TBL YAPATA TUZO YA HESHIMA WIKI YA NENDA KWA USALAMA
![](http://4.bp.blogspot.com/-HD6ezOVmOYI/VCnJVWIYd8I/AAAAAAAAuz0/6CyMUs6n0C0/s72-c/01.jpg)
Mkuu wa Mkoa wa Manyara,Mbwilo, akimkabidhi Cheti cha kutambua chango mkubwa uliofanywa na Kampuni ya Bia nchini (TBL) ambayo iliendesha zoezi la upimaji afya kwa madareva, Meneja wa Kiwanda cha Bia Arusha Moshi Sarvatory Rweyemamundiye aliyepokea kwa niaba ya uongozi wa Kampuni hiyo wakati wa kufunga Wiki ya Nenda kwa Usalama barabarani iliyofanyika kitaifa mkoani Arusha.
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Marrison Mwakyoma akipima macho yake kama sehemu ya kuhamasisha upimaji wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima15 Sep
TBL yatia mkono wiki ya nenda kwa usalama
KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL) imekabidhi sh million 24 kwa Jeshi la Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani ili kuwezesha upimaji wa afya kwa madereva. Zaidi ya madereva 2,500 watanufaika na...
10 years ago
Tanzania Daima30 Sep
TBL yatumia mil. 80/- wiki ya nenda kwa usalama barabarani
KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL), imetumia sh milioni 80 kufanikisha shughuli mbalimbali wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama barabarani nchini. Hayo yalisemwa na Ofisa Uhusiano wa TBL,...
10 years ago
GPLTBL YATOA MSAADA WA SH. MIL.24.6 WIKI YA NENDA KWA USALAMA
10 years ago
GPLTBL YATOA MSAADA WA SH. MIL 24.6 WIKI YA NENDA KWA USALAMA
10 years ago
MichuziTBL YAFANIKISHA UPIMAJI AFYA ZA MADEREVA WIKI YA NENDA KWA USALAMA
10 years ago
MichuziTBL YATOA SH. MIL 124 KUDHAMINI WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI
10 years ago
VijimamboMSAADA ZAIDI WATOLEWA NA TBL MAADHIMISHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI
10 years ago
GPLTBL YAFANIKISHA UPIMAJI AFYA ZA MADEREVA WIKI YA NENDA KWA USALAMA
10 years ago
MichuziTBL YATOA MSAADA WA SH. MIL.24.6 WIKI YA NENDA KWA USALAMA. ZITASAIDIA UPIMAJI AFYA ZA MADEREVA