Watoto wanaoishi na VVU wakosa kliniki
Asilimia 73 ya watoto wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (VVU), hawafikishwi katika kliniki maalumu ili kupatiwa dawa za kufubaza makali ya ugonjwa huo, badala yake ni asilimia 27 pekee ndiyo waliopo katika matibabu ya ART (ARV).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLWATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU MTWARA WAKOSA MAHALI PA KUISHI
10 years ago
Habarileo19 Nov
Watoto, wanaoishi na VVU waongoza mahitaji ya damu
ASILIMIA 90 ya damu yote inayohitajika kwa watoto, huwekewa watoto wanaoumwa malaria wakati asilimia 52 ya damu inahohitajika kwa watu wazima hutumiwa na wenye ugonjwa wa Ukimwi.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Gw6qeKR6gFQ/Xk5VvHKPidI/AAAAAAAAIIA/vbQIXM95e688RT_3rgWlw6FAEIX6Mf5mwCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200220_123924_659.jpg)
SPIKA NDUGAI ELIMU YA VVU NDIO DAWA YA KUONDOA UNYANYAPAA KWA WATU WANAOISHI NA VVU NCHINI
Serikali imeeleza kuwa suala la elimu ya masuala ya vvu kwa jamii ni jambo endelevu na linatakiwa kuendelea kutolewa hususani kwenye suala la unyanyapaa ambalo limendelea kushika kasi kwa watu wanaoishi na maambukizi ya ukimwi.
Akiongea kwenye mkutano wa viongozi wa dini na madhehebu mbalimbali ulioandaliwa na Bunge na Baraza la watu walioishi na VVU Spika wa bunge Job Ngugai alisema kuwa katika umoja wao viongozi wa dini wanauwezo wa kuvunja ukimya kuondoa ubaguzi na...
10 years ago
Uhuru Newspaper10 Sep
DC Iringa awaasa wanaoishi na VVU
NA TUMAINI MSOWOYA, IRINGA
MKUU wa wilaya ya Iringa, Dk Leticia Warioba, amewataka wananchi wanaoishi na Virusi Vya Ukimwi (VVU), kutokata tamaa, badala yake wafuate masharti ya dawa za kupunguza makali ya ugonjwa huo.
Alitoa wito huo wakati Shirika la Utafiti wa Tiba na Afya Barani Afrika, (AMREF), lilipokuwa likitoa msaada wa baiskeli 50 kwa vikundi 17 kati ya 36 vya watoto salama, vinavyoundwa na wanawake wenye VVU, Iringa Vijijini.
Alisema kuishi na VVU sio mwisho wa maisha,...
9 years ago
MichuziRAIS MAGUFULI ATOA ZAWADI ZA SIKUKUU YA KRISMASI KWA WATOTO WANAOISHI KWENYE KITUO CHA KUHUDUMIA WATOTO WA KIJIJI CHA MATUMAINI MKOANI DODOMA.
10 years ago
Tanzania Daima26 Sep
Watoto wanaoishi mazingira hatarishi wapewa ujuzi
HALMASHAURI zote nchini, zimetakiwa kuona umuhimu wa kutenga fedha katika bajeti zao ili kuweza kusomesha watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi, pia wale ambao hawana malezi maalumu. Ushauri huo umetolewa juzi...
10 years ago
Habarileo16 May
Aliyejifungua watoto 3 kliniki tofauti atoka hospitali
MKAZI wa kijiji cha Kisalala, Kata ya Laela wilayani Sumbawanga katika mkoa wa Rukwa, Lydia Shazi (29) ambaye alijifungua watoto watatu wote wa kiume kwa siku tatu katika hospitali mbili tofauti, ameruhusiwa na kurejea kwake akiwa na afya njema yeye na wanawe wote.
10 years ago
VijimamboKONGAMANO LA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA HATARISHI
5 years ago
MichuziWADAU WASAIDIE WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA HATARISHI
Brig. Jen. Mwangela ameyasema hayo wakati akishiriki uzinduzi wa Mradi mpya wa taasisi ya Save The Children ambapo mradi huo mpya utajikita katika kuongeza ushiriki wa wananchi katika michakato ya kisera na Kibajeti.
Amesema taasisi hiyo imekuwa ikisaidia watoto wanaoishi katika mazingira...