Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEMC YASEMA UTUNZAJI MAZINGIRA NI JUKUMU LETU SOTE‏

Mhandisi wa Mazingira wa Mamlaka ya udhibiti na usimamizi wa mazingira(NEMC)Arnold Kasilaga.akiongea na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania na wafanyakazi wa Mlimani City.Wakati wa kuadhimisha siku ya mazingira duniani ambapo wafanyakazi hao walifanya kazi ya usafi kwa vitendo kuzunguka maeneo ya Mlimani city jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Kitengo cha Afya na Usalama wa Vodacom Tanzania Karen Lwakatare,akiongea jambo na baadhi ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Utii wa sheria ni jukumu letu sote

Utii wa sheria ni jambo muhimu katika jamii. Sheria zimekuwapo tangu kuumbwa kwa ulimwengu.

 

10 years ago

Mwananchi

Kuliimarisha Taifa ni jukumu letu sote, hofu hii inatoka wapi?

Wananchi wanazungumza, huu ni wakati wa kusikiliza na kutenda na si kupinga Kwanza nikiri kwamba mimi ni mtu mdogo sana, kwa rika, kwa maarifa, kwa uzoefu na ujuvi wa mambo, siko huko.

 

5 years ago

Mwananchi

Bomba la mafuta ni letu, tulilinde sote

Jana, Rais John Magufuli na mgeni wake, Rais wa Uganda, Yoweri Museveni walizindua mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi Bandari ya Tanga.

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA ILALA,RAYMOND MUSHI AWAAGIZA WATAALAMU WA MAZINGIRA KUTOA ELIMU UTUNZAJI WA MAZINGIRA KWA WANANCHI

Na Avila kakingo,Globu ya Jamii.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Raymond Mushi amewaagiza watendaji na wataalamu na wenye elimu ya utunzaji wa Mazingira kutoa elimu kuhusu utunzanzaji wa mazingira na athari za mabadiliko ya tabia ya nchi kwa wananchi wote.
Akizungumza leo na Waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo,Mkuu wa Wilaya ya Ilala Raymond Mushi amesema kuwa katika maadhimisho hayo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiki ndiye Mgeni rasmi katika maadhimisho ya Wiki ya...

 

11 years ago

Habarileo

NEMC yasema maji ya Mto Ngerengere si salama

BARAZA la Taifa la Usimamizi na Hifadhi ya Mazingira (NEMC) limesema vipimo vya maji machafu yanayotoka katika viwanda vilivyopo eneo la Kihonda Manispaa ya Morogoro na kuelekezwa Mto Ngerengere, yamekuwa na kemikali zenye sumu ambayo ni hatari kwa maisha ya viumbe hai wanaotumia maji hayo.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali: Nemc simamieni mazingira ya viwandani

>Serikali imeliagiza Baraza la Taifa la Mazingira (Nemc) kutoa mwongozo wa  utunzaji na uhifadhi wa mazingira kwa viwanda vyote nchini.

 

11 years ago

Michuzi

TBL YAPATA TUZO YA UTUNZAJI WA MAZINGIRA NCHINI

 Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sofia Mjema (kushoto) akimkabidhi tuzo ya cheti Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu, kwa kutambua mchango wa kampuni hiyo katika utunzaji wa mazingira nchini, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yaliyofanyika hivi karibuni kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam. Dorris Malulu akifurahia TBL kupata tuzo ya utunzaji mazingira nchini

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Taasisi shirikianeni na NEMC utoaji hati ya mazingira’

TAASISI na sekta zinazoshughulika na masuala ya hifadhi ya mazingira,  zimeshauriwa kushirikiana na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), ili kuleta weledi wa utoaji hati ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani