MSAADA ZAIDI WATOLEWA NA TBL MAADHIMISHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu (kushoto), akimkabidhi Mkuu wa Kitengo cha Ekimu kwa Umma cha Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani, Mrakibu Msaidizi wa Polisi, Abel Swai sehemu ya fulana 3,800, kofia 2,800 na stika kwa ajili ya Maadhinisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani itakayoanza .Agosti 3 hadi 7 jijini Tanga. TBL imedhamini maadhimisho hayo kwa sh. mil 124, ambapo madereva wa masafa marefu watapimwa afya zao pamoja na kuwapatia mafunzo...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima30 Sep
TBL yatumia mil. 80/- wiki ya nenda kwa usalama barabarani
KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL), imetumia sh milioni 80 kufanikisha shughuli mbalimbali wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama barabarani nchini. Hayo yalisemwa na Ofisa Uhusiano wa TBL,...
10 years ago
MichuziTBL YATOA SH. MIL 124 KUDHAMINI WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI
10 years ago
GPLTBL YATOA MSAADA WA SH. MIL.24.6 WIKI YA NENDA KWA USALAMA
10 years ago
GPLTBL YATOA MSAADA WA SH. MIL 24.6 WIKI YA NENDA KWA USALAMA
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-sB_F-QkZkLw/VcRpQJBQJ1I/AAAAAAAA4II/5sPXuuQfIeQ/s72-c/DK%2BISSA%2BNDIMILA%2BAKICHUA%2BDAMU%2BKWA%2BKUPIMA%2BPRESHA%2BKTK%2BWIKI%2BYA%2BNENDA%2BKWA%2BUSALAMAMA%2BMORO%2BPIX%2BNO%2B012.jpg)
TBL YAFANIKISHA UPIMAJI AFYA ZA MADEREVA WA MASAFA MAREFU WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI
![](http://4.bp.blogspot.com/-sB_F-QkZkLw/VcRpQJBQJ1I/AAAAAAAA4II/5sPXuuQfIeQ/s640/DK%2BISSA%2BNDIMILA%2BAKICHUA%2BDAMU%2BKWA%2BKUPIMA%2BPRESHA%2BKTK%2BWIKI%2BYA%2BNENDA%2BKWA%2BUSALAMAMA%2BMORO%2BPIX%2BNO%2B012.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-PoTRefeN2_s/VcRpQL2Su-I/AAAAAAAA4IE/nMI7qBTL_GA/s640/DK%2BISSA%2BNDIMILA%2BNA%2BDEREVA%2BBENEDICKITI%2BSAMUEL%2BWIKI%2BYA%2BNENDA%2BKWA%2BUSALAMAMA%2BMORO%2BPIX%2BNO%2B02.jpg)
9 years ago
Dewji Blog28 Aug
Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani yafanyika Temeke Jiji Dar
Mgeni rasmi ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya A&T Brothers Co. Ltd Abdulmalik Mollel akuzungumza na wananchi juu ya Kuzuia kabisa mwendo kasi kwa magari makubwa barabara ya kutoka bandarini kuelekea ubungo kupitia ama Barabara ya Kilwa ama ile ya Mandela kwa wakati wote, na kuweka msisitizo wa alama za mwendo kasi katika barabara hizo kwakuwa pia imekuwa ikichangia kukosa umadhubuti wa breki pindi tatizo la ghafla linapojitokeza, jana jiji Dar Salaam.
*Kauli Mbiu ya mwaka huu ni “Endesha...
9 years ago
MichuziMAADHIMISHO WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI YAFANYIKA MKOA WA KIPOLISI TEMEKE
10 years ago
MichuziTBL YATOA MSAADA WA SH. MIL.24.6 WIKI YA NENDA KWA USALAMA. ZITASAIDIA UPIMAJI AFYA ZA MADEREVA
9 years ago
MichuziMAADHIMISHO YA WIKI NENDA KWA USALAMA BARABARANI YAFANYIKA TEMEKE JIJI DAR ES SALAAM (ENDESHA SALAMA-OKOA MAISHA)