WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU MTWARA WAKOSA MAHALI PA KUISHI
Meneja wa Vodacom kanda ya Kusini, Henry Tzamburakis akikabidhi msaada wa chakula kwa kituo cha wa watoto yatima cha EAGT Rahaleo Manispaa ya Mtwara Mikindani. Wanaopokea msaada huo kutoka (kushoto) ni watoto wanaoishi katika mazingira magumu Yasunta Rawland, Boniface Seleman, Mkurugenzi wa kituo cha kulelea watoto cha EAGT Mtwara, Caroline Mkwele, Askofu wa kanisa la EAGT Rahaleo Mtwara pia (mwasisi wa kituo) George Mrope....
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziTimes Fm, M2 Advertising na makampuni rafiki wajitolea kwa watoto wanaoishi katika mazingira magumu shule ya ‘Wamato’
Tukio hilo lililofanyika wiki...
10 years ago
Tanzania Daima30 Oct
Watoto wanaoishi mazingira magumu hawakupata chanjo ya Surua-Ribella
WAKATI kampeni ya chanjo ya Surua-Rubella kwa watoto wenye kuanzia umri wa miezi tisa hadi miaka 15, ilikamilika wiki iliyopita, kuna wasiwasi kuwa makundi ya watoto wanaoishi katika mazingira magumu...
10 years ago
MichuziWATOTO WANAOISHI KWENYE MAZINGIRA MAGUMU JIJINI ARUSHA KUJENGEWA HOSTEL
Mkurugenzi wa shirika la Gola linalojihusisha na masuala ya watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu jijini Arusha,Sawale Maghema amesema kuwa mpango huo utasaidia watoto hao kuondokana na mazingira magumu yanayowapelekea kujiingiza katika vitendo vya uhalifu na matumizi ya madawa ya...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-nHeNiQI5mxQ/UvZtPwc5aoI/AAAAAAAFLyg/_V1rjZd25bU/s72-c/New+Picture+(7).bmp)
MELLINIUM WOMEN GROUP YASAIDIA WASICHANA WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU
![](http://4.bp.blogspot.com/-nHeNiQI5mxQ/UvZtPwc5aoI/AAAAAAAFLyg/_V1rjZd25bU/s1600/New+Picture+(7).bmp)
Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda alieleza kuwa, wake wa viongozi waliguswa baada ya kukutana na Bibi. Consoler Eliya mwaka jana katika mkutano wa wanawake wajiwezeshe kiuchumi ambaye ni miongoni mwa wasichana walioishi katika mazingira magumu na kuahidi...
10 years ago
VijimamboKONGAMANO LA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA HATARISHI
5 years ago
MichuziWADAU WASAIDIE WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA HATARISHI
Brig. Jen. Mwangela ameyasema hayo wakati akishiriki uzinduzi wa Mradi mpya wa taasisi ya Save The Children ambapo mradi huo mpya utajikita katika kuongeza ushiriki wa wananchi katika michakato ya kisera na Kibajeti.
Amesema taasisi hiyo imekuwa ikisaidia watoto wanaoishi katika mazingira...
10 years ago
GPLKONGAMANO LA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA HATARISHI KUFANYIKA FEBRUARY 2, 2015
10 years ago
Mwananchi07 Dec
Watoto wanaoishi na VVU wakosa kliniki