Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mil. 50/- zasomesha wa mazingira magumu

IDARA ya Ustawi wa Jamii katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida mkoani Singida imetumia jumla ya Sh milioni 50 kuhudumia watoto mbalimbali waishio kwenye mazingira hatarishi kwenye Manispaa hiyo katika kipindi cha mwaka wa fedha 2013/2014.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Serikali yakiri kutolipa posho ya mazingira magumu

BUNGE limeelezwa kuwa fedha za motisha zilizotengwa kwa ajili ya ajira mpya ya walimu wanaopelekwa katika halmashauri zenye mazingira magumu, hawakupewa. Hatua hiyo imeelezwa kutokana na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, kubaini kuwa walimu walioripoti katika halmashahuri hizo miaka iliyopita hawakupatiwa licha ya kuwa fedha hizo zilipitishwa katika Bunge la Bajeti la 2013/14.

 

11 years ago

Habarileo

Wageni wadaiwa kuongeza watoto wa mazingira magumu

RAIA wa kigeni wameshutumiwa kuwa sehemu ya ongezeko la watoto wanaoishi katika mazingira magumu kwa kupachika mimba wanawake wa kitanzania na kuwatelekeza. Hayo yameelezwa na mratibu msaidizi wa kituo cha kulelea watoto waishio katika mazingira magumu cha Samaritan Village Tanzania, Agnes Mtui kilichopo eneo la Moshono jijini Arusha.

 

10 years ago

StarTV

Serikali yaombwa kuwajengea makazi waishio mazingira magumu.

Na Frederick Siwale,

Njombe.

Watoto wanaoishi katika mazingira magumu na hatarishi mkoani Njombe wameiomba Serikali kuwajengea makazi ili kutambuliwe na kuhifadhiwa waweze kuondokana na adha ya maisha wanayokabiliana nayo hivi sasa.

 

Walitoa kauli hiyo kwa nyakati tofauti wakati kamera ya Star Tv ilipowafikia ambapo imebainika kuwa wanakutana na changamoto mbalimbali katika makazi yasiyo ya kudumu ikiwemo majumba mabovu na  maeneo ya masoko.

 

Watoto hao ambao wengi wao ni yatima wamekuwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Jamii yatakiwa kuwasaidia watoto waishio kwenye mazingira magumu

JAMII nchini imetakiwa kuona umuhimu na wajibu wa kuwalea na kuwasaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu ili waweze kufikia ndoto zao katika kimaisha. Ushauri huo umetolewa na Katibu Mtendaji wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Watoto wanaoishi mazingira magumu hawakupata chanjo ya Surua-Ribella

WAKATI kampeni ya chanjo ya Surua-Rubella kwa watoto wenye kuanzia umri wa miezi tisa hadi miaka 15, ilikamilika wiki iliyopita, kuna wasiwasi kuwa makundi ya watoto wanaoishi katika mazingira magumu...

 

11 years ago

Michuzi

RED CROSS YASAIDIA WANAFUNZI WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU KIBAHA

Na John Gagarini, Kibaha  CHAMA cha Msalaba Mwekundu mkoani Pwani kimesema kuwa kitaendela kuisaidia jamii ambayo inauhitaji pamoja na wale wanaokumbwa na majanga mbalimbali.  Hayo yamesemwa  mjini Kibaha na katibu msaidizi wa chama hicho Felisiana Mmasi wakati wakitoa misaada ya viatu na vifaa vya shule kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Nyumbu na vituo vya kulelea watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu vya THADEI na Buloma vilivyopo kata ya Picha ya Ndege na Mkuza wilayani...

 

11 years ago

Michuzi

WAANDISHI WANAWAKE WANAFANYA KAZI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU-UTAFITI

Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Irina Bokova, ( kati kati) akizungumza wakati wa majadiliano kuhusu Teknolojia ya habari na mawasiliano na mchango wa vyombo huru vya habari katika kuwawezesha wanawake na watoto wa kike, katika majadiliano hayo, wazungumzaji waliokaa meza kuu ambao ni kutoka kushoto, Bi. Elisa Munoz, Mkurugenzi Mtendaji wa IWMF, Muwakilishi wa Kudumu wa Austria Balozi Martin Sjdik, Bw. Peter Launsky-Tieffenthal Katibu Mkuu Msaidizi na mkuu wa Idara ya ...

 

10 years ago

Michuzi

WATOTO WANAOISHI KWENYE MAZINGIRA MAGUMU JIJINI ARUSHA KUJENGEWA HOSTEL

Watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu jijini Arusha wanatarajiwa kujengewa Hostel zitakazowasaidia kuondokana na adha ya kupata sehemu za malazi hivyo kulazimika kulala maeneo ya stendi za mabasi na masoko.
Mkurugenzi wa shirika la Gola linalojihusisha na masuala ya watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu jijini Arusha,Sawale Maghema  amesema kuwa mpango huo utasaidia watoto hao kuondokana na mazingira magumu yanayowapelekea kujiingiza katika vitendo vya uhalifu na matumizi ya madawa ya...

 

11 years ago

GPL

WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU MTWARA WAKOSA MAHALI PA KUISHI

Meneja wa Vodacom kanda ya Kusini, Henry Tzamburakis akikabidhi msaada wa chakula kwa kituo cha wa watoto yatima cha EAGT Rahaleo Manispaa ya Mtwara Mikindani. Wanaopokea msaada huo kutoka (kushoto) ni watoto wanaoishi katika mazingira magumu Yasunta Rawland,  Boniface Seleman, Mkurugenzi wa kituo cha kulelea watoto cha EAGT Mtwara, Caroline Mkwele, Askofu wa kanisa la EAGT Rahaleo Mtwara pia (mwasisi wa kituo) George Mrope....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani