Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani yafanyika Temeke Jiji Dar

Mgeni rasmi ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya A&T Brothers Co. Ltd Abdulmalik Mollel akuzungumza na wananchi juu ya Kuzuia kabisa mwendo kasi kwa magari makubwa barabara ya kutoka bandarini kuelekea ubungo kupitia ama Barabara ya Kilwa ama ile ya Mandela kwa wakati wote, na kuweka msisitizo wa alama za mwendo kasi katika barabara hizo kwakuwa pia imekuwa ikichangia kukosa umadhubuti wa breki pindi tatizo la ghafla linapojitokeza,  jana jiji Dar Salaam.

*Kauli Mbiu ya mwaka huu ni “Endesha...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA WIKI NENDA KWA USALAMA BARABARANI YAFANYIKA TEMEKE JIJI DAR ES SALAAM (ENDESHA SALAMA-OKOA MAISHA)

Mgeni rasmi ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya A&T Brothers Co. Ltd Abdulmalik Mollel akuzungumza na wananchi juu ya Kuzuia kabisa mwendo kasi kwa magari makubwa barabara ya kutoka bandarini kuelekea ubungo kupitia ama Barabara ya Kilwa ama ile ya Mandela kwa wakati wote, na kuweka msisitizo wa alama za mwendo kasi katika barabara hizo kwakuwa pia imekuwa ikichangia kukosa umadhubuti wa breki pindi tatizo la ghafla linapojitokeza,  jana jiji Dar Salaam.Sehemu ya wananchi wakimsikiliza...

 

9 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI YAFANYIKA MKOA WA KIPOLISI TEMEKE

Mkuu wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Temeke, Endrew Satta akiwakabidhi vyeti baadhi ya madereva wa bodaboda waliofuzu mafuzo ya Pikipiki katika wiki ya nenda kwa Barabarani iliyofanyika katika viwanja vya Mwembe yanga Temeke jijini Dar es Salaam leo. Mkuu wa Jeshi la Polisi Mkowa wa Temeke, Endrew Satta akitembelea mabanda ya maonyesho ya wiki ya nenda kwa usalama Barabarani iliyofanyika katika viwanja vya Mwembe yanga Temeke jijini Dar es Salaam leo.Umoja wa waendesha  Pikipiki  Temeke (UWAPITE)...

 

9 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA MKOA WA KIPOLISI TEMEKE

 Kaimu Mwenyekiti wa kamati ya Usalama Barabarani,Thabeet Massa akimkaribisha mgeni rasimi katika mazimosho ya wiki ya nenda kwa Barabarani jiji Dar es Salaam Mkuu wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Temeke,Endrew Satta akihutubia wananchi juu ya kuedesha  kwa    salama okoa maisha katika harakati za  wiki ya nenda kwa Barabarani jiji Dar es Salaam Mkuu wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Temeke,Endrew Satta akiwakabidhi vyeti madereva bodaboda waliofuzu mafuzo ya Pikipki katika wiki ya nenda kwa Barabarani...

 

10 years ago

Vijimambo

MSAADA ZAIDI WATOLEWA NA TBL MAADHIMISHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI

 Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu (kushoto), akimkabidhi Mkuu wa Kitengo cha Ekimu kwa Umma cha Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani,  Mrakibu Msaidizi wa Polisi, Abel Swai sehemu ya fulana 3,800, kofia 2,800 na stika kwa ajili ya Maadhinisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani itakayoanza .Agosti 3 hadi 7 jijini Tanga. TBL imedhamini maadhimisho hayo kwa sh. mil 124, ambapo madereva wa masafa marefu watapimwa afya zao pamoja na kuwapatia mafunzo...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AFUNGUA MAADHIMISHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI YALIYOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA TANGAMANO MJINI TANGA LEO

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya Uzinduzi wa wiki ya Nenda Kwa Usalama Barabarani 2015 wakati wa sherehe zilizofanyika katika viwanja vya Tangamano mjini Tanga leo.Kauli mbiu ya mwaka huu ni Endesha salama okoa maisha.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa na Kamanda wa mkuu wa Usalama Barabarani Tanzania Naibu Kamishna wa Polisi, Mohamed Mpinga wakati Rais alipowasili katika viwanja vya Tangamano mjini Tanga kuzindua rasmi maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama...

 

9 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA JIJINI DAR YAZINDULIWA

Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano  na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn  Mworia akiongea  na waandishi wa habari kuhusiana na  utoaji wa semina  mbalimbali wanazozifanya kama wadhamini wakuu  kwa waendesha badabado  wakati wa  maadhimisho ya wiki ya Usalama barabaranijijini dar es Salaam yaliyofanyika leo katika Viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es Salaam, kwa Udhamini wa Vodacom Tanzania,Kulia kwake ni Mwenyekiti wa  waendesha bodaboda Wilaya ya Kipolisi Buguruni Kanda ya Tabata, Ramia...

 

10 years ago

Tanzania Daima

TBL yatumia mil. 80/- wiki ya nenda kwa usalama barabarani

 KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL), imetumia sh milioni 80 kufanikisha shughuli mbalimbali wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama barabarani nchini. Hayo yalisemwa na Ofisa Uhusiano wa TBL,...

 

10 years ago

Michuzi

JK aaga wananchi Tanga, afungua wiki ya nenda kwa usalama barabarani


.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia mamia ya wakazi wa mji wa Tanga waliojitokeza katika mkutano mkubwa wa hadhara ambapo aliwaaga rasmi na kumpa zawadi mbalimbali jana  jioni 
 Baadhi ya wanafunzi wa shule mbalimbali za mkoa wa Tanga wakiandamana wakati wa sherehe za maadhimisho  ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani yaliyofanyika kitaifa katika viwanja vya Tangamano jijini Tanga Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizindua stika maalumu zing’aazo zitakazosaidia kupunguza ajali...

 

11 years ago

Michuzi

VODACOM YAMKABIDHI WAZIRI CHIKAWE MAMILIONI YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (wapili kulia) akimshukuru Ofisa wa Mawasiliano na Uhusiano wa Kampuni ya Vodacom Tanzania, Georgia Mutagahywa (kushoto) baada ya kupokea hundi yenye thamani ya Sh. Milioni 40 msaada uliotolewa kwa ajili ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani inayotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi Septemba mwaka huu, jijini Arusha. Wapili kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu, na kulia ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani