‘Taasisi shirikianeni na NEMC utoaji hati ya mazingira’
TAASISI na sekta zinazoshughulika na masuala ya hifadhi ya mazingira, zimeshauriwa kushirikiana na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), ili kuleta weledi wa utoaji hati ya...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi01 Aug
Serikali: Nemc simamieni mazingira ya viwandani
>Serikali imeliagiza Baraza la Taifa la Mazingira (Nemc) kutoa mwongozo wa utunzaji na uhifadhi wa mazingira kwa viwanda vyote nchini.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-i-ktBm0jjoI/XveR6GYla-I/AAAAAAALvss/AevYk9TQ02YtB1wvPibV7MNm_FmEYVG3wCLcBGAsYHQ/s72-c/1AAA-1-768x512.jpg)
WAZIRI ZUNGU AKUTANA NA MENEJIMENTI YA NEMC NA WADAU WA MAZINGIRA
![](https://1.bp.blogspot.com/-i-ktBm0jjoI/XveR6GYla-I/AAAAAAALvss/AevYk9TQ02YtB1wvPibV7MNm_FmEYVG3wCLcBGAsYHQ/s640/1AAA-1-768x512.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/2AAA-1-1024x682.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BYFBgNpMDMSQjiQnjkRz71a5of1neFVmuCx0-R8ZiRI66*pfiyg3uh1GrFAD7W9M*hWXt6BVqXLS3my*a6n4IHGPKN8jmS6d/001..jpg?width=650)
NEMC YASEMA UTUNZAJI MAZINGIRA NI JUKUMU LETU SOTE
Mhandisi wa Mazingira wa Mamlaka ya udhibiti na usimamizi wa mazingira(NEMC)Arnold Kasilaga.akiongea na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania na wafanyakazi wa Mlimani City.Wakati wa kuadhimisha siku ya mazingira duniani ambapo wafanyakazi hao walifanya kazi ya usafi kwa vitendo kuzunguka maeneo ya Mlimani city jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Kitengo cha Afya na Usalama wa Vodacom Tanzania Karen Lwakatare,akiongea jambo na baadhi ya...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-eUewXoN0DUg/VJFoaPCV0DI/AAAAAAAG3zA/O98UWgjP2es/s72-c/04.jpg)
Profesa Salome B. Misana Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira ( NEMC)
![](http://3.bp.blogspot.com/-eUewXoN0DUg/VJFoaPCV0DI/AAAAAAAG3zA/O98UWgjP2es/s1600/04.jpg)
Wakati huo huo , Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira, Dkt. Binilith Mahenge amewateua Wajumbe wa Bodi hiyo . Walioteuliwa ni Profesa Reuben...
10 years ago
Mwananchi19 Aug
Mazingira ya kusikitisha ya utoaji wa elimu ya awali Kigoma
Ndani ya ofisi ya mwalimu mkuu wa shule ya msingi Bigabiro iliyopo Wilaya ya Kigoma mkoani Kigoma, mwanafunzi mmoja anaingia na kuomba apewe ndoo aliyoagizwa na mwalimu wake.
10 years ago
MichuziUSAFI WA MAZINGIRA UENDANE NA UTOAJI WA ELIMU BORA KWA WANAFUNZI-DC.MUSHI.
11 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-DEFPgkK4ciQ/Uz1P0A2uz5I/AAAAAAAASwg/-9MZJGiNpTE/s1600/2.jpg)
TAASISI YA BRIEN HOLDEN KUZINDUA HUDUMA YA UPIMAJI MACHO NA UTOAJI MIWANI KWA GHARAMA NAFUU
Ofisa Mkazi wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Brien Holden Vision, Eden Mashayo akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam jana kuhisina na uzinduzi wa upimaji macho utakao fanyika Dar es Slaam free market mkabala na kituo cha DSTV, Kinondoni jijini Dr es Salaam. Kushoto ni Mratibu mradi huo Violet Shirima. Â Ofisa Mkazi wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Brien Holden Vision, Eden Mashayo akionesha miwani...
9 years ago
VijimamboTFDA NA TAASISI YA TRADEMARK EAST AFRICA (TMEA) WAZINDUA MFUMO WA UTOAJI VIBALI KWA MFUMO WA KIELEKITRONIKI
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania