Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TBL YAPATA TUZO YA UTUNZAJI WA MAZINGIRA NCHINI

 Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sofia Mjema (kushoto) akimkabidhi tuzo ya cheti Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu, kwa kutambua mchango wa kampuni hiyo katika utunzaji wa mazingira nchini, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yaliyofanyika hivi karibuni kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam. Dorris Malulu akifurahia TBL kupata tuzo ya utunzaji mazingira nchini

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

TBL yapata tuzo ya mapambano dhidi ya Malaria nchini

Untitled

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid (kulia) akimkabidhi Meneja Vipaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Lillian Makau cheti cha shukurani cha kutambua ushiriki wa kampuni hiyo katika mapambano dhidi ya Malaria nchini, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani, jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Katikati ni Balozi wa Malaria Tanzania, Leodegar Tenga.

 Katibu wa Afya wa TBL (katikati), akitoa maelezo jinsi kampuni yake ilivyojidhatiti kutoa elimu na tiba ya...

 

11 years ago

GPL

TBL YAPATA TUZO YA MAPAMBANO DHIDI YA MALARIA NCHINI‏

 Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid (kulia) akimkabidhi Meneja Vipaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Lillian Makau cheti cha shukurani cha kutambua ushiriki wa kampuni hiyo katika mapambano dhidi ya Malaria nchini, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani, jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Katikati ni Balozi wa Malaria Tanzania, Leodegar Tenga.…
...

 

10 years ago

Michuzi

TBL YAPATA USHINDI WA USALAMA NA USAFI WA MAZINGIRA

 Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Raymond Mushi (kushoto), akikabidhi Cheti cha ushindi wa kwanza kwa Meneja Usalama na Mazingira wa kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Renatus Nyanda, kutambua mchango wa TBL kutunza mazingira, wakati wa kilele cha Wiki ya Mazingira, iliyofanyika Dar es Salaam hivi karibuni. Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), baada ya kushiriki katika zoezi la usafi wa mazingira katika soko la...

 

10 years ago

Michuzi

TBL YAPATA TUZO YA NSSF YA MWAJIRI BORA

 Mkurugenzi wa Fedha wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Cavin O'Flaherty (wa pili kulia), akipokea tuzo ya mwajiri bora wa kwanza katika idara ya matekelezo ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kutoka kwa Meneja Kiongozi wa NSSF mkoa wa Temeke, Bw. Chieldrick Komba, Dar es Salaam jana. Wengine kulia ni Meneja wa Huduma za TBL, Alois Maleck Qande (wa pili kulia), Afisa Uhusiano Doris Malulu (kulia) na baadhi ya maofisa wa NSSF (waliosimama kushoto. Mkurugenzi wa Fedha wa Kampuni ya...

 

10 years ago

GPL

TBL YAPATA TUZO YA NSSF YA MWAJIRI BORA‏

 Mkurugenzi wa Fedha wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Cavin O'Flaherty (wa tatu kulia), akipokea tuzo ya mwajiri bora wa kwanza katika idara ya matekelezo ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kutoka kwa Meneja Kiongozi wa NSSF mkoa wa Temeke, Bw. Chieldrick Komba, Dar es Salaam jana. Wengine kulia ni Meneja wa Huduma za TBL, Alois Maleck Qande (wa pili kulia), Afisa Uhusiano Doris Malulu (kulia) na baadhi ya maofisa...

 

10 years ago

Michuzi

TBL YAPATA TUZO YA HESHIMA WIKI YA NENDA KWA USALAMA

 Mkuu wa Mkoa wa Manyara,Mbwilo, akimkabidhi Cheti cha kutambua chango mkubwa uliofanywa na Kampuni ya Bia nchini (TBL) ambayo iliendesha zoezi la upimaji afya kwa madareva, Meneja wa Kiwanda cha Bia Arusha Moshi  Sarvatory Rweyemamundiye aliyepokea kwa niaba ya uongozi wa Kampuni hiyo wakati wa kufunga Wiki ya Nenda kwa Usalama barabarani iliyofanyika kitaifa mkoani Arusha. Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Marrison Mwakyoma akipima macho yake kama sehemu ya kuhamasisha upimaji wa...

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Ummy Mwalimu azitaka Halmashauri zote nchini kutoa elimu kwa wananchi juu ya utunzaji wa mazingira

Halmashauri zote Nchini zimetakiwa kuendelea kuhamasisha na kutoa Elimu kwa Wananchi juu ya utunzaji wa mazingira na pia kuimarisha miundombinu ya masoko ambayo ni mibovu na ya kizamani.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu wakati alipofanya ziara ya kutembelea masoko ya manispaa za Temeke na Ilala za jijini Dar es Salaam.
Amekumbushia pia kila Manispaa kuzingatia agizo la Makamu wa Rais la kufanya usafi kila jumamosi ya mwanzo wa mwezi...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA ILALA,RAYMOND MUSHI AWAAGIZA WATAALAMU WA MAZINGIRA KUTOA ELIMU UTUNZAJI WA MAZINGIRA KWA WANANCHI

Na Avila kakingo,Globu ya Jamii.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Raymond Mushi amewaagiza watendaji na wataalamu na wenye elimu ya utunzaji wa Mazingira kutoa elimu kuhusu utunzanzaji wa mazingira na athari za mabadiliko ya tabia ya nchi kwa wananchi wote.
Akizungumza leo na Waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo,Mkuu wa Wilaya ya Ilala Raymond Mushi amesema kuwa katika maadhimisho hayo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiki ndiye Mgeni rasmi katika maadhimisho ya Wiki ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani