Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUU WA WILAYA YA ILALA,RAYMOND MUSHI AWAAGIZA WATAALAMU WA MAZINGIRA KUTOA ELIMU UTUNZAJI WA MAZINGIRA KWA WANANCHI

Na Avila kakingo,Globu ya Jamii.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Raymond Mushi amewaagiza watendaji na wataalamu na wenye elimu ya utunzaji wa Mazingira kutoa elimu kuhusu utunzanzaji wa mazingira na athari za mabadiliko ya tabia ya nchi kwa wananchi wote.
Akizungumza leo na Waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo,Mkuu wa Wilaya ya Ilala Raymond Mushi amesema kuwa katika maadhimisho hayo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiki ndiye Mgeni rasmi katika maadhimisho ya Wiki ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mh. Ummy Mwalimu azitaka Halmashauri zote nchini kutoa elimu kwa wananchi juu ya utunzaji wa mazingira

Halmashauri zote Nchini zimetakiwa kuendelea kuhamasisha na kutoa Elimu kwa Wananchi juu ya utunzaji wa mazingira na pia kuimarisha miundombinu ya masoko ambayo ni mibovu na ya kizamani.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu wakati alipofanya ziara ya kutembelea masoko ya manispaa za Temeke na Ilala za jijini Dar es Salaam.
Amekumbushia pia kila Manispaa kuzingatia agizo la Makamu wa Rais la kufanya usafi kila jumamosi ya mwanzo wa mwezi...

 

10 years ago

Michuzi

USAFI WA MAZINGIRA UENDANE NA UTOAJI WA ELIMU BORA KWA WANAFUNZI-DC.MUSHI.

Mkuu wa Wilaya Ilala, Raymond Mushi (katikati) akizungumza katika siku ya kilele cha maadhimisho ya uboreshaji mazingira ya shule za msingi na sekondari za halmashauri ya manispaa ya Ilala, yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazimmoja Jijini Dar es Salaam leo. (kushoto) Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Isaya Mugurumu(kulia) ni Mwenyekiti kamati ya uchumi na huduma za Jamii Manispaa ya Ilala  Angelina Malembeka.0Kikundi Mganda cha shule ya Msingi Umoja ya Manispaa ya Ilala kikitoa burudani...

 

5 years ago

CCM Blog

RC MAKONDA AWAAGIZA MANISPAA YA ILALA KUHAKIKISHA HOSPITAL YA WILAYA INAANZA KUTOA HUDUMA KABLA JUNE MOSI.



*****************************Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amewaelekeza Manispaa ya Ilala kuhakikisha Hospital mpya ya Wilaya hiyo iliyopo Kata ya Kivule inaanza kutoa huduma za kimatibabu kwa wananchi kabla ya June Mosi ambapo leo amewakabidhi magodoro 286 kwaajili ya Wagonjwa.RC Makonda amesema kama majengo yote ya Hospital yamekamilika haoni sababu ya kutokutumika ambapo amesema miongoni mwa huduma zitakazoanza kutolewa ni pamoja na Huduma ya Mama na Mtoto, OPD, Uzazi na...

 

11 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI AHITIMISHA ZIARA YAKE WILAYA ZA KANDA YA ZIWA ZINAZOTEKELEZA MIRADI YA UTUNZAJI WA MAZINGIRA

 Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Abdulla Juma Saadalla akitembelea  Bandari ya Mwanza Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Abdulla Juma Saadalla akioneshwa kiwanja kitakachotumika kujenga kituo cha utafutaji na uokoaji katika ziwa Victorai (MRCC) njini Mwanza.
Na Faraja Mgwabati Mheshimwa Dkt.Abdulla Juma Abdulla Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki amehitimisha ziara yake ya Siku sita kitika Wilaya  zinazotekeleza miradi ya...

 

11 years ago

Mwananchi

CBE, Finland kutoa PhD ya elimu na elimu mazingira

>Chuo cha Bishara Dar es Salaam (CBE) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Eastern Finland (UEF), kwa pamoja wameanzisha program kwa masomo ya stashahada ya uzamivu (PhD) katika fani  ya elimu na mazingira ya elimu.

 

10 years ago

Dewji Blog

Tanzania yaingia kwa mara ya kwanza shindano la utunzaji wa mazingira duniani

1

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Injinia. Mussa Natty (kulia), akifungua semina kwa wafanyakazi wa Halmashauri hiyo Jijini Dar es Salaam kuhusiana na ueneaji wa hewa ukaa na matumizi sahihi ya nishati jadidifu nchini (kushoto), Mratibu wa Shirika Lisilokuwa la Kiserikali WWF.Bw, Asukile Kajuni.

2

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni,Injinia. Mussa Natty akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa Halmashauri hiyo mara baada ya kufungua semina.(Habari picha...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA MAKETE ATOA RAI KWA JAMII YA MAKETE KUSAIDIA WATOTO YATIMA NA WAISHIO KWENYE MAZINGIRA HATARISHI

 Mkuu wa wilaya ya Makete mwenye suti nyeusi (aliyesuka nywele) Mh. Josephine Matiro, mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za binadamu Helen Kijo Bisimba (kulia kwa mkuu wa wilaya) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto walioshiriki maadhimisho hayo.  Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro(wa tatu kushoto walioketi) na Mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za binadamu Helen Kijo Bisimba (wa pili walioketi kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa shirika la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani