WANAHABARI WAHIMIZWA KUWASILISHA MASUALA YAHUSUYO WATOTO YATIMA NA WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU
Vyombo vya habari nchini vimehimizwa kuwasilisha masuala yanayowahusu watoto yatima na wale wanaoishi katika mazingira magumu. Akizungumza na wanahabari kutoka vyombo mbalimbali jijini Arusha katika warsha juu ya HAKI ZA WATOTO YATIMA NA WALE WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU iliyoendeshwa na shirika liliso la kiserikali la The Foundation For Tomorrow (TFFT). Mkurugenzi Mkuu wa Tanzania wa shirika hilo, Bwa. Kennedy Oulu alisema tatizo la watoto yatima na wale waishio katika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-E1EqQy7cQq0/U9WV8I_iV2I/AAAAAAAF7Oc/Bjxftyzd8DM/s72-c/y22.jpg)
Rais Kikwete aandaa futari kwa yatima, walemavu wa ngozi na watoto waishio kwenye mazingira magumu ikulu Dar es salaam
![](http://2.bp.blogspot.com/-E1EqQy7cQq0/U9WV8I_iV2I/AAAAAAAF7Oc/Bjxftyzd8DM/s1600/y22.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-0SC_TbJOKQw/U9WWmghDJaI/AAAAAAAF7Oo/vH71cdk9z1g/s1600/y23.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-ESRMivi2o1g/U9WWyL0HxGI/AAAAAAAF7O0/j73_sC9pSB0/s1600/y24.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-vsFdRJ2ADJY/U9WWxUS99pI/AAAAAAAF7Ow/Oqbl3IBXVaQ/s1600/y25.jpg)
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-T_rYZBAA6eI/U9WSTZmFuBI/AAAAAAAF7M0/ML_-FfbosII/s1600/y1.jpg)
RAIS KIKWETE AANDAA FUTARI KWA YATIMA, WALEMAVU WA NGOZI NA WATOTO WAISHIO KWENYE MAZINGIRA MAGUMU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-P2koqi_JPGs/U9EFd3efmvI/AAAAAAAF5v0/2qnVkLbaf_8/s72-c/unnamed+(2).jpg)
WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU WA KITUO CHA CHILD IN THE SUN WAPEWA MSAADA WA VIFAA VYA SHULE NA TCAA
![](http://4.bp.blogspot.com/-P2koqi_JPGs/U9EFd3efmvI/AAAAAAAF5v0/2qnVkLbaf_8/s1600/unnamed+(2).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-s0fgi4QraIQ/U9EFeMZ8jGI/AAAAAAAF5v8/aZVMceZnFh4/s1600/unnamed+(3).jpg)
11 years ago
MichuziWAZIRI MKUU,PINDA AWAANDALIA CHAKULA CHA MCHANA TIMU YA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU,WALIOTWAA KOMBE LA DUNIA
10 years ago
Tanzania Daima01 Nov
Jamii yatakiwa kuwasaidia watoto waishio kwenye mazingira magumu
JAMII nchini imetakiwa kuona umuhimu na wajibu wa kuwalea na kuwasaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu ili waweze kufikia ndoto zao katika kimaisha. Ushauri huo umetolewa na Katibu Mtendaji wa...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-aJLGd3AdGYI/VZk0b_9tHRI/AAAAAAAC8RQ/9NVypqUsEGc/s72-c/IMG-20150704-WA0030.jpg)
WITO WATOLEWA KWA WATANZANIA KUJITOLEA KUWASAIDIA WATU WENYE UHITAJI IKIWEMO WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU
![](http://4.bp.blogspot.com/-aJLGd3AdGYI/VZk0b_9tHRI/AAAAAAAC8RQ/9NVypqUsEGc/s640/IMG-20150704-WA0030.jpg)
Baadhi ya wanalyalamo wakijumuika na watoto wa Kituo cha Yatima Group Trust Fund..
![](http://4.bp.blogspot.com/-rIjY5UMGz4Q/VZk0Ql0QpiI/AAAAAAAC8RE/iu5Ygu8kW2c/s640/IMG-20150704-WA0034.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-53mDpuylgNc/VZk0b3nplLI/AAAAAAAC8RM/o0tnve-XN1s/s640/IMG-20150704-WA0037.jpg)
baadhi ya wanalyamo family katika picha ya pamoja na mkurugenzi mtendaji wa kituo hicho, Winfrida Lubanza(mwenye miwani na blauzi nyeusi)
WITO umetolewa kwa Watanzania nchini kujitolea kwa hali na mali usaidia watu wenye uhitaji ikiwemo watoto yatima wanaolelewa kwenye vituo mbalimbali. Wito huo umetolewa jana na mkurugenzi mtendaji wa kituo cha Yatima Group Trust Fund kilichopo Chanika, jijini Dar es Salam,...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-K_HQpw6DL3g/XmZHGDW-7jI/AAAAAAAAkWM/aSr9LTsPDIQBS2_4QnRBIzHBUR6DQ_p6QCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpeg)
KITUO CHA FARAJA SINGIDA CHACHU YA MAPAMBANO DHIDI YA BIASHARA HARAMU YA ULANGUZI WA BINADAMU, WATOTO WAISHIO KWENYE MAZINGIRA MAGUMU
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-rdDce0s4-TI/U_SEUtlFryI/AAAAAAAGA4w/3neMxcTvspc/s72-c/1.jpg)
SOS CHILDREN TANZANIA KWA KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA MONTAGE LTD YAANDAA KAMPENI YA KUCHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA KUSAIDIA WATOTO WAISHIO KWENYE MAZINGIRA MAGUMU
![](http://3.bp.blogspot.com/-rdDce0s4-TI/U_SEUtlFryI/AAAAAAAGA4w/3neMxcTvspc/s1600/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-aaa85DzqTMU/U_SEWTG-EZI/AAAAAAAGA4c/xi8To9od5u8/s1600/5.jpg)