Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MELLINIUM WOMEN GROUP YASAIDIA WASICHANA WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU

Kikundi cha wake wa Viongozi (Mellinium Women Group) yatoa msaada wa Chakula, Mavazi na Vifaa vya usafi vyenye thamani ya sh. Milioni 6.8/- kwa “New Hope for Girls Organization’’ kinacholea wasichana wanaoishi katika mazingira magumu.
Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda alieleza kuwa, wake wa viongozi waliguswa baada ya kukutana na Bibi. Consoler Eliya mwaka jana katika mkutano wa wanawake wajiwezeshe kiuchumi ambaye ni miongoni mwa wasichana walioishi katika mazingira magumu na kuahidi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU MTWARA WAKOSA MAHALI PA KUISHI

Meneja wa Vodacom kanda ya Kusini, Henry Tzamburakis akikabidhi msaada wa chakula kwa kituo cha wa watoto yatima cha EAGT Rahaleo Manispaa ya Mtwara Mikindani. Wanaopokea msaada huo kutoka (kushoto) ni watoto wanaoishi katika mazingira magumu Yasunta Rawland,  Boniface Seleman, Mkurugenzi wa kituo cha kulelea watoto cha EAGT Mtwara, Caroline Mkwele, Askofu wa kanisa la EAGT Rahaleo Mtwara pia (mwasisi wa kituo) George Mrope....

 

11 years ago

Michuzi

Times Fm, M2 Advertising na makampuni rafiki wajitolea kwa watoto wanaoishi katika mazingira magumu shule ya ‘Wamato’

Mkurugenzi wa 100.5 Times Fm, Rehure Nyaulawa akizungumza na watoto wanaolelewa kwenye Shule ya msingi Wamato (hawapi pichani) wakati walipowatembelea.100.5 Times Fm kwa kushirikiana na makampuni ya MeTL, Shamo, Simba Trailer, Hugo Domingo, M2 Advertising, Ifatar, kampuni ya vipodozi ya Darling walijitolea na kupata chakula cha jioni kwa watoto wanaoishi katika mazingira magumu wanaosomeshwa katika shule ya msingi Wamato kwa udhamini wa taasisi ya Help2Kids.
Tukio hilo lililofanyika wiki...

 

10 years ago

Michuzi

PSPF YASAIDIA KITUO CHA KULEA WATOTO WALIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU, VINGUNGUTI JIJINI DAR

Afisa Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Abdul Njaidi, (kulia), akipena mikono na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Vingunguti-Butiama jijini Dar es Salaam, Elvis Bwahama, wakati akikabidhi msaada wa mifuko ya saruji tani 3 na mabati, kwa ajili ya ujenzi kwenye kituo cha kulea watoto walio katika mazingira magumu, cha Lukema. Hafla ya kukabidhin msaada huo kwa kituo hichomnkinacholea watoto 70, ilifanyika Ijumaa Machi 6, 2015. Kushoto ni mwenyekiti wa kituo hicho, Fatuma Ramadhani.

 

9 years ago

Dewji Blog

Wasichana 22 waliokuwa katika mazingira magumu wahitimu Chuo Kikuu Huria cha Tanzania

kkNaibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na watoto Mhe. Dkt. Pindi H. Chana (Mb)akimpongeza Bi. Jane Malyi kiongozi wa wahitimu wa mafunzo ya ujasiriamali na urembo mara baada ya kutoa neno fupi kwa niaba ya wahitimu wa mafunzo hayo katika chuo Kikuu Huria cha Tanzania, jijini Dar es salaam 

Na erasto Ching’oro

 Wasichana 22 kutoka mazingira hatarishi wamehitimu mafunzo ya ujasiriamali, mawasiliano, ususi wa nywele na urembo katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania jijini Dar es...

 

9 years ago

Michuzi

Wasichana walio katika mazingira magumu wahitimu Chuo Kukuu Huria cha Tanzania

Na erasto Ching’oro Wasichana 22 kutoka mazingira hatarishi wamehitimu mafunzo ya ujasiriamali, mawasiliano, ususi wa nywele na urembo katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania jijini Dar es salaam na kutunukiwa vyeti vya umahiri na Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na watoto Mhe. Dkt. Pindi H. Chana ambaye alikuwa mgeni rasimi kwenye mahafali yaliyofanyika Chuoni hapo (OUT) tarehe 20 Agosti, 2015. Mapema mwezi Januri, 2015 Chuo Kikuu Huria kwa ushirikiano na asasi ya ‘Nafasi...

 

11 years ago

Michuzi

New Mellinium Women Group yafanya Kampeni Maalumu ya Saratani Nchini



  Mke wa Makamu wa RaisMama Asha Bilal  (L)na Mlezi wa chama cha wake wa viongozi Mama Tunu Pinda wakipata maelezo kutoka kwa Prof Amyn Alidina ambaye ni mkuu wa kitengo kinachotoa   huduma ya matibabu ya ugonjwa wa Saratani inayo tolewa katika Hospitali ya Aga Khan iliyopo jijini Dar es salaam Wake wa viongozi walikuwa katika Hospitali ya Aga Khan katika kampeni ya kuhamasisha Watanzania kuwa natabia ya kuchunguza afya zao ilikujua mapema kama wanatatizo la Saratani  nawaweze kupata...

 

11 years ago

Dewji Blog

New Mellinium Women Group yafanya kampeni maalumu ya Saratani nchini

IMG_4536

Mke wa Makamu wa Rais, Mama Asha Bilal, (kushoto) na Mlezi wa chama cha wake wa viongozi Mama Tunu Pinda wakipata maelezo kutoka kwa Prof Amyn Alidina ambaye ni mkuu wa kitengo kinachotoa  huduma ya matibabu ya ugonjwa wa Saratani inayotolewa katika Hospitali ya Aga Khan iliyopo jijini Dar es salaam.Wake wa viongozi walikuwa katika Hospitali ya Aga Khan katika kampeni ya kuhamasisha Watanzania kuwa na tabia ya kuchunguza afya zao ilikujua mapema kama wanatatizo la Saratani  na waweze...

 

11 years ago

Michuzi

WAKE WA VIONGOZI NEW MELLINIUM WOMEN GROUP WA TAMBELEA KAMBI YA MAISHA PLUS ILIYOPO BAGAMOYO

 Mke wa Makamu wa Raisi Zakia Bilali akiwasha jiko la gesi ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa mtambo wa gesi inayo tokana na kinyesi cha ng’ombe ambayo imetengenezwa na washiriki wa shindano la Maisha Plus kulia kwake ni mlezi wa chama cha wake wa viongozi New Mellinium Women Group   Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda   wakiwa na wake wengine wa viongozi  wakishuhudia uzinduzi huo ambao umefanyika katika kambi ya Maisha Plus iliyopo wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani   Mlezi wa chama cha wake wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani