Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UHAKIKI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI KUANZA MACHI 17,2020,MSAJILI ASEMA HAKUNA CHAMA KITAKACHOFUTWA



Msajili wa Vyama vya Siasa nchini (RPP), Mhe .Jaji Mstaafu, Francis Mutungi akifafanua jambo wakati wa Mkutano wake na Viongozi Wakuu wa Vyama vya Siasa kuhusu zoezi la Uhakiki wa Vyama vya Siasa nchini. Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini (ORPP) inatarajia kufanya zoezi la uhakiki wa Vyama vya Siasa nchini kuanzia tarehe 17 Machi, 2020 kwa lengo la kuimarisha uhai wa vyama hivyo.Pichani juu kulia ni Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa Nchini, Sisty Nyahoza na kushoto ni  Naibu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

UHAKIKI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI KUANZA MACHI 17 MWAKA HUU

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Mstaafu, Francis Mutungi akifafanua jambo wakati wa Mkutano wake na Viongozi Wakuu wa Vyama vya Siasa kuhusu Uhakiki wa Vyama vya Siasa nchini  unaotarajiwa kufanyika nchini kuanzia Machi 17, 2020 kwa lengo la kuimarisha uhai wa vyama hivyo.

Na Mwandishi Maalum
MSAJILI wa Vyama vya Siasa Nchini, Jaji Mstaafu Francis Mutungi amesema zoezi la uhakiki wa vyama vya siasa linalotarajia kuanza Machi 17, mwaka huu, halina malengo ya kufuta usajili wa vyama...

 

9 years ago

GPL

MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATOA TAMKO KUHUSU CHAMA CHA TPP

Msajili msaidizi upande wa usajili wa vyama vya siasa, Sisty Nyahoza, akitoa taarifa yake kwa wanahabari (hawapo pichani). Wanahabari wakichukua tukio hilo. Wanahabari wakimsikiliza kwa makini, msaidizi upande wa usajili wa vyama vya siasa, Sisty Nyahoza. ... Nyahoza akitoa ufafanuzi wa jambo, kulia kwake ni, Mkurugenzi Utawala na Raslimali Watu, Emmanuel Kayuni kutoka ofisi ya msajili wa vyama vya siasa. (PICHA NA DENIS...

 

5 years ago

Michuzi

ZOEZI LA UHAKIKI VYAMA VYA SIASA LAKAMILIKA KWA KUHAKIKI CHAMA CHA MAPINDUZI MAKAO MAKUU DODOMA


 Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally Kakurwa (kulia) akiteta jambo na Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa (ARPP), Sisty Nyahoza wakati wa zoezi la uhakiki wa uhai wa vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu katika Ofisi ya Makao Mkuu ya Chama hicho jijini Dodoma leo.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akielezea jambo mbele ya ugeni kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) walipomtembelea ofisini kwake ...

 

9 years ago

Vijimambo

MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATAJA VYAMA VYA SIASA VYENYE USAJILI WA KUDUMU AMBAVYO VINASTAHILI KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, Monica Laurent (kushoto), akizungumza na wanahabari wakati akimkaribisha msemaji wa mkutano huo kuzungumza na waandishi.Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini, Sisty Nyahoza (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu ambavyo ninastahili kushiriki uchaguzi mkuu. Kulia ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu,...

 

11 years ago

GPL

DOVUTWA: HAKUNA URAFIKI KATIKA VYAMA VYA SIASA ASEMA KINACHOWAZUIA NI RUZUKU

Makala: Elvan Stambuli
MWENYEKITI wa United Peoples Democratic Party (UPDP),  Fahmi Nassor Dovutwa amesema hakuna urafiki katika vyama vya siasa kwa kuwa kila chama kinataka kwenda ikulu kukalia kiti. Mwenyekiti wa Chama cha UPDP Taifa na Mjumbe wa Mkutano wa Bunge…

 

5 years ago

Michuzi

Zoezi la Uhakiki Vyama vya Siasa Laanza kwa Mafanikio

Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Bw. Sisty Nyahoza akifafanua jambo mbele ya viongozi wa Kitaifa wa Chama cha United Democratic Party (UDP) wakati wa zoezi la uhakiki wa vyama vya siasa walipotembela Makao Makuu ya chama hicho leo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mwenyekiti wa UDP Taifa, John Momose Cheyo.Mkuu wa Idara ya Gharama za Uchaguzi na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani