na wanahabari wakati akimkaribisha msemaji wa mkutano huo kuzungumza na waandishi.Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini, Sisty Nyahoza (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu ambavyo ninastahili kushiriki uchaguzi mkuu. Kulia ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu,...

 

9 years ago

Mtanzania

Msajili akionya Chama cha TPP

Pg 2 sept 8NA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM

SERIKALI imekionya Chama cha Tanzania Peoples (TPP) kuacha mara moja kujishughulisha na shughuli za kisiasa kwa sababu hakina usajili na kuendelea kufanya hivyo kinavunja sheria.

Akizungumza jijini Dar es Salaam na waandishi wa habari jana, Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza, alisema vyama vilivyosajiliwa ndivyo vinavyopaswa kuendelea na shughuli mbalimbali za kisiasa kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi mkuu ujao unaotarajiwa kufanyika...

 

5 years ago

Michuzi

UHAKIKI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI KUANZA MACHI 17,2020,MSAJILI ASEMA HAKUNA CHAMA KITAKACHOFUTWA



Msajili wa Vyama vya Siasa nchini (RPP), Mhe .Jaji Mstaafu, Francis Mutungi akifafanua jambo wakati wa Mkutano wake na Viongozi Wakuu wa Vyama vya Siasa kuhusu zoezi la Uhakiki wa Vyama vya Siasa nchini. Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini (ORPP) inatarajia kufanya zoezi la uhakiki wa Vyama vya Siasa nchini kuanzia tarehe 17 Machi, 2020 kwa lengo la kuimarisha uhai wa vyama hivyo.Pichani juu kulia ni Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa Nchini, Sisty Nyahoza na kushoto ni  Naibu...

 

11 years ago

Michuzi

MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA AZUNGUMZA NA WANAHABARI MJINI IRINGA LEO KUHUSU UCHAGUZI WA JIMBO LA KALENGA

 Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini,Bwa.Sistyl Nyahoza akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa Habari  (hawapo pichani) mapema leo asubuhi kwenye Ukumbi wa Ruaha International,mkoani Iringa kuhusiana na masuala mbalimbali yanayohusu uchaguzi mdogo wa Ubunge katika Jimbo la kalenga, ikiwa ni pamoja na Sheria ya gharama za Uchaguzi kwa wagombea na vyama husika vinavyoshiri katika Uchaguzi huo utakaofanyika machi 16 mwaka huu. Pichani wa tatu kulia ni Msajili Msaidizi wa Vyama vya...

 

11 years ago

GPL

MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA AZUNGUMZA NA WANAHABARI MJINI IRINGA LEO KUHUSU UCHAGUZI WA JIMBO LA KALENGA‏

 Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini, Bwn. Sistyl Nyahoza akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa Habari (hawapo pichani) mapema leo asubuhi kwenye Ukumbi wa Ruaha International, mkoani Iringa kuhusiana na masuala mbalimbali yanayohusu uchaguzi mdogo wa Ubunge katika Jimbo la kalenga, ikiwa ni pamoja na Sheria ya gharama za Uchaguzi kwa wagombea na vyama husika vinavyoshiri katika Uchaguzi huo utakaofanyika machi 16...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani