Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wageni wadaiwa kuongeza watoto wa mazingira magumu

RAIA wa kigeni wameshutumiwa kuwa sehemu ya ongezeko la watoto wanaoishi katika mazingira magumu kwa kupachika mimba wanawake wa kitanzania na kuwatelekeza. Hayo yameelezwa na mratibu msaidizi wa kituo cha kulelea watoto waishio katika mazingira magumu cha Samaritan Village Tanzania, Agnes Mtui kilichopo eneo la Moshono jijini Arusha.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Watoto wanaoishi mazingira magumu hawakupata chanjo ya Surua-Ribella

WAKATI kampeni ya chanjo ya Surua-Rubella kwa watoto wenye kuanzia umri wa miezi tisa hadi miaka 15, ilikamilika wiki iliyopita, kuna wasiwasi kuwa makundi ya watoto wanaoishi katika mazingira magumu...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Jamii yatakiwa kuwasaidia watoto waishio kwenye mazingira magumu

JAMII nchini imetakiwa kuona umuhimu na wajibu wa kuwalea na kuwasaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu ili waweze kufikia ndoto zao katika kimaisha. Ushauri huo umetolewa na Katibu Mtendaji wa...

 

11 years ago

GPL

WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU MTWARA WAKOSA MAHALI PA KUISHI

Meneja wa Vodacom kanda ya Kusini, Henry Tzamburakis akikabidhi msaada wa chakula kwa kituo cha wa watoto yatima cha EAGT Rahaleo Manispaa ya Mtwara Mikindani. Wanaopokea msaada huo kutoka (kushoto) ni watoto wanaoishi katika mazingira magumu Yasunta Rawland,  Boniface Seleman, Mkurugenzi wa kituo cha kulelea watoto cha EAGT Mtwara, Caroline Mkwele, Askofu wa kanisa la EAGT Rahaleo Mtwara pia (mwasisi wa kituo) George Mrope....

 

10 years ago

Michuzi

WATOTO WANAOISHI KWENYE MAZINGIRA MAGUMU JIJINI ARUSHA KUJENGEWA HOSTEL

Watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu jijini Arusha wanatarajiwa kujengewa Hostel zitakazowasaidia kuondokana na adha ya kupata sehemu za malazi hivyo kulazimika kulala maeneo ya stendi za mabasi na masoko.
Mkurugenzi wa shirika la Gola linalojihusisha na masuala ya watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu jijini Arusha,Sawale Maghema  amesema kuwa mpango huo utasaidia watoto hao kuondokana na mazingira magumu yanayowapelekea kujiingiza katika vitendo vya uhalifu na matumizi ya madawa ya...

 

10 years ago

Michuzi

WANAHABARI WAHIMIZWA KUWASILISHA MASUALA YAHUSUYO WATOTO YATIMA NA WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU

SAM_0796Vyombo vya habari nchini vimehimizwa kuwasilisha masuala yanayowahusu watoto yatima na wale wanaoishi katika mazingira magumu. Akizungumza na wanahabari kutoka vyombo mbalimbali jijini Arusha katika warsha juu ya HAKI ZA WATOTO YATIMA NA WALE WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU iliyoendeshwa na shirika liliso la kiserikali la The Foundation For Tomorrow (TFFT). Mkurugenzi Mkuu wa Tanzania wa shirika hilo, Bwa. Kennedy Oulu alisema tatizo la watoto yatima na wale waishio katika...

 

10 years ago

Michuzi

PSPF YASAIDIA KITUO CHA KULEA WATOTO WALIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU, VINGUNGUTI JIJINI DAR

Afisa Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Abdul Njaidi, (kulia), akipena mikono na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Vingunguti-Butiama jijini Dar es Salaam, Elvis Bwahama, wakati akikabidhi msaada wa mifuko ya saruji tani 3 na mabati, kwa ajili ya ujenzi kwenye kituo cha kulea watoto walio katika mazingira magumu, cha Lukema. Hafla ya kukabidhin msaada huo kwa kituo hichomnkinacholea watoto 70, ilifanyika Ijumaa Machi 6, 2015. Kushoto ni mwenyekiti wa kituo hicho, Fatuma Ramadhani.

 

11 years ago

Michuzi

Times Fm, M2 Advertising na makampuni rafiki wajitolea kwa watoto wanaoishi katika mazingira magumu shule ya ‘Wamato’

Mkurugenzi wa 100.5 Times Fm, Rehure Nyaulawa akizungumza na watoto wanaolelewa kwenye Shule ya msingi Wamato (hawapi pichani) wakati walipowatembelea.100.5 Times Fm kwa kushirikiana na makampuni ya MeTL, Shamo, Simba Trailer, Hugo Domingo, M2 Advertising, Ifatar, kampuni ya vipodozi ya Darling walijitolea na kupata chakula cha jioni kwa watoto wanaoishi katika mazingira magumu wanaosomeshwa katika shule ya msingi Wamato kwa udhamini wa taasisi ya Help2Kids.
Tukio hilo lililofanyika wiki...

 

10 years ago

Michuzi

WITO WATOLEWA KWA WATANZANIA KUJITOLEA KUWASAIDIA WATU WENYE UHITAJI IKIWEMO WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU


Baadhi ya wanalyalamo wakijumuika na watoto wa Kituo cha Yatima Group Trust Fund..
baadhi ya wanalyamo family katika picha ya pamoja na mkurugenzi mtendaji wa kituo hicho, Winfrida Lubanza(mwenye miwani na blauzi nyeusi)

WITO umetolewa kwa Watanzania nchini kujitolea kwa hali na mali usaidia watu wenye uhitaji ikiwemo watoto yatima wanaolelewa kwenye vituo mbalimbali. Wito huo umetolewa jana na mkurugenzi mtendaji wa kituo cha Yatima Group Trust Fund kilichopo Chanika, jijini Dar es Salam,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani