Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UHAKIKI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI KUANZA MACHI 17 MWAKA HUU

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Mstaafu, Francis Mutungi akifafanua jambo wakati wa Mkutano wake na Viongozi Wakuu wa Vyama vya Siasa kuhusu Uhakiki wa Vyama vya Siasa nchini  unaotarajiwa kufanyika nchini kuanzia Machi 17, 2020 kwa lengo la kuimarisha uhai wa vyama hivyo.

Na Mwandishi Maalum
MSAJILI wa Vyama vya Siasa Nchini, Jaji Mstaafu Francis Mutungi amesema zoezi la uhakiki wa vyama vya siasa linalotarajia kuanza Machi 17, mwaka huu, halina malengo ya kufuta usajili wa vyama...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

UHAKIKI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI KUANZA MACHI 17,2020,MSAJILI ASEMA HAKUNA CHAMA KITAKACHOFUTWA



Msajili wa Vyama vya Siasa nchini (RPP), Mhe .Jaji Mstaafu, Francis Mutungi akifafanua jambo wakati wa Mkutano wake na Viongozi Wakuu wa Vyama vya Siasa kuhusu zoezi la Uhakiki wa Vyama vya Siasa nchini. Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini (ORPP) inatarajia kufanya zoezi la uhakiki wa Vyama vya Siasa nchini kuanzia tarehe 17 Machi, 2020 kwa lengo la kuimarisha uhai wa vyama hivyo.Pichani juu kulia ni Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa Nchini, Sisty Nyahoza na kushoto ni  Naibu...

 

5 years ago

Michuzi

Zoezi la Uhakiki Vyama vya Siasa Laanza kwa Mafanikio

Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Bw. Sisty Nyahoza akifafanua jambo mbele ya viongozi wa Kitaifa wa Chama cha United Democratic Party (UDP) wakati wa zoezi la uhakiki wa vyama vya siasa walipotembela Makao Makuu ya chama hicho leo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mwenyekiti wa UDP Taifa, John Momose Cheyo.Mkuu wa Idara ya Gharama za Uchaguzi na...

 

5 years ago

CCM Blog

UHAKIKI WA VYAMA VYA SIASA WAHITIMISHWA KWA KUIHAKIKI CCM, MAKAO MAKUU DODOMA


Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akielezea jambo mbele ya ugeni kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) walipomtembelea ofisini kwake wakati wa zoezi la uhakiki wa uhai wa vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu katika Ofisi ya Makao Mkuu ya Chama hicho jijini Dodoma leo. Kutoka kushoto ni Katibu wa NEC – Oganaizesheni wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Pereira Ami Silima, Mkuu wa Kitengo cha Usajili wa Vyama vya Siasa, Muhidin Mapeyo na Msajili...

 

5 years ago

Michuzi

ZOEZI LA UHAKIKI VYAMA VYA SIASA LAKAMILIKA KWA KUHAKIKI CHAMA CHA MAPINDUZI MAKAO MAKUU DODOMA


 Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally Kakurwa (kulia) akiteta jambo na Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa (ARPP), Sisty Nyahoza wakati wa zoezi la uhakiki wa uhai wa vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu katika Ofisi ya Makao Mkuu ya Chama hicho jijini Dodoma leo.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akielezea jambo mbele ya ugeni kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) walipomtembelea ofisini kwake ...

 

10 years ago

Michuzi

UFAFANUZI WA ZOEZI LA UHAKIKI WA VYAMA VYA KIJAMII NCHINI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi inapenda kutoa ufafanuzi  kuhusu zoezi linaloendelea kuhusiana na Vyama vya Kijamii vilivyosajiliwa chini ya Sheria ya Vyama, Sura 337 kuwa ni la kubaini vyama vile ambavyo havitekelezi matakwa ya kisheria ya kuwasilisha taarifa za mwaka za ukaguzi wa hesabu za vyama husika na pia vile ambavyo havilipi ada ya mwaka kama sheria ya Vyama inavyoelezea.
 Vyama ambavyo vitabainika kukiuka matakwa ya...

 

9 years ago

Vijimambo

MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATAJA VYAMA VYA SIASA VYENYE USAJILI WA KUDUMU AMBAVYO VINASTAHILI KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, Monica Laurent (kushoto), akizungumza na wanahabari wakati akimkaribisha msemaji wa mkutano huo kuzungumza na waandishi.Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini, Sisty Nyahoza (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu ambavyo ninastahili kushiriki uchaguzi mkuu. Kulia ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu,...

 

9 years ago

StarTV

Jeshi la Polisi nchini lapiga marufuku maandamano ya vyama vya Siasa nchini.

Jeshi la Polisi nchini limepiga marufuku ombi la maandamano la baadhi ya vyama vya siasa nchini baada ya uchunguzi wake kubaini kuwepo na mihemko ya kisiasa ndani ya jamii inayoweza kusababisha uvunjifu wa amani.

Kutokana na hali hiyo, jeshi hilo linasema litaendelea kushikilia msimamo wake wa awali wa kuzuia mikutano na maandamano yeyote mpaka hali itakapotengemaa.

Kauli ya Jeshi imefatia baada ya baadhi ya vyama vya siasa kuwasilisha kuwasilisha ombi la kufanya mikutano ya hadhara na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani