Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watoto wanaoishi mazingira magumu hawakupata chanjo ya Surua-Ribella

WAKATI kampeni ya chanjo ya Surua-Rubella kwa watoto wenye kuanzia umri wa miezi tisa hadi miaka 15, ilikamilika wiki iliyopita, kuna wasiwasi kuwa makundi ya watoto wanaoishi katika mazingira magumu...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WATOTO WANAOISHI KWENYE MAZINGIRA MAGUMU JIJINI ARUSHA KUJENGEWA HOSTEL

Watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu jijini Arusha wanatarajiwa kujengewa Hostel zitakazowasaidia kuondokana na adha ya kupata sehemu za malazi hivyo kulazimika kulala maeneo ya stendi za mabasi na masoko.
Mkurugenzi wa shirika la Gola linalojihusisha na masuala ya watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu jijini Arusha,Sawale Maghema  amesema kuwa mpango huo utasaidia watoto hao kuondokana na mazingira magumu yanayowapelekea kujiingiza katika vitendo vya uhalifu na matumizi ya madawa ya...

 

11 years ago

GPL

WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU MTWARA WAKOSA MAHALI PA KUISHI

Meneja wa Vodacom kanda ya Kusini, Henry Tzamburakis akikabidhi msaada wa chakula kwa kituo cha wa watoto yatima cha EAGT Rahaleo Manispaa ya Mtwara Mikindani. Wanaopokea msaada huo kutoka (kushoto) ni watoto wanaoishi katika mazingira magumu Yasunta Rawland,  Boniface Seleman, Mkurugenzi wa kituo cha kulelea watoto cha EAGT Mtwara, Caroline Mkwele, Askofu wa kanisa la EAGT Rahaleo Mtwara pia (mwasisi wa kituo) George Mrope....

 

11 years ago

Michuzi

Times Fm, M2 Advertising na makampuni rafiki wajitolea kwa watoto wanaoishi katika mazingira magumu shule ya ‘Wamato’

Mkurugenzi wa 100.5 Times Fm, Rehure Nyaulawa akizungumza na watoto wanaolelewa kwenye Shule ya msingi Wamato (hawapi pichani) wakati walipowatembelea.100.5 Times Fm kwa kushirikiana na makampuni ya MeTL, Shamo, Simba Trailer, Hugo Domingo, M2 Advertising, Ifatar, kampuni ya vipodozi ya Darling walijitolea na kupata chakula cha jioni kwa watoto wanaoishi katika mazingira magumu wanaosomeshwa katika shule ya msingi Wamato kwa udhamini wa taasisi ya Help2Kids.
Tukio hilo lililofanyika wiki...

 

11 years ago

Michuzi

MELLINIUM WOMEN GROUP YASAIDIA WASICHANA WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU

Kikundi cha wake wa Viongozi (Mellinium Women Group) yatoa msaada wa Chakula, Mavazi na Vifaa vya usafi vyenye thamani ya sh. Milioni 6.8/- kwa “New Hope for Girls Organization’’ kinacholea wasichana wanaoishi katika mazingira magumu.
Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda alieleza kuwa, wake wa viongozi waliguswa baada ya kukutana na Bibi. Consoler Eliya mwaka jana katika mkutano wa wanawake wajiwezeshe kiuchumi ambaye ni miongoni mwa wasichana walioishi katika mazingira magumu na kuahidi...

 

10 years ago

Mwananchi

Watoto milioni 21 kupewa chanjo ya surua

Zaidi ya nusu ya wananchi kesho wanatarajiwa kuanza kupatiwa chanjo ya surua na rubella katika vituo vyote vya afya nchini.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Asilimia 95 ya watoto kupewa chanjo ya surua na rubella

HALMASHAURI ya Wilaya ya Iringa inatarajia kutoa chanjo ya surua na rubella kwa watoto 111,711 na dawa za matende na mabusha kwa watu wazima 264,076 katika kampeni inayoendelea nchini. Akizungumza...

 

10 years ago

Vijimambo

TUWAPELEKE WATOTO WETU KATIKA CHANJO YA SURUA NA RUBELLA OKTOBA 18-24

SURUA na rubella ni magonjwa hatari yanayoenezwa haraka kwa njia ya hewa, kutoka kwa mtu mwenye vimelea vya ugonjwa huo kwenda kwa mwingine.
Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa dalili za magonjwa haya mawili zinafanana, hivyo ni vigumu kutofautisha. Wataalamu hao wanasema dalili kuu ni homa na vipele vidogovidogo.
Chanjo ya surua-rubella hutoa kinga kamili dhidi ya magonjwa haya. Dozi ya kwanza hutolewa kwa mtoto anapofikia umri wa miezi 9 na dozi ya pili akiwa na mwaka mmoja na nusu (miezi 18)....

 

10 years ago

Vijimambo

KONGAMANO LA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA HATARISHI

Kaimu Kamishna Msaidizi Kitengo cha huduma kwa familia, watoto, malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Philbert Kawemama (kulia), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, wakati akifungua semina ya siku moja inayohusu watoto waishio katika mazingira hatarishi na kongamano la watoto hao litakalofanyika Februari 18 hadi 20 mwaka huu katika ukumbi wa Mwalimu J.K Nyerere Convention Centre. Kushoto ni Kaimu Kamishna Msaidizi Huduma kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani