Zoezi la Uhakiki Vyama vya Siasa Laanza kwa Mafanikio

Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Bw. Sisty Nyahoza akifafanua jambo mbele ya viongozi wa Kitaifa wa Chama cha United Democratic Party (UDP) wakati wa zoezi la uhakiki wa vyama vya siasa walipotembela Makao Makuu ya chama hicho leo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mwenyekiti wa UDP Taifa, John Momose Cheyo.
Mkuu wa Idara ya Gharama za Uchaguzi na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
ZOEZI LA UHAKIKI VYAMA VYA SIASA LAKAMILIKA KWA KUHAKIKI CHAMA CHA MAPINDUZI MAKAO MAKUU DODOMA


Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akielezea jambo mbele ya ugeni kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) walipomtembelea ofisini kwake ...
5 years ago
CCM Blog04 Apr
UHAKIKI WA VYAMA VYA SIASA WAHITIMISHWA KWA KUIHAKIKI CCM, MAKAO MAKUU DODOMA

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akielezea jambo mbele ya ugeni kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) walipomtembelea ofisini kwake wakati wa zoezi la uhakiki wa uhai wa vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu katika Ofisi ya Makao Mkuu ya Chama hicho jijini Dodoma leo. Kutoka kushoto ni Katibu wa NEC – Oganaizesheni wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Pereira Ami Silima, Mkuu wa Kitengo cha Usajili wa Vyama vya Siasa, Muhidin Mapeyo na Msajili...
10 years ago
Michuzi
UFAFANUZI WA ZOEZI LA UHAKIKI WA VYAMA VYA KIJAMII NCHINI

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu zoezi linaloendelea kuhusiana na Vyama vya Kijamii vilivyosajiliwa chini ya Sheria ya Vyama, Sura 337 kuwa ni la kubaini vyama vile ambavyo havitekelezi matakwa ya kisheria ya kuwasilisha taarifa za mwaka za ukaguzi wa hesabu za vyama husika na pia vile ambavyo havilipi ada ya mwaka kama sheria ya Vyama inavyoelezea.
Vyama ambavyo vitabainika kukiuka matakwa ya...
5 years ago
CCM Blog
UHAKIKI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI KUANZA MACHI 17 MWAKA HUU

Na Mwandishi Maalum
MSAJILI wa Vyama vya Siasa Nchini, Jaji Mstaafu Francis Mutungi amesema zoezi la uhakiki wa vyama vya siasa linalotarajia kuanza Machi 17, mwaka huu, halina malengo ya kufuta usajili wa vyama...
5 years ago
MichuziUHAKIKI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI KUANZA MACHI 17,2020,MSAJILI ASEMA HAKUNA CHAMA KITAKACHOFUTWA
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini (RPP), Mhe .Jaji Mstaafu, Francis Mutungi akifafanua jambo wakati wa Mkutano wake na Viongozi Wakuu wa Vyama vya Siasa kuhusu zoezi la Uhakiki wa Vyama vya Siasa nchini. Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini (ORPP) inatarajia kufanya zoezi la uhakiki wa Vyama vya Siasa nchini kuanzia tarehe 17 Machi, 2020 kwa lengo la kuimarisha uhai wa vyama hivyo.Pichani juu kulia ni Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa Nchini, Sisty Nyahoza na kushoto ni Naibu...
10 years ago
VijimamboMSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATAJA VYAMA VYA SIASA VYENYE USAJILI WA KUDUMU AMBAVYO VINASTAHILI KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU
5 years ago
Michuzi
11 years ago
GPL
5 years ago
Michuzi
WAZIRI MKUU ATOA NENO KWA VIONGOZI VYA VYAMA VYA SIASA

“Hivyo basi, tudumishe utulivu, amani, mshikamano pamoja na ustaarabu wetu wa Kitanzania katika kipindi chote cha kampeni na Uchaguzi Mkuu ili kulifanya Taifa letu kuendelea kuwa kisiwa cha amani na mfano wa kuigwa barani Afrika na duniani kwa ujumla.”
Waziri Mkuu...