Mazingira ya kusikitisha ya utoaji wa elimu ya awali Kigoma
Ndani ya ofisi ya mwalimu mkuu wa shule ya msingi Bigabiro iliyopo Wilaya ya Kigoma mkoani Kigoma, mwanafunzi mmoja anaingia na kuomba apewe ndoo aliyoagizwa na mwalimu wake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziUSAFI WA MAZINGIRA UENDANE NA UTOAJI WA ELIMU BORA KWA WANAFUNZI-DC.MUSHI.
10 years ago
Raia Tanzania20 Jul
Elimu ya awali msingi wa elimu Tanzania
WARIOBA IGOMBE
NYUMBA imara inahitaji msingi uliokamilika katika ujenzi, ikiwa yatatumika mawe, zege au udongo basi fundi asifikirie kulipua ili amalize.
Ikiwa utaratibu hautafuatwa katika kujenga msingi imara nyumba itaanguka wakati wowote, inawezekana ikaanguka wakati ujenzi ukiendelea au miaka michache baada ya kukamilika.
Katika mtiririko huo huo mwanafunzi anaandaliwa kwa kujengewa msingi mzuri, anapoanza elimu ya awali na baadaye shule ya msingi kabla ya kwenda sekondari...
9 years ago
MichuziOFISI YA WAZIRI MKUU NA WADAU WA MABADILIKO TABIA NCHI WAJADILI UBORESHAJI WA MIFUMO YA UTOAJI TAHADHARI ZA AWALI
9 years ago
Vijimambo20 Aug
OFISI YA WAZIRI MKUU NA WADAU WA MABADILIKO TABIA NCHI WAJADILI UBORESHAJI WA MIFUMO YA UTOAJI TAHADHARI ZA AWALI
![of1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/08/of1.jpg)
![of2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/08/of2.jpg)
10 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA YA ILALA,RAYMOND MUSHI AWAAGIZA WATAALAMU WA MAZINGIRA KUTOA ELIMU UTUNZAJI WA MAZINGIRA KWA WANANCHI
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Raymond Mushi amewaagiza watendaji na wataalamu na wenye elimu ya utunzaji wa Mazingira kutoa elimu kuhusu utunzanzaji wa mazingira na athari za mabadiliko ya tabia ya nchi kwa wananchi wote.
Akizungumza leo na Waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo,Mkuu wa Wilaya ya Ilala Raymond Mushi amesema kuwa katika maadhimisho hayo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiki ndiye Mgeni rasmi katika maadhimisho ya Wiki ya...
11 years ago
Tanzania Daima10 Jun
‘Taasisi shirikianeni na NEMC utoaji hati ya mazingira’
TAASISI na sekta zinazoshughulika na masuala ya hifadhi ya mazingira, zimeshauriwa kushirikiana na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), ili kuleta weledi wa utoaji hati ya...
11 years ago
Mwananchi27 Jun
CBE, Finland kutoa PhD ya elimu na elimu mazingira
11 years ago
BBCSwahili05 Aug
Elimu ya awali TZ,nani anawajibika?
10 years ago
Tanzania Daima04 Oct
Elimu ya awali Tunduru na changamoto lukuki
WADAU wa elimu Tanzania wanaamini kwa kiasi kikubwa kwamba endapo elimu ya awali (chekechea) itatolewa katika misingi inayostahiki, itakuwa ni njia mojawapo madhubuti ya kuimarisha ubora wa elimu. Hii ndiyo...