KITUO CHA FARAJA SINGIDA CHACHU YA MAPAMBANO DHIDI YA BIASHARA HARAMU YA ULANGUZI WA BINADAMU, WATOTO WAISHIO KWENYE MAZINGIRA MAGUMU
Na Godwin Myovela, SingidaSUALA la kupambana na biashara haramu ya ulanguzi wa binadamu sambamba na kusaidia watoto waishio katika mazingira magumu vinapaswa kupewa msukumo wa kipekee kuanzia ngazi ya kaya mpaka taifa ili kulinda wahanga- hususani makundi ya watoto na wasichana ambao wengi wao hujikuta wakitumbukia katika majanga mbalimbali ikiwemo kupata maambukizi ya VVU/UKIMWI kwa kigezo cha umaskini.Akizungumza kwenye kilele cha siku ya wanawake, mkoani hapa , mratibu wa Mradi kutoka...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziWATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU WA KITUO CHA CHILD IN THE SUN WAPEWA MSAADA WA VIFAA VYA SHULE NA TCAA
10 years ago
Tanzania Daima01 Nov
Jamii yatakiwa kuwasaidia watoto waishio kwenye mazingira magumu
JAMII nchini imetakiwa kuona umuhimu na wajibu wa kuwalea na kuwasaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu ili waweze kufikia ndoto zao katika kimaisha. Ushauri huo umetolewa na Katibu Mtendaji wa...
11 years ago
MichuziRais Kikwete aandaa futari kwa yatima, walemavu wa ngozi na watoto waishio kwenye mazingira magumu ikulu Dar es salaam
11 years ago
GPLRAIS KIKWETE AANDAA FUTARI KWA YATIMA, WALEMAVU WA NGOZI NA WATOTO WAISHIO KWENYE MAZINGIRA MAGUMU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
11 years ago
MichuziWAZIRI MKUU,PINDA AWAANDALIA CHAKULA CHA MCHANA TIMU YA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU,WALIOTWAA KOMBE LA DUNIA
10 years ago
MichuziPSPF YASAIDIA KITUO CHA KULEA WATOTO WALIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU, VINGUNGUTI JIJINI DAR
10 years ago
MichuziSOS CHILDREN TANZANIA KWA KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA MONTAGE LTD YAANDAA KAMPENI YA KUCHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA KUSAIDIA WATOTO WAISHIO KWENYE MAZINGIRA MAGUMU
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Montage Ltd, Bi Teddy Mapunda akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya...
10 years ago
Michuzi23 Jan
WANAHABARI WAHIMIZWA KUWASILISHA MASUALA YAHUSUYO WATOTO YATIMA NA WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10