USAFI WA MAZINGIRA UENDANE NA UTOAJI WA ELIMU BORA KWA WANAFUNZI-DC.MUSHI.
Mkuu wa Wilaya Ilala, Raymond Mushi (katikati) akizungumza katika siku ya kilele cha maadhimisho ya uboreshaji mazingira ya shule za msingi na sekondari za halmashauri ya manispaa ya Ilala, yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazimmoja Jijini Dar es Salaam leo. (kushoto) Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Isaya Mugurumu(kulia) ni Mwenyekiti kamati ya uchumi na huduma za Jamii Manispaa ya Ilala Angelina Malembeka.
0Kikundi Mganda cha shule ya Msingi Umoja ya Manispaa ya Ilala kikitoa burudani...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA YA ILALA,RAYMOND MUSHI AWAAGIZA WATAALAMU WA MAZINGIRA KUTOA ELIMU UTUNZAJI WA MAZINGIRA KWA WANANCHI
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Raymond Mushi amewaagiza watendaji na wataalamu na wenye elimu ya utunzaji wa Mazingira kutoa elimu kuhusu utunzanzaji wa mazingira na athari za mabadiliko ya tabia ya nchi kwa wananchi wote.
Akizungumza leo na Waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo,Mkuu wa Wilaya ya Ilala Raymond Mushi amesema kuwa katika maadhimisho hayo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiki ndiye Mgeni rasmi katika maadhimisho ya Wiki ya...
11 years ago
Mwananchi19 Aug
Mazingira ya kusikitisha ya utoaji wa elimu ya awali Kigoma
11 years ago
Tanzania Daima05 Jun
Kananura na harakati za utoaji wa elimu bora nchini
ELIMU yetu imezongwa na mlolongo wa kero ambazo zinachangia matokeo mabaya kwa wanafunzi kuanzia ngazi ya msingi hadi vyuo vikuu. Hali hii ni mbaya kwa shule za serikali ambazo zinazidi...
10 years ago
Mwananchi24 Feb
Jamii iliyoamka ni mtaji wa utoaji elimu bora
10 years ago
Raia Tanzania03 Aug
Elimu bora inahitaji mazingira salama
MAENDELEO ya taifa hupimwa kwa ubora wa elimu na taasisi zilizo chini yake, msingi imara wa elimu ni chachu ya mafanikio hasa kwa vijana.
Inapozungumziwa elimu bora si utoaji wa vitabu na madawati pekee katika shule, bali hata mazingira ya kusomea huongeza mafanikio ya elimu na kukuza maarifa.
Kwa kutambua hamasa hiyo ya mazingira mazuri ya kujifunzia kampuni ya AAR Health Care inayotoa huduma ya afya nchini imeandaa utaratibu wa kuhakikisha mazingira yanakuwa mazuri kuanzia katika...
9 years ago
Mwananchi11 Dec
Vitendea kazi ni muhimu kwa usafi wa mazingira
9 years ago
Michuzi
Uzinduzi wa Sherehe za Mapinduzi kwa Usafi wa Mazingira Kitaifa


9 years ago
Global Publishers03 Jan
Dkt. Shein azindua Sherehe za Mapinduzi kwa Usafi wa Mazingira
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizoa taka katika zoezi la Usafi wa mazingira uliofanyika leo eneo la Soko la Mbogamboga Mombasa Mjini Zanzibar ikiwa ni Uzinduzi wa Sherehe za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akibeba taka katika zoezi la Usafi wa mazingira uliofanyika leo eneo la Soko la Mbogamboga Mombasa Mjini Zanzibar ikiwa ni Uzinduzi wa...
9 years ago
Mwananchi10 Dec
Makandarasi Dar matatani kwa kushindwa kufanya usafi wa mazingira